The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Siku gani? Tunaomba uirudishe hiyo increamentHeri JPM hakuwa mwongo. Alisema wazi kwamba kwa wakati ule hataongeza mishahara ila kuna siku ataongeza pesa nyingi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku gani? Tunaomba uirudishe hiyo increamentHeri JPM hakuwa mwongo. Alisema wazi kwamba kwa wakati ule hataongeza mishahara ila kuna siku ataongeza pesa nyingi zaidi.
TUCTA wanatofauti gani na UVCCM ? Hao hawana msaada na watumishi hata kama wanatokana na watumishi. Ni vibaraka wa CCM tuuRais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.
Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.
Usidhani umejifocha humu kwa kutoa kashfa kwa Mamlaka,sheria ya makosa ya mitandaoni haijafutwa..Rais wa hovyo kuwahi kuongoza Tz....,anadepend kwa Mwigulu ambaye ni competitor wake.....,Mwigulu ni spareware.
Hamia Zanzibarkule upande wa zanzibar wao mbona hawana malalamiko na nyongeza yao?
Na ndio maana amesema atatoa ufafanuzi.Ametangaza kutoa tamko ili wampooze (wakubaliane kibongobongo) ndio aje na tamko la kijanjajanja
Hiyo kazi mbadala haihitaji mtaji? Mtaji wanapata wapi ikiwa hawakopesheki?Hawa tucta Wana Upuuzi , Kama wanalalamika waache kazi, mshahara haijawahi kutosha kamwe, tangu lini kitu Cha kupimiwa kikatosha, wafanyakazi wafanye kazi mbadara kwa lengo la kuinua mapato yao
Sasa Hilo tamko litabadiki nyongeza???
Ile nyongeza ya 23.3% iko wapi?
Tunajisikiaje watumishi wa umma wanapodanganywa na Serikali kama watoto wadogo?
StupidNyongeza hiyo uliambiwa ni kwaajili ya kima cha chini cha mshahara, na ndivyo wakati wote mishahara inapopandishwa huwa inazingatia hilo, halafu kadiri mdhahara unavyokuwa mkubwa ndivyo ssilimia ya huo mdhahara inavyopungua hadi juu kabisa unaweza kuta mtu wa juu kabisa kimshahara kaongezewa hata asilimia tatu tu. Angalia vizuri mshahara sako, kama unapata kima cha chini lazima umeongezewa 23%. Upo hapo kijana!
Hata wew ukiingia huko, ukikaa mwaka tuu utaanza kulalamika.nyie watumishi huwa hamueleweki, mwanzo mlikuwa mnalalamika kuwa muongezewe hata kidogo, leo Mama kaongeza mnaanza tena kulaumu, ooohh nyongeza ndogo!!!
mmesahau mlivyo henyeka awamu ya 5!!!
leo hii ndani ya mwaka mmoja Mama kawafanyia mambo kibao,
mmepandishwa madaraja/vyeo, nyongeza n.k.
Leo hii sisi tusio na ajira tunatamani sana, kama umechoka pisha sisi tuingie.
Ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.
Watumishi punguzeni kudeka, mmezidi kudeka na hii ndio shida ya kudekezwa, hamkustahili kuongezwa mpaka baada ya miaka 10.
Tatizo hamuelewi. Hakuna sehemu serikali iliwahi kusema itaongeza 23.3
Serikali ilisema hiyo ni kwa kima cha chini
Mke wangu kakuta 60000 imeongezwa, kapata period gafla alijua laki 4
Pigia jibu mstariIna maana alishakaa meza moja nao hivyo ana majibu yote!