Muki1
Member
- Nov 8, 2021
- 58
- 176
Usije twambia imuacha....Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..