2025 Kuna jipya gani? nani kakwambia ccm inategemea Sanduku la kura! umemsikia aliesema Kenya ije kujifunza kwetu mbinu za uchaguziHuyu mama akiendelea kumuendekeza Mwigulu, basi 2025 ajiandae tu kwa maumivu makali!
kama bado lakini ana zile ndoto zake za kuja kuwa Rais wa kuchaguliwa.
Mwenye mchanganuo wa hizo Tozo mpya atuwekee tuone
Mwigulu oyeeeee !!Wakati Rais anatangaza Jambo letu WATUMISHI wa Umma waliruka ruka kwa Shangwe huku Wakisikika wakisema MAMA ANAUPIGA MWINGI...
Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni.Wakati Rais anatangaza Jambo letu WATUMISHI wa Umma waliruka ruka kwa Shangwe huku Wakisikika wakisema MAMA ANAUPIGA MWINGI...
Kila goti litapigwathithiemu hoyeeee hatujamalidhaaaa hatujamalidhaaaaa pandisha kodi pandisha kodi (ina ahmed ally's voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti mother ana upiga mwingi
Hata mimi nahisi kuna hujuma za maksudi ili watu wapigie kura za hasira 2025.2025 Kuna jipya gani? nani kakwambia ccm inategemea Sanduku la kura! umemsikia aliesema Kenya ije kujifunza kwetu mbinu za uchaguzi
Kuna kusoma na kuelimika.Wandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
viongozi kama waziri wa dhefa wana PhD za maviWandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena....
Wandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
Syo kutunza mkuu bali nalazimishwa kuingiza mshaharaWewe bado unatunza fedha zako bank? Kalakabaho!!