NYUMA YA PAZIA. Kwanini Heche ni Pandikizi Jipya kwenye upinzani?

Heche

Member
Joined
Dec 10, 2025
Posts
78
Reaction score
205
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.

2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana.

3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani.

4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa Zitto Kuchukua chama na Alipinga Zitto kufukuzwa.

5. Sasa anaongoza Juhudi za kurudisha Akina Mdee Chamani ata baada ya kile alichokiongoza kwa miaka 5 ya usaliti mkali.

6. Haoneshi wazi Njia za mabadiliko ya wazi. Kutoa uelekeo wa kimkakaati mfano.
(a). Tanzania ili kufikia kufuta upungufu wa walimu angalau mwl 1:30 wanafunzi inatakiwa kuajili walimu 267900. Hasa vijijini kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi basi bajeti ingeongezeka tillion 3tu. Sawa na asilimia Sita na inawezekana vizuri kabisa.
(b). Kupigania kushushwa kwa ushuru na vikwazo kwa wanunuzi wa mazao yote. Bei za mazao zingepanda kwa zaidi ya 200 asilimia. Vijana wangejiajili kwenye kilimo cha biashara na hali zingekuwa nzuri. Kuanzia pamba, mpunga, alizeti na tumbaku na kahawa.

Kifupi kama mtu haoneshi mianya ya kuziba basi na yeye hukinga maji yake. Hivyo kifupi KILA NIKIPIMA HECHE ANACHOKIFANYA NA HOJA ZAKE NAONA KATUMWA HUYU.

Eti "tunalasilimali ambazo tunaweza kukaa tu ndani na unakula"

Hii kauli sio halisi. Kinachotakiwa kila shuguli iwe na Tija kubwa sana.

Mfano kuwa na maghala ya taifa shirikishi. Watu wakopeshwe waendeleze hifadhi za mazao. Ili mipaka isifungwe. Maghala yanunue mazao kwa bei za ushindani na huku wakulima wakiuza nje bila vizuizi ili kilimo kiwe na tija.
 
Mimi naona Heche sio pandikizi ila uwezo wake wa kiakili ni mdogo. Hana uwezo wa kujenga hoja za kutikisa nchi kama kina Zitto Kabwe na Dr Slaa. Heche ni kama Mdude Nyagali au Sativa. Ni mropokaji. Kama angekuwa na uwezo wa kujenga hoja kama Zitto akajumlisha na jinsi alivyo aggressive angekuwa mpinzani hatari.
 
Kafuate posho yako halafu mwambie Kihongosi watanzania wa sasa sio wale wa 1970.
downloadfile-270.png
 
Kazi uliyopangiwa na Makonda ni kupambana na Heche tu hapa JF maana kitu unachoweza kupost ni Heche tu.
 
Umekuja na jina lake kwa lengo moja tu la kumchafua. Ukiulizwa utoe ushahidi wa shutuma zako, mara zote unaishia tu kupepesa macho, kung'ata maneno, na kutikisa masikio.
 
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.

2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana.

3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani.

4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa Zitto Kuchukua chama na Alipinga Zitto kufukuzwa.

5. Sasa anaongoza Juhudi za kurudisha Akina Mdee Chamani ata baada ya kile alichokiongoza kwa miaka 5 ya usaliti mkali.

6. Haoneshi wazi Njia za mabadiliko ya wazi. Kutoa uelekeo wa kimkakaati mfano.
(a). Tanzania ili kufikia kufuta upungufu wa walimu angalau mwl 1:30 wanafunzi inatakiwa kuajili walimu 267900. Hasa vijijini kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi basi bajeti ingeongezeka tillion 3tu. Sawa na asilimia Sita na inawezekana vizuri kabisa.
(b). Kupigania kushushwa kwa ushuru na vikwazo kwa wanunuzi wa mazao yote. Bei za mazao zingepanda kwa zaidi ya 200 asilimia. Vijana wangejiajili kwenye kilimo cha biashara na hali zingekuwa nzuri. Kuanzia pamba, mpunga, alizeti na tumbaku na kahawa.

Kifupi kama mtu haoneshi mianya ya kuziba basi na yeye hukinga maji yake. Hivyo kifupi KILA NIKIPIMA HECHE ANACHOKIFANYA NA HOJA ZAKE NAONA KATUMWA HUYU.

Eti "tunalasilimali ambazo tunaweza kukaa tu ndani na unakula"

Hii kauli sio halisi. Kinachotakiwa kila shuguli iwe na Tija kubwa sana.

Mfano kuwa na maghala ya taifa shirikishi. Watu wakopeshwe waendeleze hifadhi za mazao. Ili mipaka isifungwe. Maghala yanunue mazao kwa bei za ushindani na huku wakulima wakiuza nje bila vizuizi ili kilimo kiwe na tija.

Heche na salum mwalimu nani ni pandikizi?
 
Ukishamaliza kudhalilisha wanaume wenye causes na mission zao kwa taifa uliambie hili jamvi wewe una mchango gani kwa maendeleo ya dunia zaidi ya kumwaga mbolea ya samadi tu ukishibishwa kande na kutumwa na mapimbi wengine sisiemuni!
 
Kazi uliyopangiwa na Makonda ni kupambana na Heche tu hapa JF maana kitu unachoweza kupost ni Heche tu.
SIamini mapungufu ya Watawala ni yao tu. Bali kukosekana watu makini wa kusukuma mabadiliko kwa vitendo sio maneno matupu.
Heche ni wa maneno matupu.
Hatoi uelekeo wa Taasisis au kuweka malengo ya Taifa. Huja na hoja Zake ila sio Maaamuzi ya pamoja na muelekeo wa chama.
 
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.

2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana.

3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani.

4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa Zitto Kuchukua chama na Alipinga Zitto kufukuzwa.

5. Sasa anaongoza Juhudi za kurudisha Akina Mdee Chamani ata baada ya kile alichokiongoza kwa miaka 5 ya usaliti mkali.

6. Haoneshi wazi Njia za mabadiliko ya wazi. Kutoa uelekeo wa kimkakaati mfano.
(a). Tanzania ili kufikia kufuta upungufu wa walimu angalau mwl 1:30 wanafunzi inatakiwa kuajili walimu 267900. Hasa vijijini kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi basi bajeti ingeongezeka tillion 3tu. Sawa na asilimia Sita na inawezekana vizuri kabisa.
(b). Kupigania kushushwa kwa ushuru na vikwazo kwa wanunuzi wa mazao yote. Bei za mazao zingepanda kwa zaidi ya 200 asilimia. Vijana wangejiajili kwenye kilimo cha biashara na hali zingekuwa nzuri. Kuanzia pamba, mpunga, alizeti na tumbaku na kahawa.

Kifupi kama mtu haoneshi mianya ya kuziba basi na yeye hukinga maji yake. Hivyo kifupi KILA NIKIPIMA HECHE ANACHOKIFANYA NA HOJA ZAKE NAONA KATUMWA HUYU.

Eti "tunalasilimali ambazo tunaweza kukaa tu ndani na unakula"

Hii kauli sio halisi. Kinachotakiwa kila shuguli iwe na Tija kubwa sana.

Mfano kuwa na maghala ya taifa shirikishi. Watu wakopeshwe waendeleze hifadhi za mazao. Ili mipaka isifungwe. Maghala yanunue mazao kwa bei za ushindani na huku wakulima wakiuza nje bila vizuizi ili kilimo kiwe na tija.
Mtoeni LISSU JELA.

Acheni huu upumbavu kwasababu ya vijisenti vya masikini.
 
SIamini mapungufu ya Watawala ni yao tu. Bali kukosekana watu makini wa kusukuma mabadiliko kwa vitendo sio maneno matupu.
Heche ni wa maneno matupu.
Hatoi uelekeo wa Taasisis au kuweka malengo ya Taifa. Huja na hoja Zake ila sio Maaamuzi ya pamoja na muelekeo wa chama.
Jina la Heche ndiyo linakupa mkate wa siku hadi umeamua liwe ID yako, kazi uliyopewa ni ngumu sana.
 
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.

2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana.

3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani.

4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa Zitto Kuchukua chama na Alipinga Zitto kufukuzwa.

5. Sasa anaongoza Juhudi za kurudisha Akina Mdee Chamani ata baada ya kile alichokiongoza kwa miaka 5 ya usaliti mkali.

6. Haoneshi wazi Njia za mabadiliko ya wazi. Kutoa uelekeo wa kimkakaati mfano.
(a). Tanzania ili kufikia kufuta upungufu wa walimu angalau mwl 1:30 wanafunzi inatakiwa kuajili walimu 267900. Hasa vijijini kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi basi bajeti ingeongezeka tillion 3tu. Sawa na asilimia Sita na inawezekana vizuri kabisa.
(b). Kupigania kushushwa kwa ushuru na vikwazo kwa wanunuzi wa mazao yote. Bei za mazao zingepanda kwa zaidi ya 200 asilimia. Vijana wangejiajili kwenye kilimo cha biashara na hali zingekuwa nzuri. Kuanzia pamba, mpunga, alizeti na tumbaku na kahawa.

Kifupi kama mtu haoneshi mianya ya kuziba basi na yeye hukinga maji yake. Hivyo kifupi KILA NIKIPIMA HECHE ANACHOKIFANYA NA HOJA ZAKE NAONA KATUMWA HUYU.

Eti "tunalasilimali ambazo tunaweza kukaa tu ndani na unakula"

Hii kauli sio halisi. Kinachotakiwa kila shuguli iwe na Tija kubwa sana.

Mfano kuwa na maghala ya taifa shirikishi. Watu wakopeshwe waendeleze hifadhi za mazao. Ili mipaka isifungwe. Maghala yanunue mazao kwa bei za ushindani na huku wakulima wakiuza nje bila vizuizi ili kilimo kiwe na tija.
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Mimi naona Heche sio pandikizi ila uwezo wake wa kiakili ni mdogo. Hana uwezo wa kujenga hoja za kutikisa nchi kama kina Zitto Kabwe na Dr Slaa. Heche ni kama Mdude Nyagali au Sativa. Ni mropokaji. Kama angekuwa na uwezo wa kujenga hoja kama Zitto akajumlisha na jinsi alivyo aggressive angekuwa mpinzani hatari.
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.

2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana.

3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani.

4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa Zitto Kuchukua chama na Alipinga Zitto kufukuzwa.

5. Sasa anaongoza Juhudi za kurudisha Akina Mdee Chamani ata baada ya kile alichokiongoza kwa miaka 5 ya usaliti mkali.

6. Haoneshi wazi Njia za mabadiliko ya wazi. Kutoa uelekeo wa kimkakaati mfano.
(a). Tanzania ili kufikia kufuta upungufu wa walimu angalau mwl 1:30 wanafunzi inatakiwa kuajili walimu 267900. Hasa vijijini kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi basi bajeti ingeongezeka tillion 3tu. Sawa na asilimia Sita na inawezekana vizuri kabisa.
(b). Kupigania kushushwa kwa ushuru na vikwazo kwa wanunuzi wa mazao yote. Bei za mazao zingepanda kwa zaidi ya 200 asilimia. Vijana wangejiajili kwenye kilimo cha biashara na hali zingekuwa nzuri. Kuanzia pamba, mpunga, alizeti na tumbaku na kahawa.

Kifupi kama mtu haoneshi mianya ya kuziba basi na yeye hukinga maji yake. Hivyo kifupi KILA NIKIPIMA HECHE ANACHOKIFANYA NA HOJA ZAKE NAONA KATUMWA HUYU.

Eti "tunalasilimali ambazo tunaweza kukaa tu ndani na unakula"

Hii kauli sio halisi. Kinachotakiwa kila shuguli iwe na Tija kubwa sana.

Mfano kuwa na maghala ya taifa shirikishi. Watu wakopeshwe waendeleze hifadhi za mazao. Ili mipaka isifungwe. Maghala yanunue mazao kwa bei za ushindani na huku wakulima wakiuza nje bila vizuizi ili kilimo kiwe na tija.
Rubbish 🗑 🚮
 
SIamini mapungufu ya Watawala ni yao tu. Bali kukosekana watu makini wa kusukuma mabadiliko kwa vitendo sio maneno matupu.
Heche ni wa maneno matupu.
Hatoi uelekeo wa Taasisis au kuweka malengo ya Taifa. Huja na hoja Zake ila sio Maaamuzi ya pamoja na muelekeo wa chama.
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Mleta mada kwanza inaonekana unamwelewa Hecge. Ndio maana hata id yako umejiita Heche.
2. Ni kilele za kiwango gani zimeshapigwa na vyama vta upinzani jinsi nchi inavyoendeshwa kiboya kwenye sekta zote za kiuchumi, kijamii, elimu nk, na ccm imeziba masikio na haina hata habari.
Heche ni mmoja wa wanasiasa wakubwa kwa sasa hapa nchini. Misimamo yake, Hoja zake, na uwezo wake ni sawa na maccm yote including Chura kiziwi.
Kifupi kabisa. Ccm ndio shida kwenye hii nchi.
 
Back
Top Bottom