The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Sidhani kama hiyo ni sababu, Ingekua ni sababu Si wanawakata tu majina hayarudi
Gwajima na Pole pole wanaongea kwa code inatakiwa kipindi wanasema code zao ujue jinsi ya kuzifungua ni kama hii barua yake kaficha majina ila yapo wazi..Polepole hakutaja majina
Alimtaja mmoja tuPolepole hakutaja majina
Punguza Chuki na Bashe aisee amekuchukulia mkeo nini? Hizi Chuki zote za nini kwani kwanini watu mnakua na Chuki kiasi hiki cha kuchafua watu mitandaoni bila vithibitusho?Leo mchakato umevurugika Dodoma kwa kuwa Bashe na kundi lake wameharibu uchaguzi ndani ya chama na ndani ya CCM.
Ww ndio bashe mwenyewe au ni chawa wake jitambulisheYaan ukisoma andiko la mtoa mada hupati chochote cha maana, unapata maswali kama yako. Ukute ni watu wanachafuana tu.
Nimekupa dole la katiWw ndio bashe mwenyewe au ni chawa wake jitambulishe
Hiyo kidole yako nimeichukua na kuielekeza kwenye mlundu wako kabisa. Usisahau kuilambaNimekupa dole la kati
Ni mmoja wapo wa Raia feki ...nilionya kuhusu sheria za uraia ...kuna wasudani walikuja muhimbili hadi leo hatujui wapo wapi baada ya siku chache watapewa uraia na kuwa full Citizen wenye uwezo hata wa kuwa wana siasa ...wakati kuna watz halisi wana uraia wa Marekani awaruhusiwi hata kumiliki nyumba tzKwamba swala la kizimkazi kususa kununa na kwenda kupunga upepo HOME halihusiani na kuahirisha kikao?
Kumbe ni Bashe? Huyu Bashe ana nguvu kasi gani? Amezitoa wapi? Ni nani kwenye siasa za tz?
Tatizo la polepole siyo wahuni. Mana hakuna asiyemhuni hapo LUMUMBA Polepole ana shida na JANUARY MAKAMBAHivi kakikundi cha kihuni anachokasema polepole ndo hako cha kina bashe