Shida kubwa mliyonayo CCM ni roho mbaya na kukosa akili.
Mtu kazungumza mambo ya msingi yanayohusu uhai na usalama wa Watanzania nyie mnajaribu kuhamisha mjadala kwa hoja za kipumbavu wti anatak urais.
Hizi propaganda zenu za kipuuzi zinazodi kuonesha kwa namna gani nyie ni washenzi na hamfai kabisa kuendelea kuliongoza hili Taifa.
Bii minitu, shetani amewaondolea akili.
Kama ulivyosema, Gwajima ametoa kauli iliyonyoka, kuwa utrkaji na mauaji ni ushetani. Amempa ujumbe kwa anayemiliki kikosi maalum cha watekaji na wauaji kuwa ajiweke kwenye nafasi ya wanaotekwa na ndugu wa wanaotekwa:
Amemwuliza itajisikiaje, kama Abdulu angetrkwa na kutolewa macho.
Jambo la ajabu, majitu yaliyojaa ushetani yanaanza kumlaumu Gwajima ambaye ametoa ujumbe mtakatifu na wa kiutu.