Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Wewe umesukuma lipi?SIamini mapungufu ya Watawala ni yao tu. Bali kukosekana watu makini wa kusukuma mabadiliko kwa vitendo sio maneno matupu.
Heche ni wa maneno matupu.
Hatoi uelekeo wa Taasisis au kuweka malengo ya Taifa. Huja na hoja Zake ila sio Maaamuzi ya pamoja na muelekeo wa chama.