NYUMA YA PAZIA. Kwanini Heche ni Pandikizi Jipya kwenye upinzani?

Wewe umesukuma lipi?
 
Zito kabwela unamlinganisha na heche? 🤣 kuwe serious bro

Zitto alishajishusha kiasiasa , he is an old dog . No longer has teeth no longer bites
 
Zito kabwela unamlinganisha na heche? 🤣 kuwe serious bro

Zitto alishajishusha kiasiasa , he is an old dog . No longer has teeth no longer bites
Mkuu hiyo ni fact nimeandika. Zitto kujishusha kisiasa ni suala lingine ila rekodi za Zitto kwenye siasa za nchi hii haziwezi kufikiwa na Heche. Zitto ndo aliibua hoja ya Buzwagi hadi ikabidi sheria ifanyiwe mabadiliko. Heche hana rekodi yoyote ya kukumbukwa.
 
Nope unajua kwenye siasa lazima uwe na muendelezo , if siasa yako inafifia baada ya kutoka mahali fulani bado hana umahiri
 
Mtoeni LISSU JELA.

Acheni huu upumbavu kwasababu ya vijisenti vya masikini.
Kwanini CCM wamuogope Lissu Pekee na kumweka jela? Kuna ukweli wa kushangaza sana hapa!...
Kama Heche alikuwa na uwezo wa kuelekea mabadiliko ya kweli basi CCM wasingemuacha bure
 
Kwanini CCM wamuogope Lissu Pekee na kumweka jela? Kuna ukweli wa kushangaza sana hapa!...
Kama Heche alikuwa na uwezo wa kuelekea mabadiliko ya kweli basi CCM wasingemuacha bure
CCM wanamuogopa mpaka Dogo Soka na Chaula ambaye hakuwa hata mwanasiasa wamewaua.

Hakuna akili kabisa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…