Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

Mimi najua zamani kungekua na mishangazi adamu asingetupitisha kwenye huu msoto aliosababishiwa na yule slay queen
 
Na nyuma ya Kila mwanaume asiyejiweza Kuna Mwanamke hamnazo si ndo hivyo, acheni ulimbukeni, ukiharibu jela unaenda mwenyewe.
 
Kataa ndoa wanasema katika kila anguko la kiuchumi au pengine kifo kwa mwanaume ujue nyuma yupo mwanamke.

Hii hadithi ni mfano mzuri, imagine mamba wangemla jamaa..
 
Nilitaka kupinga ila nikakumbuka sina mafanikio na sina mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…