Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
- Thread starter
-
- #101
Mtu anayetumwa na wasiotaka katiba Mpya na watekaje atakuaje mzuri??Agombee tuu hatutaki watekaji na wauuaji , na kama ana support katiba mpya na election reform, karibu sana
Mimi ni mjumbe tuu sijaungana nao tafadhali.Akili nyingine ni special sana.
Kwani tatizo la wananchi ni kukosekana kwa ĥamsha hamsha, kinachotakiwa nì reforms zinazohakikisha panakuwa ucĥaguzi credible sio maigizo ya uchaguzi. Usiwe fooled kirahisi hivyo.
Let’s give him the benefit of the doubtMtu anayetumwa na wasiotaka katiba Mpya na watekaje atakuaje mzuri??
Tuache na vichwa panzi vyetu huenda siku vitaimarika na kuwa vichwa vya seneneMnachekesha kweli vichwa panzi
Tumia akili basi (kama unazo lakini)Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Wewe unaweza kumuandaa mtu akakuchafue kiasi kile!? Unajua athari za ukweli alioongea Gwajima kwa serikali? Acheni kututoa kwenye mstariWanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Basi kaipa nguvu chadema na upinzani kwa ujumla na kuchafua taswira ya serikali/nchi ndani na nje!Na ndo mana akapewa hoja relevant ili aonekane shujaa wa kweli
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Ndo tuwe na tahadhariLet’s give him the benefit of the doubt
Leo ni jumatatu mtaskia majibu mdogo mdogo mtaelewaBasi kaipa nguvu chadema na upinzani kwa ujumla na kuchafua taswira ya serikali/nchi ndani na nje!
Najua hamkuamini kama kuna mtu kutoka ndani anaweza kuongea yale
Wanatumia kila mbinu kila silaha so hawajakubal kushindwaUjinga tu, Yani ukiwa na agenda za wananchi utafuatwa, ulihama unaachwa, hatutaki mchezo, kama unabisha mwangalia Mbowe?
Kaka serikali inamuogopa nani sasa hivi?? Huo unaita uchafu ni uchafu against who??Wewe unaweza kumuandaa mtu akakuchafue kiasi kile!? Unajua athari za ukweli alioongea Gwajima kwa serikali? Acheni kututoa kwenye mstari
Kwakujiita mtanganyika ni kudhirisha kiwango cha kutokujuelewa.Tumia akili basi (kama unazo lakini)
Unajua athari ya zile tuhuma za Gwajima? Mami wa kumuandaa mtu akamvue nguo kiasi kile!? Gwajima ni mtu aliyeguswa na madhira wapitiayo Watanganyika wenzake na kaamua liwalo na liwe. Tuhuma za mauaji ni zaidi ya kashfa za kawaida.
Wanatumia kila mbinu kila silaha so hawajakubal kushindwa
Basi msiingie mkenge maana Gwajima hayupo upande wenuMshindi ni aliye upande wa wananchi tu
Huyo huyo ndo tunaemtaka awe Raisvwa Taifa letu,iwe Chadema ama huko huko kwa MajiziUmeelewaka, watu tushapagawa kuomboleza deile bila kujua nani anafuata sio kitu rahisi mkuu!
Tatizo mambo ya msingi yanaposemwa nyinyi mnayageuza kama propaaganda za kisiasa, uhai wa mtu una thamani kubwa kuliko vyeo vya kisiasa, so sio kitu cha kufanyia mzaha au mapuuza. Alichozungumza Gwajima ndo hali halisi ya tulipo sasa, uCCM au uCHADEMA una thamani gani kulinganisha na uhai wa mtu? Kama watanzania tunatakiwa tukemee vitendo viovu vinavofanywa na watu waovu, itikadi za kisiasa zisitutoe utu wetu. Kama unafurahia watu kutekwa au kuuwawa kwa sababu ina manufaa kwa chama ukipendacho basi huna akili.Wanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Basi msiingie mkenge maana Gwajima hayupo upande wenu