Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
- Thread starter
- #41
Ahsante kwakunielewa na tuzidi kuwaeleweshaChadema wafocus na no reforms no election tofauti na hapo watacheza Ngoma ambayo sio yao
Ahsante kwakunielewa na tuzidi kuwaeleweshaChadema wafocus na no reforms no election tofauti na hapo watacheza Ngoma ambayo sio yao
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Arupe na sisi tufaidi huo uzalendoTuwe wazalendo
Mama kasema tuwe wazalendo
Arupe na sisi tufaidi huo uzalendo
Mpango ndio mpango mzima hata kabla ya uchaguzi!!Kuna Awamu ya 7 mwaka huu 2025, na ni Mwanume, iwe ya Chisiemu au ya Chakwema au Chaquma tutajuana hukohuko.. Roho ya MUNGU imeniambia...
Kwahy mungu wako amekuambia utukane? Huyo mungu wako n mpuuziKuna Awamu ya 7 mwaka huu 2025, na ni Mwanume, iwe ya Chisiemu au ya Chakwema au Chaquma tutajuana hukohuko.. Roho ya MUNGU imeniambia...
Uzalendo jumba la vioo mzee kua makiniHaha
Wewe endelea kukaa kwenye nyumba ya kuvuja
Kitu cha umuhimu ni uzalendo
Hutoamini mzee vuta popcorn tuuKwamba kasongo "Mpina" naye yuko kwenye plan?
Wanasubiri maelekezo kuanzia kesho j3 utaona majibu, kwa sasa wanapima upepoNgoja yaje yale madishi kuyumba Lucas Mwashambwa na Tlaahtlaah!
Inasikitisha saana yaaniHii nchi ina maigizo mengi sana
Safi ka umeshtukia mchezoHaya yote ni kujaribu kubalance mizani
Cdm ni imani, hata wamlete nani kwa hoja zozote, hakuna uwezekano wa kuimaliza cdm kwa mbinu za kizamani. Halafu hakuna uwezekano wa Samia kukubali kuchafuliwa maana hana mvuto, hivyo kumchafua hata kama ni kiinimacho hakumlipi.Tatizo wengine hawaelewi na Ngoma ita act wa ma ccm kama yame react kweli kweli kumlinda mwenyekiti wao kumbe mchezo tuu
Hapoa unaona umecheza mindgame la hatari.Safi ka umeshtukia mchezo
Kuanzia wiki ijayo mambo yatabadilika we mwenyewe utanishtua nimekaa hapaCdm ni imani, hata wamlete nani kwa hoja zozote, hakuna uwezekano wa kuimaliza cdm kwa mbinu za kizamani. Halafu hakuna uwezekano wa Samia kukubali kuchafuliwa maana hana mvuto, hivyo kumchafua hata kama ni kiinimacho hakumlipi.