Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Ukweli halisi ni kwamba mwanamke uliye naye akipata best option anakukimbia. Huo ndio ukweli halisi
The naive whitekinights don't even know anything about women's hypergamous instincts....

Wao wanaamini kwa sababu amekubali kulala naye kwenye chumba cha elfu 30 basi ndio kupendwa kwenyewe huko.... pasipokujua kwa wakati huyo yeye ndio best option kwa huyo mwanamke wake.
 
Ukiwa na mke mtulivu,asiye na sumu yaani makelele nyumba yako itatawaliwa na malaika wa Nuru utakuwa na baraka tele mafanikio tele.
Kinyume chake ni umasikini
 
Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.

Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.

The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.

Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.

Women only come later and not before. They appear when the deal is done.

Focus my brothers
Vipi Baba hawezi kuwa nyuma ya mafanikio ya mwanae mpaka awe mama pekee?
 
Ili kupata takwimu halisi ni wanaume bila kutaka sifa tuanike uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika mafanikio yetu na sio kuchukua takwimu za kesi.

Huwezi tafuta nguo safi jalalani. Mahakamani, ustawi ni jalalani linapokuja suala la mahusiano, ni sehemu ambayo mahusiano yameshaharibika sasa yanatupwa kwa utaratibu utakaozingatia sheria.

Huwezi kwenda huko kutafuta sample ya hitimisho la nafasi ya mwanamke katika mafanikio ya mwanaume sababu mwanamke hachangii directly kwenye mafanikio ya mwanaume, most of time michango yao ipo in background.

Mfano:
Una girlfriend, kaona tangazo la kazi gazetini, kalileta kwako na kukushauri uombe hiyo kazi, umefulia huna pesa, mwanamke wako akaenda kukununulia shati zuri, akakuandalia maji ukaoga, akakupa na nauli huku akikupa moyo kuwa anakuombea utapita, ukaenda ukiwa unajiamini, sura yenye bashasha na ukiwa mtanashati kisha ukapata kazi na ukawa tajiri.

Baada ya miaka 10 mmeshindwana sasa mnaachana, kesi ipo ustawi, nafasi ya huyu mwanamke katika utajiri wako unadhani inapimwaje? Na ndio kesi zilizojaa huko ustawi baina ya mke na mume walioamua kuachana.
There is exception in everything and exceptionality doesn't count when we make the rules. The general rule is that women are opportunistics, so stay awake don't concerns yourself with those exceptions.
 
Unamiliki nini mbona uko paranoid hivyo?

Kwenye bold hapo unataka kusemaje? Tukitongozwa tukatae? Since Inaonekana hatuna jema tumebeba “ajenda” tu ya kunufaika.

Move on bana, waliokuumiza wameshamove on bado wewe unabeba chuki na kuispread kila mahali.
Hii ni moja ya sababu huwa nawapuuza wanawake kwenye mjadala. Mnamshambulia mtu binafsi badala ya kushambulia hoja. Mahusiano yangu ni imara kabisa kwa sababu mwanamke nilienae amekubali kuishi kwa principles zangu. Sijawahi kumpenda mwanamke katika maisha yangu kufikia hatua ya kuwa haertbroken baada ya kuachana because love is for weak people.
 
Ungesema.

Lakini hata mpenzi inawezekana mfano ni jinsi mishangazi inavyotupaisha vijana.
The so-called shangazis have the lowest SMV in the dating market and ain't no top-tier man drooling to them, na ndio maana kimbilio lao ni nyie vijana ambao bado mmepauka..... na ndio maana wanatumiaga nguvu nyingi sana kuboresha mahusiano yao kwa kuwahonga
 
Vipi Baba hawezi kuwa nyuma ya mafanikio ya mwanae mpaka awe mama pekee?
baba ana mchango mkubwa sana, sema tu ndio ivyo wanaume sio watu wa kupenda spotlight kama hawa wenzetu kwaiyo ni nadra kukutwa wanaume tunakuja na misemo ya kujipakulia minyama au kukuta tunaanda events za kuitana mfalme wa nguvu.
 
Hii ni moja ya sababu huwa nawapuuza wanawake kwenye mjadala. Mnamshambulia mtu binafsi badala ya kushambulia hoja. Mahusiano yangu ni imara kabisa kwa sababu mwanamke nilienae amekubali kuishi kwa principles zangu. Sijawahi kumpenda mwanamke katika maisha yangu because love is for weak people.
Basi mwenyewe unaona ukitupuuza tunajali…

Again, hakuna mtu mwenye mahusiano stable ambayo yuko bitter na wanawake wasiokuwa wanawake zake. Wewe wanawake za wenzio wanakuhusu nini if I may ask.

Ni sawa na Mimi niseme “wanaume wote ni mbwa” halafu nikudanganye nina mahusiano stable 😅 Hakuna mtoto humu ndani elewa.

HEAL and grow up, sisi Kama dada zako wa humu tunakusaidia ili kesho uje hapa “yapping” wanawake hawana msaada kwenye maisha ya mwanaume.

Ni hoja gani umeleta zaidi ya kumshambulia mwanamke? We are women, ain’t we? Tukuchekelee tu? Kisa?
 
Asante kwa ku-comment
 
Simjui natafuta ajira personally. Sina uhakika kama yuko bitter na wanawake, aidha ana mahusiano stable au la

Ila anachokiongea natafuta ajira kwenye nyuzi zake kuhusu wanawake, ni uhalisia ambao majority ya wanaume wengi sana wanapitia wakiwa wana-date na wanawake, kina ndege John na excel wanawakilisha wanaume wachache waliobahatika kupata wanawake supportive wenye upendo.

Majority ya wanawake waliopo kwenye dating pool ndo hao anaowaongelea natafuta ajira binti kiziwi
 
wanawake wamekufanya nn tajiri

hutupendi
Nawapenda ndio maana nawaambia ukweli. Kumbuka mama, dada, mashangazi, mabinti(kama nikijaliwa kuwa nao) zangu wote ni wanawake pia.

Vle vile wewe mwenyewe unaona hali halisi kwa sasa mifumo ya kidunia sio rafiki kwa mustakabali wa mwanaume na tukishayatimba au kupoteza uelekeo wa maisha hatuna mtetezi au masia wa kuja kutuokoa zaidi ya kuishia kuwa laughing stocks tu.

Sheria, mamlaka, vyombo vya usalama, taasisi na asasi zote kote uko jamii imeelekeza nguvu kwenye kumlinda, kumpendelea na kumuinua mwanamke. Kwaiyo ni wajibu wetu wanaume kukumbushana namna ya kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu.
 
There is exception in everything and exceptionality doesn't count when we make the rules. The general rule is that women are opportunistics, so stay awake don't concerns yourself with those exceptions.
Sawa boss umeenda kwenye ingilishi ila:

Relationship concept is never ordinary, it moves along universe with alternatives results. Each man will face his own unique destination with peculiar results subject to type of woman he designate.

Halafu:

That general rule rely on data from relationship scandals and drama from ustawi, it can never act as a fomula to clinch actual concept and reality.

KWA KISWAHILI NI KWAMBA HAKUNA FOMULA, MWANAMKE ANAWEZA KUKUMIZA MWANAMKE ANAWEZA KUWA BARAKA. MAMA YAKO NI MWANAMKE WA BABA YAKO.
 
Hamna cha mwanamke nyuma wala nini.Mi nakumbuka kipindi najitafuta ingawa bado sijajipata kiukweli bado,most ladies na sio wote huangalia upepo wa bwanaake.

Kwaio we jidanganye tu kuwa oooh alikuwa ananisaidia mara nini,ila kiuhalisia mwanamke hawezi wekeza sehem ambayo haina ishu mbeleni.
Mke wangu popote ulipo we endelea kujitafuta tu🙌🏿
 
Wanawake huwa wana kitu kinaitwa Intuition

Hiyo intuition huwa inamfanya mwanamke kubeba nguvu Fulani katika kumwelekeza Mme wake in the right things.

Pia wanawake huwa wana incubation power -Nguvu ya kuatamia mambo au jambo au wazo.

So ukipata mwanamke sahihi kufanikiwa au kupata mafanikio huwa ni jambo rahisi.

Mtoa mada unabidi usiwekeze nguvu na muda katika kuutazama upande mbaya tu wa mambo . don't do that shit .
 
Simjui natafuta ajira personally. Sina uhakika kama yuko bitter na wanawake, aidha ana mahusiano stable au la
JF hatufahamiani tulio wengi…. kupitia maandishi utafahamu behaviour patterns za mhusika, kuna mambo hayadanganyi…. chukua hii weka mfukoni.

Mtu aliyeenda Shule akapata MAARIFA, atajenga hoja yake kwenye objectivity, kuna tatizo gani kutumia maneno “baadhi” au “sio wote”

Binafsi ni aina ya mwanamke anayemzungumzia mleta mada, sina mchango kwenye maisha ya mwanaume, However kuna wanawake out there nawafahamu ni “wanawake bora” is it fair na wao wakiwekwa kundi moja na Mimi?

Think.
 
Back
Top Bottom