StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kwamba akikimbilia CHAUMA ndio mtaiua NO REFORMS NO ELECTION?,🤣Hii ndio sababu itamfanya aonekane mpinzani wa kweli Kisha anakimbilia chauma nadhani ndo mtakua mshashtuka
Kwamba akikimbilia CHAUMA ndio mtaiua NO REFORMS NO ELECTION?,🤣Hii ndio sababu itamfanya aonekane mpinzani wa kweli Kisha anakimbilia chauma nadhani ndo mtakua mshashtuka
Anatuona Sisi vichanga humu😄UONGO. GWAJIMA KAWASHIKA MAKALIO HUKU MMEINAMA MTAZUSHA MENGI SANA.
basi kama kweli ulikuwa na lengo la kufikisha ujumbe huo; kwamba "CHADEMA wasitetereke, wa'focus' kwenye NO REFORM, NO ELECTION", kwa hayo uliyo andika hapo kwenye mada yenyewe; uandishi wako utakuwa ni wa shida kubwa sana!Ahsante kwakunielewa na tuzidi kuwaelewesha
Ametest upepo wa humu ameona haupo upande wa alichokiandika then ghafla amefanya U turn😄basi kama kweli ulikuwa na lengo la kufikisha ujumbe huo; kwamba "CHADEMA wasitetereke, wa'focus' kwenye NO REFORM, NO ELECTION", kwa hayo uliyo andika hapo kwenye mada yenyewe; uandishi wako utakuwa ni wa shida kubwa sana!
Kwa msomaji wa kawaida, mada yako haina uhusiano wowote na CHADEMA kukomaa na NRNE. Naona sasa unahororoja tu na mengine yasiyo husika kabisa na ulicho andika.
Hata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.Ametest upepo wa humu ameona haupo upande wa alichokiandika then ghafla amefanya U turn😄
Anataka kutuaminisha kwamba ya Mrema 1995 au Lowasa 2015 yatajirudia through Gwajima🤣🤣🤣Hata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.
Nimesoma mada yake hiyo nimeshindwa kabisa kujuwa alikuwa anataka kufikisha hoja zipi. Uandishi wake ni wa shida sana.
Umeishia darasa la ngapi?.Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Alipoishia baba akoUmeishia darasa la ngapi?.
Na ndio maana ccm wanatuchezesha masinema kila uchaguziNashangaa wanamuona heti Gwajima shujaa wakati mambo ya Utekaji yanaongelewa kila siku. Kuna watu wanaona Gwajima kama kaongea kitu Special au Kitu kigeni Hakijawai kusika maskioni mwa watu Watanzania wazee wa kwenda na Upepo wanawajua
Kama hujashtuka tu bet Mimi na weweAnataka kutuaminisha kwamba ya Mrema 1995 au Lowasa 2015 yatajirudia through Gwajima🤣🤣🤣
Uteuzi ni kwenda Mbinguni tuu hivi za Dunia sio vyakudumu mzeeAnaweza kupata uteuzi wa ukuu wa wilaya
Picha lazima lifanane na ukweli na ndo mana kama umenisoma vizuri sijapinga hoja zake na imelazimu azitumie kwa sababu ndio hoja zijazo trends Kawa sasa.Mimi nafikiri uwezo wako ni mdogo sana. Kama umemsikiliza Askofu GWAJIMA vizuri unatakiwa ugundue kwamba Yale yote aliyo ongea Kiukweli kabisa watu wa System ndio wamempa undani wa yote na Kwa hakika walitafuta mtu wa aina yake kutoka ndani ya CCM ili awasemee...!
Wanajua nguvu aliyo nayo GWAJIMA kisiasa na hasa kundi kubwa mtambuka Lililo nyuma yake.KIMSINGI HUU NI MWANZO WA CCM KUKUTANA NA WAKATI MGUMU SANA KISIASA. Mambo YAFUATAYO yatawahukumu CCM;
. Mauaji na utekaji watu.
. Uuzwaji Bandari kinyemela
.Kifo chenye utata Cha Magufuli
.Matumizi mabaya ya madaraka.
Hakuna namna CCM wanaweza kum win GWAJIMA ili arudi kuwatetea na maovu yao. Kule Kanda ya wasukuma ni kama wamesha achana na CCM Kwa ujumla wake.
NO REFORMS NO ELECTION.......!
Pia ahsante kwa maoni yakoHakuna kitu hapa cha kujadili!
Chawa leo si ndo jumatatu ndio siku ya maelekezo njoon muoneshe uwezoDhamira umeitunga mwenyewe, halafu unaipinga, si maajabu hayo?
Akili nyingine ni special sana.Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Mshaliwa kichwa tayari😂😂😂Anatuona Sisi vichanga humu😄
Ndio maana ya fasihi mkuu.basi kama kweli ulikuwa na lengo la kufikisha ujumbe huo; kwamba "CHADEMA wasitetereke, wa'focus' kwenye NO REFORM, NO ELECTION", kwa hayo uliyo andika hapo kwenye mada yenyewe; uandishi wako utakuwa ni wa shida kubwa sana!
Kwa msomaji wa kawaida, mada yako haina uhusiano wowote na CHADEMA kukomaa na NRNE. Naona sasa unahororoja tu na mengine yasiyo husika kabisa na ulicho andika.
Mnachekesha kweli vichwa panziAmetest upepo wa humu ameona haupo upande wa alichokiandika then ghafla amefanya U turn😄
Mwisho wa siku ushaelewaHata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.
Nimesoma mada yake hiyo nimeshindwa kabisa kujuwa alikuwa anataka kufikisha hoja zipi. Uandishi wake ni wa shida sana.