Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000.

Hakuna haha mmoja aliyethubutu walau kulisogelea like ziwa lakini ghafla, mwanaume mmoja aliruka ndani ya ziwa, na kuogelea kwa bidii, na kufika upande wa pili huku akifukuzwa na mamba wote.

Mmiliki akamtangaza Kama, "mshindi jasiri!!"

Baada ya mwanamume huyo kupokea zawadi yake, yeye na mke wake walirudi hotelini.

Alipofika, meneja alimwambia kwamba amekuwa jasiri sana kuruka.

Mtu yule akajibu, "Sikuruka, Kuna mtu alinisukuma!" Mke wake akatabasamu.....!!!

Ujumbe.. Nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa, kuna mwanamke anayemsukuma! 😁View attachment 3198945
Mimi najua zamani kungekua na mishangazi adamu asingetupitisha kwenye huu msoto aliosababishiwa na yule slay queen
 
Na nyuma ya Kila mwanaume asiyejiweza Kuna Mwanamke hamnazo si ndo hivyo, acheni ulimbukeni, ukiharibu jela unaenda mwenyewe.
 
Kataa ndoa wanasema katika kila anguko la kiuchumi au pengine kifo kwa mwanaume ujue nyuma yupo mwanamke.

Hii hadithi ni mfano mzuri, imagine mamba wangemla jamaa..
 
Back
Top Bottom