Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
Usije twambia imuacha....
 
Aah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
Dude stop living in your own world of fantasy, wake the f** up and see what's going on in real world
 
Haijalishi huyo mwanamke sio pisi kali au ameona maslahi kwa baadaye ila kikubwa mwanaume kafanikiwa sababu ya support ya mwanamke.
Hata Mama zetu wanatusaidia na kutulea vyema ili baadaye wakizeeka tuwasaidie pia.

Mzee wangu jana tu kaniambia "nakuombea upate mke kama Mama yako, amenisaidia sana".
 
Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
There is exception in everything and exceptionality doesn't count when make the rule, so know that and spare us your NAWALT lovey-dovey tales
 
Kuna mambo sio general na kuyalazimisha yawe general ni kujipotezea muda.

Dunia kuna watu wamefanikiwa sababu ya mwanamke, kuna watu wamefilisika sababu ya mwanamke, kuna watu hawaendelei sababu ya mwanamke, kuna watu wanaendelea sababu ya mwanamke.

Sasa kama wewe mwanamke anakuumiza jitenge nae, kaa na mama mzazi na kama mwanamke ni baraka kwako furahia uwepo wake.

HAKUNA HITIMISHO MOJA KWA KILA MTU, KILA MTU NA HITIMISHO LAKE.
Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
 
Haijalishi huyo mwanamke sio pisi kali au ameona maslahi kwa baadaye ila kikubwa mwanaume kafanikiwa sababu ya support ya mwanamke.
Hata Mama zetu wanatusaidia na kutulea vyema ili baadaye wakizeeka tuwasaidie pia.

Mzee wangu jana tu kaniambia "nakuombea upate mke kama Mama yako, amenisaidia sana".
Inawezekana wakawepo wachache lakini bado sio sababu ya kutufanya wanaume tubweteke bila kuchukua tahadhari. Ndoa na mahusiano ya kimapenzi kwa mwanaume ni sawa na kubet kuna kupata na kupotea, usijeweke hatarini kwa makusudi kwa sababu wewe ni mwanaume.
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
Kumbe unakubali kuna wanaume wanafanikiwa sababu ya support ya wanawake ila ni asilimia ndogo ila wewe kwenye post yako hujaweka kipengele cha tawimu.
CASE CLOSED.
 
We can put it in this way and still makes sense

"Behind every successful man there's woman,.... yes because no woman follows unsuccessful man"
And that is some major plot twist, which was obviously never intended nor envisaged by the original producer!

To be behind something or someone's fortune is to be its mastermind.
 
Haijalishi huyo mwanamke sio pisi kali au ameona maslahi kwa baadaye ila kikubwa mwanaume kafanikiwa sababu ya support ya mwanamke.
Hata Mama zetu wanatusaidia na kutulea vyema ili baadaye wakizeeka tuwasaidie pia.

Mzee wangu jana tu kaniambia "nakuombea upate mke kama Mama yako, amenisaidia sana".
Very good advice from your father but he forgot his advice doesn't really correspond with the version of women we have in these modern times.....!!

I presume your mom is a typical virtuous traditional woman the kind of women who are into the verge of extinction..... so now all we have in plenty are modern women with zero virtues of wife materials, zero marals,zero support to their spouses,zero respect,zero empathy to men,zero ethical vaues..... all they can offer to you are limited sex,incessant quarrels,disdain,acting rebellious all the times,constant dramas,unnecessary debts from vikoba,unnecessary home bills to cover and on top of all an early death due to diabete.

Infact your father's advice is too unworkable now days
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
Ili kupata takwimu halisi ni wanaume bila kutaka sifa tuanike uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika mafanikio yetu na sio kuchukua takwimu za kesi.

Huwezi tafuta nguo safi jalalani. Mahakamani, ustawi ni jalalani linapokuja suala la mahusiano, ni sehemu ambayo mahusiano yameshaharibika sasa yanatupwa kwa utaratibu utakaozingatia sheria.

Huwezi kwenda huko kutafuta sample ya hitimisho la nafasi ya mwanamke katika mafanikio ya mwanaume sababu mwanamke hachangii directly kwenye mafanikio ya mwanaume, most of time michango yao ipo in background.

Mfano:
Una girlfriend, kaona tangazo la kazi gazetini, kalileta kwako na kukushauri uombe hiyo kazi, umefulia huna pesa, mwanamke wako akaenda kukununulia shati zuri, akakuandalia maji ukaoga, akakupa na nauli huku akikupa moyo kuwa anakuombea utapita, ukaenda ukiwa unajiamini, sura yenye bashasha na ukiwa mtanashati kisha ukapata kazi na ukawa tajiri.

Baada ya miaka 10 mmeshindwana sasa mnaachana, kesi ipo ustawi, nafasi ya huyu mwanamke katika utajiri wako unadhani inapimwaje? Na ndio kesi zilizojaa huko ustawi baina ya mke na mume walioamua kuachana.
 
Msaada wa mwanamke sio unconditional.

-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani

-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)

-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.

Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.

Unamiliki nini mbona uko paranoid hivyo?

Kwenye bold hapo unataka kusemaje? Tukitongozwa tukatae? Since Inaonekana hatuna jema tumebeba “ajenda” tu ya kunufaika.

Move on bana, waliokuumiza wameshamove on bado wewe unabeba chuki na kuispread kila mahali.
 
And that is some major plot twist, which was obviously never intended nor envisaged by the original producer!

To be behind something or someone's fortune is to be its mastermind.
Whoever created that aphorism didn't have any regards with future uncertainties that will cripple our society in... He/she was actually thinking within the matrix.

Yes, it was meant for a woman can manage home chores more efficiently than man could ever do, while the husband is away working on his career for the benefit of his whole family and once the husband becomes successful the credits primarily go to his wife for making sure he was being energetic enough all long to make it happen.....

Now, let's have a bit of look of what we have as wives now days... do they even accept running those home chores as their responsibility??? The last time i heard they say it is slavery thing....
 
Back
Top Bottom