Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Sio kama unavyotaka tuamini, wafuasi wengi wa cdm niwenye uelewa mkubwa. Inshort hakuna wajinga wengi kwa hivyo huko.Kuanzia wiki ijayo mambo yatabadilika we mwenyewe utanishtua nimekaa hapa

Mkuu kwani wafuasi wa chadema ni milioni ngap?? Ngoma inachezwa kwa ajili ya raia wapate muamko wa kumuadhibu mama kwenye kura wakati kitendo icho kitaenda kubariki uchaguzi mkuu Mwaka huu.Sio kama unavyotaka tuamini, wafuasi wengi wa cdm niwenye uelewa mkubwa. Inshort hakuna wajinga wengi kwa hivyo huko.
Umeyatoa wapi haya ,mwana wa Mungu yupo magereza alafu unaleta ujinga ,no.reform no election, asema Bwana , mnachokitafuta mtakipata asema BwanaWasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Kama cdm hawatashiriki, hata ifanyike drama gani, automatically wapiga kura watakuwa wachache. Fei toto kahamia Azam, umeona mashabiki wa Yanga wakienda kuishabikia Azam?Mkuu kwani wafuasi wa chadema ni milioni ngap?? Ngoma inachezwa kwa ajili ya raia wapate muamko wa kumuadhibu mama kwenye kura wakati kitendo icho kitaenda kubariki uchaguzi mkuu Mwaka huu.
System isha hofu namba ndogo ya watu kwenye uchaguzi muamko wa NRNE ni mkubwa balaa
Ila wabongo punguzeni emotion mtumie akili banaUmeyatoa wapi haya ,mwana wa Mungu yupo magereza alafu unaleta ujinga ,no.reform no election, asema Bwana , mnachokitafuta mtakipata asema Bwana
Ukaelewa we subiriKama cdm hawatashiriki, hata ifanyike drama gani, automatically wapiga kura watakuwa wachache. Fei toto kahamia Azam, umeona mashabiki wa Yanga wakienda kuishabikia Azam?
Hujamuelewa; kaongelea mabadiliko ya katiba kuongeza usalama wa Taifa. Ni wimbo ule ule kama NrneWanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Unamanisha nini, utukomeIla wabongo punguzeni emotion mtumie akili bana
Gwajima na mzee wa upako wenda wako idara nyetiKabla ya Lissu kupigwa risasi Gwajima alikua ametoka kumwambia Lissu awe makini ni mtu janja flani tapeli tapeli Kama yule jamaa anayejifanya mwenyekiti mstaafu wa Kigoma kuwaamini kazi
Wasalaam,
WEnye macho wataona
Yaseme aliyosema Gwaji Boy afu uone kama utalala kwako, bata wee.Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Kwani Gwajima ameongea kipi cha ajabu? tutolee ujinga hapaYaseme aliyosema Gwaji Boy afu uone kama utalala kwako, bata wee.
Ukishakua na Ushawishi wanaweza kukutumia hata hauko Idara Nyeti kama MwampossaGwajima na mzee wa upako wenda wako idara nyeti
No Mimi nipo upande wa Gwajima na Mzee Warioba.Kuna mawili ama unakichwa kizito au unaskuma ajenda za lumumba
Anaweza kupata uteuzi wa ukuu wa wilayaZitakusaidia nn??
Mimi nafikiri uwezo wako ni mdogo sana. Kama umemsikiliza Askofu GWAJIMA vizuri unatakiwa ugundue kwamba Yale yote aliyo ongea Kiukweli kabisa watu wa System ndio wamempa undani wa yote na Kwa hakika walitafuta mtu wa aina yake kutoka ndani ya CCM ili awasemee...!Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Hakuna kitu hapa cha kujadili!Wasalaam,

Dhamira umeitunga mwenyewe, halafu unaipinga, si maajabu hayo?Tunaunga mkono kwa aliyoyasema ilaa tunaipinga dhamira iliyo nyuma yake