shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Kwa hali hii ni upuuzi wa mtu mmoja mwenye phd za majalalani[emoji81][emoji81][emoji81]eti mother ana upiga mwingi
Nashangaa.Wewe bado unatunza fedha zako bank? Kalakabaho!!
Bi Mdash anapaswa kuutathmin uamuz wake kuhusu wasimamiz wa uchumiWandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
I wish Mheshimiwa Phillipo Mpango angeendelea kuhudumu kwenye Wizara ya Fedha! Alikuwa ni mbunifu sana kwenye kodi. Na kodi zake nyingi zilikuwa hazina athari ya moja kwa moja wananchi wa kawaida.Kwa hali hii ni upuuzi wa mtu mmoja mwenye phd za majalalani
MLIICHAGUA CCM KWA KISHINDO HAYO NDIO MALIPO YAKEWandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
Safi sn inatakiwa mpka 2025 kila mtu awe na akili timamuWandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena.
Wanakuongeza 8,000/- halafu wanakata 9,000/- kwa wewe kuitoa hela hiyo toka benki.. Ni sawa na kukupunguzia 1000/- toka kwenye mshaharaWandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
Labda sijakuelewa,, yaan nikienda kwa nmb wakala nikaweka pesa yangu bank inamaana hapo pia wanakataHivi Mwigilu amesomea mambo ya fedha kweli?! Now mpaka ukituma pesa benki inakatwa,ukitoa inakatwa...
Wandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
Wewe bado unatunza fedha zako bank? Kalakabaho!!
Nyie mwatunza wapi wakuu!?Nashangaa.
thithiemu hoyeeee hatujamalidhaaaa hatujamalidhaaaaa pandisha kodi pandisha kodi (ina ahmed ally's voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sn inatakiwa mpka 2025 kila mtu awe na akili timamu