PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,689
Reaction score
6,484
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
Shida kubwa mliyonayo CCM ni roho mbaya na kukosa akili.

Mtu kazungumza mambo ya msingi yanayohusu uhai na usalama wa Watanzania nyie mnajaribu kuhamisha mjadala kwa hoja za kipumbavu wti anatak urais.

Hizi propaganda zenu za kipuuzi zinazodi kuonesha kwa namna gani nyie ni washenzi na hamfai kabisa kuendelea kuliongoza hili Taifa.
 
Soma vizuri alafu uje useme uccm wangu ni upi?
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
kWA HIYO GWAJIMA NDIE ANETEKA WATU?
 
Umeelewaka, watu tushapagawa kuomboleza deile bila kujua nani anafuata sio kitu rahisi mkuu!
Ni kweli lakini ndo nawasanua plan yao nikutafuta shujaa wa kusema mabaya yao ila kwa intention tofauti na raia
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
Labda unaota usingizi wa kujifariji,Mama yako saa hizi anaogopa hata kutoka inje
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
Siyo kweli. Hakuna mtu anayeweza kuonja sumu halfu ategemee matokeo mazuri. Mawazo yako ni kama ya wabongo waliokuwa wanasema Uhuru Kenyata alipokuwa anam-support Raila uchaguzi uliopita eti alikuwa anavunga ili Ruto apite! Theories za aina hii hazina uhasilia. Kwenye siasa hakuna kuaminina na unaweza kumtuma mtu kwenda kufanya maigizo na akakugeuka. Samia anavyochukiwa halafu akubali mtu wa kanda ya Ziwa apingane naye? Si watafanya kweli!
 
Back
Top Bottom