PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akili nyingine ni special sana.

Kwani tatizo la wananchi ni kukosekana kwa ĥamsha hamsha, kinachotakiwa nì reforms zinazohakikisha panakuwa ucĥaguzi credible sio maigizo ya uchaguzi. Usiwe fooled kirahisi hivyo.
Mimi ni mjumbe tuu sijaungana nao tafadhali.
Pia siunajua wanacheza na akili za waTZ wazee wa bendera fuata upepo
Mjumbe hauawi.
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.
Tumia akili basi (kama unazo lakini)
Unajua athari ya zile tuhuma za Gwajima? Mami wa kumuandaa mtu akamvue nguo kiasi kile!? Gwajima ni mtu aliyeguswa na madhira wapitiayo Watanganyika wenzake na kaamua liwalo na liwe. Tuhuma za mauaji ni zaidi ya kashfa za kawaida.
 
Wanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Wewe unaweza kumuandaa mtu akakuchafue kiasi kile!? Unajua athari za ukweli alioongea Gwajima kwa serikali? Acheni kututoa kwenye mstari
 
Na ndo mana akapewa hoja relevant ili aonekane shujaa wa kweli
Basi kaipa nguvu chadema na upinzani kwa ujumla na kuchafua taswira ya serikali/nchi ndani na nje!
Najua hamkuamini kama kuna mtu kutoka ndani anaweza kuongea yale
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....

Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.

#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.

Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.

Nawasilisha.

Ujinga tu, Yani ukiwa na agenda za wananchi utafuatwa, ulihama unaachwa, hatutaki mchezo, kama unabisha mwangalia Mbowe?
 
Basi kaipa nguvu chadema na upinzani kwa ujumla na kuchafua taswira ya serikali/nchi ndani na nje!
Najua hamkuamini kama kuna mtu kutoka ndani anaweza kuongea yale
Leo ni jumatatu mtaskia majibu mdogo mdogo mtaelewa
 
Wewe unaweza kumuandaa mtu akakuchafue kiasi kile!? Unajua athari za ukweli alioongea Gwajima kwa serikali? Acheni kututoa kwenye mstari
Kaka serikali inamuogopa nani sasa hivi?? Huo unaita uchafu ni uchafu against who??

Sikiliza wewe hii nchi Haina wananchi kwa sasa ina watawaliwa wanaishia maisha kwakutegemea betting watatoa wapi uwezo wa kutishia kuadhibu serikali??
 
Tumia akili basi (kama unazo lakini)
Unajua athari ya zile tuhuma za Gwajima? Mami wa kumuandaa mtu akamvue nguo kiasi kile!? Gwajima ni mtu aliyeguswa na madhira wapitiayo Watanganyika wenzake na kaamua liwalo na liwe. Tuhuma za mauaji ni zaidi ya kashfa za kawaida.
Kwakujiita mtanganyika ni kudhirisha kiwango cha kutokujuelewa.
 
Umeelewaka, watu tushapagawa kuomboleza deile bila kujua nani anafuata sio kitu rahisi mkuu!
Huyo huyo ndo tunaemtaka awe Raisvwa Taifa letu,iwe Chadema ama huko huko kwa Majizi
 
Wanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Tatizo mambo ya msingi yanaposemwa nyinyi mnayageuza kama propaaganda za kisiasa, uhai wa mtu una thamani kubwa kuliko vyeo vya kisiasa, so sio kitu cha kufanyia mzaha au mapuuza. Alichozungumza Gwajima ndo hali halisi ya tulipo sasa, uCCM au uCHADEMA una thamani gani kulinganisha na uhai wa mtu? Kama watanzania tunatakiwa tukemee vitendo viovu vinavofanywa na watu waovu, itikadi za kisiasa zisitutoe utu wetu. Kama unafurahia watu kutekwa au kuuwawa kwa sababu ina manufaa kwa chama ukipendacho basi huna akili.
 
Back
Top Bottom