Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Hakuna hichi kitu boss. Mambo yangekuwa hivi tangu kuumbwa kwa dunia haya matukio yasingeendelea. Yapo sababu kuna balance ya ubaya na wema na huenda wema upo juu ya ubaya.

Kila mwanaume anapoanza mahusiano ana mategemeo, yale mategemeo ndo yanayoleta matokeo either hasi au chanya kutegemea na aina ya mwanamke aliyeamua awe nae, anachokitegemea ndo huamua ni maamuzi yapi afanye na ndo huzalisha matokeo hasi au chanya.

Tatizo ni kuchukua matokeo hasi yaliyotokana na maamuzi yako yaliyoathiriwa na aina ya mwanamke uliyekuwa nae na kutaka yakabadili mazingira yote yaliyopo ilihali wanawake hawafanani kama ambavyo wanaume hatufanani.
Nilichoongea ndio kanuni ya mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume hayo matatizo hayaishi kwa sababu kuna wanaume wabishi kama wewe hamtaki kuishi kulingana na nature inavyotaka.
 
Unapenda kujitungia mambo… ndio maana umejitungia hii mada based on your eksipiriense na beliefs.

Unaamua tu hiki kiwe hivi na kile kiwe hivi, sasa hao “wachache na baadhi” ukawafutaje? Maana sijawaona kwenye bandiko lako. Hebu kasome tena bandiko lako “Hakuna” ni neno ulilotumia.
In everything there is exception but exceptionality don't count when we make general assertion.
 
The richer and more successful you are the harder its for you to find genuine love from women, no woman has ever loved a man that has no value successful, from the beginning women's love for a man has always been consistently conditional and nothing can change, few of them settled with unsuccesful man beacuse they lack options.
Hii si kwa wanawake tu, hata marafiki. Kadri unavyokuwa tajiri ndivyo ilivyo tabu kupata rafiki asiyehitaji pesa zako.
As a man you should be wise enough to know that a woman's love for you is highly conditional and just because you are not seeing her making it obvious now doesn't mean she's not loving you for something.
After knowing this truth, your greatest mistake will come when you as a man don't condition your own love for women, it will come when you don't put conditions on your commitment.

Na hata wanawake, lazima waweke condition. Sio unamfulia, unampikia, unatoa nyumba ya urithi achukulie mkopo kumbe mwenzio akishafanikiwa anasahau. Wawe na maangalizo.

As a man be strategic about the kind of woman that you give your commitment, not every woman deserves it, any woman that deserves it must be a woman that's submissive, productive and teachable.
Hata mwanamke, si kila mwanaume anafaa kumpigania ndoto zake, kumpa baraka zake, kumuombea.

YAANI MKUU HAYA UNAYOYASEMA NI KWA PANDE ZOTE. DUNIA INAZUNGUKA, HAIZUNGUKI KWETU WANAUME TU. HUNA WATOTO WA KIKE?
Don't go into relationships that you know you can't benefit anything aside sex, its toxic.
Na pia mwanamke asiingie kwenye mahusiano ambayo mwanaume anamuona kama chombo cha starehe tu. Hakuna malipo kwenye kuzalishwa na kukuza watoto.

TUWE NA UBINADAMU, TUWE NA MAADILI. HATA TUNAPOTENGANA TUZINGATIE UBINADAMU. WOTE WANAWAKE NA WANAUME..
 
Yes! Yani mwanamke umpumulie kila siku,ummwagie shahawa zako,akunyonyeshe, akunyonye hiyo lolo, akuzalie halaf asipate malipo kweli????? Kweliiii??????? We ulisikia wapi?
Hii si kwa wanawake tu, hata marafiki. Kadri unavyokuwa tajiri ndivyo ilivyo tabu kupata rafiki asiyehitaji pesa zako.

Na hata wanawake, lazima waweke condition. Sio unamfulia, unampikia, unatoa nyumba ya urithi achukulie mkopo kumbe mwenzio akishafanikiwa anasahau. Wawe na maangalizo.

Hata mwanamke, si kila mwanaume anafaa kumpigania ndoto zake, kumpa baraka zake, kumuombea.

YAANI MKUU HAYA UNAYOYASEMA NI KWA PANDE ZOTE. DUNIA INAZUNGUKA, HAIZUNGUKI KWETU WANAUME TU. HUNA WATOTO WA KIKE?

Na pia mwanamke asiingie kwenye mahusiano ambayo mwanaume anamuona kama chombo cha starehe tu. Hakuna malipo kwenye kuzalishwa na kukuza watoto.

TUWE NA UBINADAMU, TUWE NA MAADILI. HATA TUNAPOTENGANA TUZINGATIE UBINADAMU. WOTE WANAWAKE NA WANAUME..
 
Ndicho nimemwambia jamaa uko juu. Ukimtongoza mwanamke kabla ya kukubalia jua kwamba ashafanya short terms and long terms analysis na kujua atanufaika vipi.

Usijdanganye eti ananipenda kwa sababu alikua na mimi wakati ambao sikua vizuri ukweli ni kwamba alikua na wewe kwa sababu hakua na chaguo bora zaidi Kwa wakati huo.
Two words “arrogant” and “insecurity”

Kwa hiyo tufanyeje? Tuanze kudate tukiwa na 0 of age, ili tusiweze kufanya analysis ya faida za mbeleni?

Hiyo option bora ninini? By better unamaanisha kuwa? I’ll assume unamanisha mwenye hela/mali zaidi yako, since umehusianisha na “kujitafuta” hivyo jibu langu ni sahihi… Sasa unawajua wanaume wote aliowakataa mwanamke wako au alioshindwana nao kitabia. Why usiassume better ni wewe? Kuliko hizo better unazojaribu kumlazimishia mwenzio kuwa ndio “better” yake au alitakiwa kuiona Kama better? Naogopa Kama hata unaelewa vitu basic Kama hivi……..

Wewe ushashindikana, haukunjiki tena utavunjika, chakufanya ukianza kulea mtoto wako wa kiume mwambie kuwa “yeye ndio anaweza kuwa option bora kwa mwanamke yeyote yule. Walau hatutapata watu Kama wewe kwenye Jamii.
 
Yes! Yani mwanamke umpumulie kila siku,ummwagie shahawa zako,akunyonyeshe, akunyonye hiyo lolo, akuzalie halaf asipate malipo kweli????? Kweliiii??????? We ulisikia wapi?
Yaani ninachosema ni hakuna general fomula ya haya mambo. Kuna mwanamke anadeserve asitoke hata na mia sababu ni muhuni tu amejiingiza hapo kuvuna. Tangu mwanzo alipanga avune kupitia viungo vyake na mayai yake. Na hawa huwa hawadumu zaidi ya 5 years, mara nyingi ni below that.

Ila kuna mwanamke kama usemavyo, amekaa na mwanaume tangu ana miaka 20 leo ana miaka 39, amekufulia, amekuzalia, amekulelea wanao, amekupikia halafu amekufumania unamjibu hovyo na unaanza visa mara leo hili kesho lile, anaamua imetosha muachane sasa halafu aondoke kama alivyokuja?

Alikuja akiwa na chuchu saa sita, alikuja pengine bikra, alikuja hana stress, alikuja akiwa na afya pengine umempa magonjwa, anastahili fadhila, anastahili haki. Sheria lazima zimlinde.

NDO MAANA NASEMA HAKUNA GENERAL WAY YA HAYA MAMBO, INATEGEMEANA NA MAZINGIRA HALISI.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa,mwanamke hata awe na kipato kiasi gani pesa zao ni za kuchezea chezea wanawake wenye future ni wachache sana,pambana kuhusu kumshirikisha mwanamke kibiashara labda biashara ndogondogo vinginevyo pesa zitaishia kwenye vikoba na wachungaji.
 
Naunga hoja

Dada angu upo too much emotionaly kiasi kwamba unashindwa kusoma between the lines.

Kila upande wa kijinsia una madhaifu yake. Ninachoongelea ni kwamba mwanaume asiingie kwenye mahusiano na fikra kwamba ameonewa huruma kukubaliwa na uyo mwanamke.

Mwanamke anaangalia masilahi yake in short terms and in long terms kwaiyo na mwanaume weka standard.

Usifikirie kwamba mwanamke yupo na wewe kwa sababu ameikubali elfu 10 yako wakati wapo wanaume wenye uwezo wa kumpa milioni, ukweli ni kwamba ameikubali elfu 10 yako kwa sababu hajajitokeza mwanaume mwenye uwezo wa kumpa milioni
 
Hii si kwa wanawake tu, hata marafiki. Kadri unavyokuwa tajiri ndivyo ilivyo tabu kupata rafiki asiyehitaji pesa zako.

Na hata wanawake, lazima waweke condition. Sio unamfulia, unampikia, unatoa nyumba ya urithi achukulie mkopo kumbe mwenzio akishafanikiwa anasahau. Wawe na maangalizo.

Hata mwanamke, si kila mwanaume anafaa kumpigania ndoto zake, kumpa baraka zake, kumuombea.

YAANI MKUU HAYA UNAYOYASEMA NI KWA PANDE ZOTE. DUNIA INAZUNGUKA, HAIZUNGUKI KWETU WANAUME TU. HUNA WATOTO WA KIKE?

Na pia mwanamke asiingie kwenye mahusiano ambayo mwanaume anamuona kama chombo cha starehe tu. Hakuna malipo kwenye kuzalishwa na kukuza watoto.

TUWE NA UBINADAMU, TUWE NA MAADILI. HATA TUNAPOTENGANA TUZINGATIE UBINADAMU. WOTE WANAWAKE NA WANAUME..
kwa mbali tunanza kuelewana. My point is that when it comes to love relationship women are opportunistics while men strive to be hero, so that have to change both side should prioritize his/her benefits.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yes! Yani mwanamke umpumulie kila siku,ummwagie shahawa zako,akunyonyeshe, akunyonye hiyo lolo, akuzalie halaf asipate malipo kweli????? Kweliiii??????? We ulisikia wapi?
😀😀😀😀😀😀
 
Yaani ninachosema ni hakuna general fomula ya haya mambo. Kuna mwanamke anadeserve asitoke hata na mia sababu ni muhuni tu amejiingiza hapo kuvuna. Tangu mwanzo alipanga avune kupitia viungo vyake na mayai yake. Na hawa huwa hawadumu zaidi ya 5 years, mara nyingi ni below that.

Ila kuna mwanamke kama usemavyo, amekaa na mwanaume tangu ana miaka 20 leo ana miaka 39, amekufulia, amekuzalia, amekulelea wanao, amekupikia halafu amekufumania unamjibu hovyo na unaanza visa mara leo hili kesho lile, anaamua imetosha muachane sasa halafu aondoke kama alivyokuja?

Alikuja akiwa na chuchu saa sita, alikuja pengine bikra, alikuja hana stress, alikuja akiwa na afya pengine umempa magonjwa, anastahili fadhila, anastahili haki. Sheria lazima zimlinde.

NDO MAANA NASEMA HAKUNA GENERAL WAY YA HAYA MAMBO, INATEGEMEANA NA MAZINGIRA HALISI.
Mkuu kwenye kuweka principles zako usiangalie sana exceptions
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mtoa mada upo sahihi kabisa,mwanamke hata awe na kipato kiasi gani pesa zao ni za kuchezea chezea wanawake wenye future ni wachache sana,pambana kuhusu kumshirikisha mwanamke kibiashara labda biashara ndogondogo vinginevyo pesa zitaishia kwenye vikoba na wachungaji.
Tuendelee kuwapa somo nice guys na simps
 
Nimuwezeshe vipi? Hoja ni mwanaume kufanikiwa nyuma yake akiwa mwanamke.
Kupitia iyo iyo akili ya kufikiri kwamba mwanamke yupo nyuma ya mafanikio yako ndio unamuwezesha indirectly hapo.
Unafikiri unaonewa huruma kumbe mwenzako yupo na wewe kwa sababu hana chaguo bora zaidi
 
Back
Top Bottom