D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Jul 20, 2025 #41 CCM hakuna nyufa, ni sukama gang amabao walijaribu kujipanga kwenye huu uchaguzi na wameshafekwa, kwahiyo akina V 8 na gwaji boy wameamua kuto frustration zao tu. Kuhusu Zanzibar kule hakuna Chama, anaeamuliwa Dodoma ndie huyo huyo.
CCM hakuna nyufa, ni sukama gang amabao walijaribu kujipanga kwenye huu uchaguzi na wameshafekwa, kwahiyo akina V 8 na gwaji boy wameamua kuto frustration zao tu. Kuhusu Zanzibar kule hakuna Chama, anaeamuliwa Dodoma ndie huyo huyo.