Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Shida kubwa mliyonayo CCM ni roho mbaya na kukosa akili.Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Na ndo mana akapewa hoja relevant ili aonekane shujaa wa kweliYeye hata agombee sawa tu ila huu utekaji hatuutaki
Tatizo wengine hawaelewi na Ngoma ita act wa ma ccm kama yame react kweli kweli kumlinda mwenyekiti wao kumbe mchezo tuuWanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Nshazoea waTZ wenzanguUtaoga mapovu leo
Ndio lengo ila ni nguvu ya mda tuuAmeipa nguvu chadema na wapinzani wote wa fisiem
Haiwezi kuwa ya muda maana haijaisha maskioni tu bali imeingia moyoniNdio lengo ila ni nguvu ya mda tuu
Soma vizuri alafu uje useme uccm wangu ni upi?Shida kubwa mliyonayo CCM ni roho mbaya na kukosa akili.
Mtu kazungumza mambo ya msingi yanayohusu uhai na usalama wa Watanzania nyie mnajaribu kuhamisha mjadala kwa hoja za kipumbavu wti anatak urais.
Hizi propaganda zenu za kipuuzi zinazodi kuonesha kwa namna gani nyie ni washenzi na hamfai kabisa kuendelea kuliongoza hili Taifa.
Hii ndio sababu itamfanya aonekane mpinzani wa kweli Kisha anakimbilia chauma nadhani ndo mtakua mshashtukaHaiwezi kuwa ya muda maana haijaisha maskioni tu bali imeingia moyoni
kWA HIYO GWAJIMA NDIE ANETEKA WATU?Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Msipende kukurupuka jaribu kuelewa mada
Kuna mawili ama unakichwa kizito au unaskuma ajenda za lumumbakWA HIYO GWAJIMA NDIE ANETEKA WATU?
Ni kweli lakini ndo nawasanua plan yao nikutafuta shujaa wa kusema mabaya yao ila kwa intention tofauti na raiaUmeelewaka, watu tushapagawa kuomboleza deile bila kujua nani anafuata sio kitu rahisi mkuu!
Labda unaota usingizi wa kujifariji,Mama yako saa hizi anaogopa hata kutoka injeWasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Siyo kweli. Hakuna mtu anayeweza kuonja sumu halfu ategemee matokeo mazuri. Mawazo yako ni kama ya wabongo waliokuwa wanasema Uhuru Kenyata alipokuwa anam-support Raila uchaguzi uliopita eti alikuwa anavunga ili Ruto apite! Theories za aina hii hazina uhasilia. Kwenye siasa hakuna kuaminina na unaweza kumtuma mtu kwenda kufanya maigizo na akakugeuka. Samia anavyochukiwa halafu akubali mtu wa kanda ya Ziwa apingane naye? Si watafanya kweli!Wasalaam,