Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kwanza mimi nadhani pamoja na haya yoooote ambayo TFF wamefanya, huyu mpuuzi alipaswa kufunguliwa kesi ya jinai. Hiki kitendo kina uhusiano gani na michezo mpaka kiishie huko?
Ina maana mchezaji mmoja akimdunda mwenzake uwanjani akamuumiza, hapelekwi kisutu sababu ni mchezoni ilhali ngumi si sehemu ya kabumbu?
Ina maana mchezaji mmoja akimdunda mwenzake uwanjani akamuumiza, hapelekwi kisutu sababu ni mchezoni ilhali ngumi si sehemu ya kabumbu?