Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Kwanza mimi nadhani pamoja na haya yoooote ambayo TFF wamefanya, huyu mpuuzi alipaswa kufunguliwa kesi ya jinai. Hiki kitendo kina uhusiano gani na michezo mpaka kiishie huko?

Ina maana mchezaji mmoja akimdunda mwenzake uwanjani akamuumiza, hapelekwi kisutu sababu ni mchezoni ilhali ngumi si sehemu ya kabumbu?
 
Wapi nimesema tuwaige? hivi wewe unaona ni sawa hakimu kuhukumu kesi inayomuhusu yeye mwenyewe? hata hili dogo unashindwa kuliona mkuu?

David Dein aliwahi kuwa boss wa FA na wkt huo huo ni boss wa Arsenal, 2000-2004, na bado makosa ya kinidhamu ya arsenal Fc yalishughulikiwa accordingly!

David Dein alipoondoka FA, nafasi yake ilichukuliwa na boss wa Man U, na bado makosa ya kinidhamu ya Man U hayakupata upendeleo!

Labda huko kwingine, lkn ktk soka hili sio la ajabu!
 
Hao Mbeya city hawajielewi kabisa,huyo anastahili ban ya maisha kabisa!kuna yule mchezaji wa chile aliemfanyie kitendo kama hicho cavani,klabu yake ilianza kumtimua kabla ya maamuzi mengine,nashangaa huku kwetu timu inashabikia adhabu ipunguzwe eti kaonewa!alieturoga watanzania amekufa,poor mbeya city

Mkuuu unaongelea mpira sio mauji ya kimbali amekosea ila waangalie lile tendo intwo way traffic sababu nyosso nae sio chiz kufanya hvyo bila chanzo na chanzo tumekiona je ? hakikuwa cha kudharirisha kama ww ni mchezaj utaelewa in what position was nyosso in
 
Ww unaemtetea nyoso ndo utuambie,bocco alimfanya nn nyoso?
 
point ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni kiongozi wa azam fc,uliona wapi hakimu anaukumu kesi yake? hata hili hulioni?

...kwani hiyo kamati ikiundwa jana au juzi;kama siku zote ilikua hivyo kwa nn msipige hizi kelele zenu toka mwanzo.?na habari ya kusema m/kiti wa kamati ndie alieamua ni ujinga mwingine..kwani hiyo kamati haina wajumbe au wajumbe wote wameshikiwa akili na huyo m/kiti.?! au huyo m/kiti ni dikteta?! na kama hutaki hizo kamati ziongozwe na watu wa kutoka kwenye vilabu unataka ziongozwe na nani? coz kesho tena mchezaji wa mtibwa au timu yoyote anaweza fanya tukio, na kiongozi wa hiyo kamati au mjumbe anatoka timu ya huyo mchezaji,unataka maamuzi yasitolewe kwa sababu hiyo.?!
Always learn to think outside the box..!
#tchao!
 
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.

Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!

your taking things personal Mkuu kinachotakiwa ni justice hakuna anaekataaa Nyosso asiadhibiwe ila kwa haki kwamba aliye sababisha nae apewe hukumu na hyo miaka miwili ni Mingi sana take things kwa scenario ya kimichezo zaidi kuliko hisia zako
 
Kwanza mimi nadhani pamoja na haya yoooote ambayo TFF wamefanya, huyu mpuuzi alipaswa kufunguliwa kesi ya jinai. Hiki kitendo kina uhusiano gani na michezo mpaka kiishie huko?

Ina maana mchezaji mmoja akimdunda mwenzake uwanjani akamuumiza, hapelekwi kisutu sababu ni mchezoni ilhali ngumi si sehemu ya kabumbu?

..i don't think km ni criminal case,ila inaweza kuwa may be defamation coz kwa uelewa wangu nadhani defamation hua inahusu maneno zaidi (matusi au kudhalilisha kwa namna yoyote).
 
Hapa kuna makosa kadhaa yamefanyika.
1.malinzi alhukumu mapema kupitia mitandao...kwa cheo chake hakutakiwa kufanya hivyo na asirudie tena kwa makosa mengine..
2.mchezaji hakusikilizwa ,hii ingesaidia kujua tatizo lake.
Hata hivyo nyoso alistahili adhabu kali,still picha na video zote zimeonesha akitenda kosa .....

..sasa mjomba km unakubali nyosso alitenda kosa,makosa ya malinzi yanatoka wapi tena.?! au ulitaka wakae wiki mbili kutoa hukumu ya tukio ambalo kila mwenye macho aliliona,nyosso alifanya kosa umekiri na hukumu ndio imeshatoka kwa hilo kosa alilofanya.
Hahaaa;yani ulitaka nyoso aulizwe kwa nn ulimtia d.le mwenzio?! halafu atoe utetezi wake ambao labda unadhani kwa uelewa wako TFF wangeweza kuukubali hivyo kutomuadhibu.?!!
Jamaa kaadhibiwa kutokana na alichokifanya,full stop,no more no less..
 
Ulitaka awe babaako? Kifungu cha sheria kilichomhukumu kimewekwa sasa sijui mlitaka ahukumiwe na nani. Mtovu wa nidhamu kama huyo alipaswa kufungiwa maisha.

Mimi ningeelewa km lingekuwa suala la rafu uwanjani, maana ni sehemu ya mchezo. Lakini hili la mtu kuleta makonkofigjo halafu waliberali wenzake mje kumtetea hapa......mbapaf!

..wapotezee tu hawa jamaa wana uelewa mdogo.
 
Kanuni haisemi hivyo
Code:
[CODE][CODE][SIZE=4][/SIZE]
[/CODE][/CODE]
najua lakini kanuni hii productive au la kwani pamoja na mapungufu ya huyo jamaa nadhani mchango wake katika timu bado wanauhitaji saaaaaaaana,
na baada ya miaka miwili what next to him? atakuwa bado mchezaji au ndo mnataka awe mtaani kupiga watu mizingaaaaa?
ndiyo maana watu walikuja na kutaka changes kutoka kwenye rasimu ya walioba ilivyogoma IKAZALIWA UKAWA
WANATAKIWA WABADILI HIYO KANUNI
 
NYOSSO%2BDOLE.jpg

Mbona aliyeshikwa kama karidhika ?.
 
Code:
[CODE][CODE][SIZE=4][/SIZE]
[/CODE][/CODE]
najua lakini kanuni hii productive au la kwani pamoja na mapungufu ya huyo jamaa nadhani mchango wake katika timu bado wanauhitaji saaaaaaaana,
na baada ya miaka miwili what next to him? atakuwa bado mchezaji au ndo mnataka awe mtaani kupiga watu mizingaaaaa?
ndiyo maana watu walikuja na kutaka changes kutoka kwenye rasimu ya walioba ilivyogoma IKAZALIWA UKAWA
WANATAKIWA WABADILI HIYO KANUNI

Basi anza kuwatetea walioko magerezani maana karibu wote wana watu wanaowategemea zikiwemo familia zao
 
najua lakini kanuni hii productive au la kwani pamoja na mapungufu ya huyo jamaa nadhani mchango wake katika timu bado wanauhitaji saaaaaaaana,
na baada ya miaka miwili what next to him? atakuwa bado mchezaji au ndo mnataka awe mtaani kupiga watu mizingaaaaa?
ndiyo maana watu walikuja na kutaka changes kutoka kwenye rasimu ya walioba ilivyogoma IKAZALIWA UKAWA
WANATAKIWA WABADILI HIYO KANUNI

Ndio maana ya adhabu. Kwani kuna mtu alisema mchango wake hautakiwi?

Kwani Mramba na Yona familia zao haziwahitaji nyumbani? Ile adhabu ndogo sana. Kwa ujinga ujinga huu huu kesho tutaona huko mchangani wadogo zetu wameona ni jambo la sifa na wao watafanya. Kila mtu atumie akili zetu.
 
basi anza kuwatetea walioko magerezani maana karibu wote wana watu wanaowategemea zikiwemo familia zao
gerezani tofauti na katika soka na michezo wenzetu ulaya na marekani kwa kesi kama hizo faini inakuwa juu sana ili ujutie kulipa kwa sababu kumfungia kucheza miaka miwili ni sawa na kumuondoa katika ramani ya soka,sikatai adhabu lakini inamsaidia nani timu,muathilika,tff,nchi,au nani????????????????
 
Ulitaka awe babaako? Kifungu cha sheria kilichomhukumu kimewekwa sasa sijui mlitaka ahukumiwe na nani. Mtovu wa nidhamu kama huyo alipaswa kufungiwa maisha.

Mimi ningeelewa km lingekuwa suala la rafu uwanjani, maana ni sehemu ya mchezo. Lakini hili la mtu kuleta makonkofigjo halafu waliberali wenzake mje kumtetea hapa......mbapaf!
Huwa sibishani na watu waliokosa malezi ya baba na mama kama wewe.
 
your taking things personal Mkuu kinachotakiwa ni justice hakuna anaekataaa Nyosso asiadhibiwe ila kwa haki kwamba aliye sababisha nae apewe hukumu na hyo miaka miwili ni Mingi sana take things kwa scenario ya kimichezo zaidi kuliko hisia zako

Fafanua, bocco amemsababishia vp nyoso hadi amtie dole?!!...ni kosa gani hilo ambalo ukimkosea mtu unatakiwa utiwe dole hadharani...kama bocco alicheza rafu si angalau angemng"ata au kurusha ngumi tujue kuwa alikuwa na hasira kwa sbb flani flani za mchezoni.....hata kama bocco almchokoza nyoso hakustaili " dole"
 
Mkuu angalia video utaona bocco alianza kwa kumpiga teke nyosso
 
..sasa mjomba km unakubali nyosso alitenda kosa,makosa ya malinzi yanatoka wapi tena.?! au ulitaka wakae wiki mbili kutoa hukumu ya tukio ambalo kila mwenye macho aliliona,nyosso alifanya kosa umekiri na hukumu ndio imeshatoka kwa hilo kosa alilofanya.
Hahaaa;yani ulitaka nyoso aulizwe kwa nn ulimtia d.le mwenzio?! halafu atoe utetezi wake ambao labda unadhani kwa uelewa wako TFF wangeweza kuukubali hivyo kutomuadhibu.?!!
Jamaa kaadhibiwa kutokana na alichokifanya,full stop,no more no less..

Kiutawala kiongozi wa public institution hutakiwi kuposti kuhukumu saa 5 za usiku ukiwa nyumbani kwako..hapo watu watashindwaje kusema hukumu imetolewa na familia yako na mkeo?
Usiku huo ulichunguza na nani ukweli wa tukio..
Vp kama picha zingekuwa fotoshop? Angeficha wapi uso wake.
 
binadamu bana waoga wa mabadiliko ,sasa tunamfungia miaka miwili ok so what next to.....
simtetei kwa kile alichofanya ninachotaka kuangalia hapa sharia au kanuni hii ni productive?
kwa sababu mwisho wa siku ni kudumaza vipaji vya wanamichezo
 
Mkuu angalia video utaona bocco alianza kwa kumpiga teke nyosso

Mateke na undava michezoni si jambo la ajabu ,hapo ishu inabaki kwa refa kama aliona au lah...ila kumtia dole mwenzio si jambo la kawaida na adhabu yake ni kali kuliko aliyerusha ngumi....sisi ni waafrika huo sio utamaduni wetu
 
Back
Top Bottom