Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Sio vyakula ni vyakula vyenye virutubisho Kwa kuimarisha nguvu na hamu ya tendo. Pia tatizo lingine Kwa wanaume waliooa mwanamke kama ni bickering wife, hamu inakata. Wanawake wengi siku hizi ni bickering sana,majibizano na mashindano mengi. Unatakiwa siku moja moja issue zingine unazipuuzia tu, sio kila siku kelele na lawama.
Wewe haujui tuu. Wakishakula wakishiba vizuri ni kukoroma tuu.
Tena bora asile atakupa cha dakika 3
 
Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.


Miaka mingapi range yake mkuu?
 
Kuna binti mmoja aliwahi kalishwa kikao kwa mchungaji wakimtuhumu kuwa kafanya uzinzi.Walipompa nafasi ya kujieleza akasema kuwa mumewe jogoo hawiki ana mwaka na miezi kadhaa.cha kushangaza kila aliyekuwepo pale alikuwa upande wa kijana hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa upande wa binti na huku ashatoa sababu iliyomfanya achepuke.sasa nilichojifunza ni kuwa wao wanaume wakifanya hamna shida ila shida inakuja ukifanya wewe
 
Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.


Miaka mingapi range yake mkuu?
Wengi wapo hivyo na mwanamke akiongea anaambiwa anagubu, wewe fuatilia ambao wanalalamika wake zao wanagubu wengi ni hilo tu hawasemi ukweli wanakwepesha [emoji23][emoji23][emoji23] halafu hapo hapo unakuta anahangaika na michepuko badala ya kuimarisha kwa mkewe
 

Hiyo sababu ya mwisho ndio wengi wao
 
Hata walivyo ambiwa hakuna future [emoji23][emoji23][emoji23] bado anakandamizwa? Hapakuwa na mwanamke wakumsaidia? Ila kuna mama mmewe alifariki japo alikuwa anaumwa ndugu wakaanza kumlalamikia mkewe, akaamua atoe siri kwa ndugu wa mme nimemnyanyasa vipi mbona sijamkimbia tuna zaidi ya miaka 2 bila bila jogoo hapandi mtungi [emoji41][emoji41][emoji41] yakawashuka
 

Umeongea ukweli mtupu[emoji1787][emoji1787]
 

Duuh Mbona bd mdogo sana[emoji23][emoji23][emoji23]....
Ila kuna wakati hamu ikikata hata kuguswa inakua karaha
 
Kwahiyo sisi tunajiandaaje? Tuangalie porn ili tupate hisia? Mkija mchomeke tuu?
Wazembe sana nyie wanaume. Ndio maana mkilala tunawaona kama ng'ombe imelala kitandani. Na mwanamke usipomridhisha hata heshima inapungua.

Kabisa Mwanamke asiporidhika heshima inaondoka asilimia kubwa hiyo ni asili ya Mwanamke yoyote yule
 
Kabisa Mwanamke asiporidhika heshima inaondoka asilimia kubwa hiyo ni asili ya Mwanamke yoyote yule
Sasa utamweshimu ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]? Kile kinachofanya umuheshimu hakuna haaa haaa halafu utakuta anakufanyia na visa haaa haaa kuna ugomvi niliusikia eti nitaoa mke wa pili mke alicheka sana eti utampa nini [emoji24][emoji24][emoji24] aibu sana
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487][emoji898]
 
wewe mwanamke wewe.
hebu ngoja nikuitie mdogo wangu hapa akuoe
 

Acha uwongo ...
Kumpa gari na nyumba sio ndio umemaliza kutimiza majukumu yako hapo umefeli kabis..
Kama huko chini umefeli hivyo vitu kwa Mwanamke havina thamani ndio nikwambie leo
 
Uwakute sasa wanajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!

Ukweli mtupu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 13 sio la muhimu sana ....
Kubwa ni kutokuridhishwa [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…