Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM


Lete habari nyingine, mambo ya mishahara tulishafunga last month, hatujadili tena hadi mwaka mwingine wa fedha. Afterall hata ukipewa hiyo elfu 10 nzima nzima itakuwa imetatua nini kwenye maisha yako ya kila siku. Fuga kuku, sungura , bata nakadhika ili vi-boost kipato chako. Mshahara ni kichocheo tu cha wewe kufanya mambo makubwa! Kuna watu huku mitaani hata laki moja kwa mwezi hajawahi kuiona lakini wanadunda mitaani! Funguka, tafuta njia ya kupandisha hicho kidogo ulichonacho! Usitulilie hapa, wengine hatuna hiyo mishahara!
 

Hata ukitoa zote pia mashine ya ATM itafyeka pakubwa tu, hakuna ujanja! Solution ni kuacha kazi basi!
 

Mwigulu amesoma Uchumi lakini hakuwa idara ya Finance kwa hiyo mambo ya finance wapo wataslamu pale kwake, usiwe na wasisasi! Kafanya kazi hadi Benki Kuu tena kwa weledi mkubwa kabla hajaingia mambo ya siasa!
 
Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako, huwezi acha kuishi, nasapoti tozo zote zinazotozwa na serikali ya awamu ya sita.

Unataka mabeberu ndo yaje yalipe Kodi?
 

Kila kona ya dunia makato yapo ndugu yangu, tena Tanzania ndiyo tulichelewa sana! Hata ungekata kona gani ulimwenguni mfyeko upo kila hiyo kona!
 
Huyu mama akiendelea kumuendekeza Mwigulu, basi 2025 ajiandae tu kwa maumivu makali!

kama bado lakini ana zile ndoto zake za kuja kuwa Rais wa kuchaguliwa.
Mkuu Kwani hiyo Kodi inapotozwa inaenda kwa account ya mwigulu na familia yake au inatunufaisha watanzania wote?

Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako, nashauri iwepo na Kodi ya unyayo!!!
 

Nani alikuambia ni mchumi namba moja? Wachumi namba moja wapo pale Mlimani na ndio waliomfundidha uchumi!
 
Wanao umia ni Sukuma Gang, wale wenye mimba za chuki za Mwendazake bado wapo Burundi.
 

Afadhali waambie hawa vijana maana wanadhani hela zinachapwa kama magazeti! Kutwa nzima wapo kwenye mitandao, kazi wanafanya saa ngapi? Tusingekuwa wakulima na wafanya biashara kukatwa kodi ya uhakika sidhani hata hiyo nyongeza ya 10,000 wangepata! Hawazalishi chochote! Kila dakika wapo kwenye simu! Shenzi sana!
 
Ndugu yangu alikuwa na salary ya 735K amedraw three times 30K imeishia kwenye makato
 

Mbona anina Peter Kibatala ndio mnaosifia kuwa wapo moto! Sasa wanafanya nini!
 
Mwanamke hafai kuongoza nchi, katika uislam mwanamke hatakiwi kushika madaraka makubwa atayumbishwa
 
Mpango si bado yupo kwenye Serikali hiyo hiyo?! Tena anaingia kwenye Baraza la Mawaziri ambalo limebariki tozo hizi. Angekuwa mwema kama unavyosema angeshauri vyanzo mbadala badala ya ku-authorize hizi. Wote ni walewale.
Mbona hatulalamikagi haya mijitu na chama chao yanapopitaga bila kupingwa? Matunda yake ndo haya, tuvumikie tu. Hakuna namna.
 
Jua kali yaja juu yao , hacha wafanye Mungu yupo kazini usiuzunike Wala kujuata naishia hapo Bwana awe juu YAKO ,umebarikwa na imekua,ipo siku watakumbuka hili wasipo punguza kobri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…