Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Wapi nimesema tuwaige? hivi wewe unaona ni sawa hakimu kuhukumu kesi inayomuhusu yeye mwenyewe? hata hili dogo unashindwa kuliona mkuu?
Hao Mbeya city hawajielewi kabisa,huyo anastahili ban ya maisha kabisa!kuna yule mchezaji wa chile aliemfanyie kitendo kama hicho cavani,klabu yake ilianza kumtimua kabla ya maamuzi mengine,nashangaa huku kwetu timu inashabikia adhabu ipunguzwe eti kaonewa!alieturoga watanzania amekufa,poor mbeya city
Mkuuu unaongelea mpira sio mauji ya kimbali amekosea ila waangalie lile tendo intwo way traffic sababu nyosso nae sio chiz kufanya hvyo bila chanzo na chanzo tumekiona je ? hakikuwa cha kudharirisha kama ww ni mchezaj utaelewa in what position was nyosso in
point ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni kiongozi wa azam fc,uliona wapi hakimu anaukumu kesi yake? hata hili hulioni?
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.
Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!
Kwanza mimi nadhani pamoja na haya yoooote ambayo TFF wamefanya, huyu mpuuzi alipaswa kufunguliwa kesi ya jinai. Hiki kitendo kina uhusiano gani na michezo mpaka kiishie huko?
Ina maana mchezaji mmoja akimdunda mwenzake uwanjani akamuumiza, hapelekwi kisutu sababu ni mchezoni ilhali ngumi si sehemu ya kabumbu?
Hapa kuna makosa kadhaa yamefanyika.
1.malinzi alhukumu mapema kupitia mitandao...kwa cheo chake hakutakiwa kufanya hivyo na asirudie tena kwa makosa mengine..
2.mchezaji hakusikilizwa ,hii ingesaidia kujua tatizo lake.
Hata hivyo nyoso alistahili adhabu kali,still picha na video zote zimeonesha akitenda kosa .....
Ulitaka awe babaako? Kifungu cha sheria kilichomhukumu kimewekwa sasa sijui mlitaka ahukumiwe na nani. Mtovu wa nidhamu kama huyo alipaswa kufungiwa maisha.
Mimi ningeelewa km lingekuwa suala la rafu uwanjani, maana ni sehemu ya mchezo. Lakini hili la mtu kuleta makonkofigjo halafu waliberali wenzake mje kumtetea hapa......mbapaf!
Kanuni haisemi hivyo
[CODE][CODE][SIZE=4][/SIZE]
[/CODE][/CODE]Code:[CODE][CODE][SIZE=4][/SIZE]
najua lakini kanuni hii productive au la kwani pamoja na mapungufu ya huyo jamaa nadhani mchango wake katika timu bado wanauhitaji saaaaaaaana,
na baada ya miaka miwili what next to him? atakuwa bado mchezaji au ndo mnataka awe mtaani kupiga watu mizingaaaaa?
ndiyo maana watu walikuja na kutaka changes kutoka kwenye rasimu ya walioba ilivyogoma IKAZALIWA UKAWA
WANATAKIWA WABADILI HIYO KANUNI
najua lakini kanuni hii productive au la kwani pamoja na mapungufu ya huyo jamaa nadhani mchango wake katika timu bado wanauhitaji saaaaaaaana,
na baada ya miaka miwili what next to him? atakuwa bado mchezaji au ndo mnataka awe mtaani kupiga watu mizingaaaaa?
ndiyo maana watu walikuja na kutaka changes kutoka kwenye rasimu ya walioba ilivyogoma IKAZALIWA UKAWA
WANATAKIWA WABADILI HIYO KANUNI
gerezani tofauti na katika soka na michezo wenzetu ulaya na marekani kwa kesi kama hizo faini inakuwa juu sana ili ujutie kulipa kwa sababu kumfungia kucheza miaka miwili ni sawa na kumuondoa katika ramani ya soka,sikatai adhabu lakini inamsaidia nani timu,muathilika,tff,nchi,au nani????????????????basi anza kuwatetea walioko magerezani maana karibu wote wana watu wanaowategemea zikiwemo familia zao
Huwa sibishani na watu waliokosa malezi ya baba na mama kama wewe.Ulitaka awe babaako? Kifungu cha sheria kilichomhukumu kimewekwa sasa sijui mlitaka ahukumiwe na nani. Mtovu wa nidhamu kama huyo alipaswa kufungiwa maisha.
Mimi ningeelewa km lingekuwa suala la rafu uwanjani, maana ni sehemu ya mchezo. Lakini hili la mtu kuleta makonkofigjo halafu waliberali wenzake mje kumtetea hapa......mbapaf!
your taking things personal Mkuu kinachotakiwa ni justice hakuna anaekataaa Nyosso asiadhibiwe ila kwa haki kwamba aliye sababisha nae apewe hukumu na hyo miaka miwili ni Mingi sana take things kwa scenario ya kimichezo zaidi kuliko hisia zako
Fafanua, bocco amemsababishia vp nyoso hadi amtie dole?!!...ni kosa gani hilo ambalo ukimkosea mtu unatakiwa utiwe dole hadharani...kama bocco alicheza rafu si angalau angemng"ata au kurusha ngumi tujue kuwa alikuwa na hasira kwa sbb flani flani za mchezoni.....hata kama bocco almchokoza nyoso hakustaili " dole"
..sasa mjomba km unakubali nyosso alitenda kosa,makosa ya malinzi yanatoka wapi tena.?! au ulitaka wakae wiki mbili kutoa hukumu ya tukio ambalo kila mwenye macho aliliona,nyosso alifanya kosa umekiri na hukumu ndio imeshatoka kwa hilo kosa alilofanya.
Hahaaa;yani ulitaka nyoso aulizwe kwa nn ulimtia d.le mwenzio?! halafu atoe utetezi wake ambao labda unadhani kwa uelewa wako TFF wangeweza kuukubali hivyo kutomuadhibu.?!!
Jamaa kaadhibiwa kutokana na alichokifanya,full stop,no more no less..
Mkuu angalia video utaona bocco alianza kwa kumpiga teke nyosso