Kuna ujumbe wako hapo chini.CHADEMA CHADEMA CHADEMA, bado mnajivunia mlivyosalitiwa yaani mnaona Lowassa bado ni wenu! Kweli mapenzi ni upofu!
Kamanda soma know kitabu cha Dr.Slaa ili ujifunze,ukikaza shingo itakatikaDr Slaa amekuwa na tabia kama Wakudadavuwa wa JF?
Hiki kitabu lazima kitakiwa ni masterpiece! Nitakinunua kwa being yoyote. Kila cha Yericko Nyerere nasubiri kishuke bei hadi buku ndio nikinunue!
Watoe na chenye tafasiri ya Kiswahili chepesj kiwafukie watu mpaka vijijini na Shule za St Kayumba Kule.Tufani la kisiasa 2015 kwangu naona halikuwa la kitoto,lafaa kuingizwa hata kwenye somo la Uraia,Vigaweni bure ili tuvisome wote.
Wewe na huyo slaa wote vigeugeu, sisi vijana tumewapuuza
Hakiwezi kuwa mwiba kwa wenye akili. Ni sawa na mke aliyeishi na mumewe miaka 20 kwa upendo wote kisha mumewe akaongeza mke wa pili na huyu wa kwanza akaamua kutoa talaka.Hicho kitabu ni mwiba
Dah..umesoma jina la kitabu lakini? [emoji41]Hiyo hela ya kununulia hicho kitabu iko wapi?
Btw kama hayo uliyoandika ndiyo yako humo hakuna cha maana kitakachomshawishi mtu anunue hicho kitabu maana ni mambo mepesi, story za kawaida kabisa. Dr alipaswa aandike vitu muhimu kwa ajili ya ustawi wa nchi azungumzie fursa kwa vijana wanazoweza kuzipata huko anapotuwakilisha ili kujikwamua kiuchumi na mambo mengine ya msingi siyo kutuletea siasa za vyama ambazo alidai ameachana nazo.
Nami nitakiagiza nikisome kwa tuo.asante kwa dibaji nzuri,nitachukua nakala yangu leo
Chadema hawawezi kununua hata uwape bure,kuna ukweli mchungu humo
Hivi kati ya Slaa na CHADEMA alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji IQ.Vipi ameelezea pia uhusika wa Josephine Mushumbuzi kwenye harakati zake na uhusika wake pale 2015?
Hiv Kat ya slaa na chadema alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji iq
Tokea siku nyingi sana hua naamini kwamba MM ndio Dr. Slaa, pamoja na utetezi mwingi wa kuwatofautisha but still akili yangu bado hua inaamini kwamba Dr. Slaa=Mwanakijiji