zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,618
- 1,338
Mimi mbona inaongezeka kila siku, yaani hadi nimesharuhusiwa kuongeza msaidizi kihalali kabisa.
Umeoa lakini? Maana huwa mnachoka baada ya kuoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeoa lakini? Maana huwa mnachoka baada ya kuoa.
Wewe haujui tuu. Wakishakula wakishiba vizuri ni kukoroma tuu.
Tena bora asile atakupa cha dakika 3
Kuna binti mmoja aliwahi kalishwa kikao kwa mchungaji wakimtuhumu kuwa kafanya uzinzi.Walipompa nafasi ya kujieleza akasema kuwa mumewe jogoo hawiki ana mwaka na miezi kadhaa.cha kushangaza kila aliyekuwepo pale alikuwa upande wa kijana hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa upande wa binti na huku ashatoa sababu iliyomfanya achepuke.sasa nilichojifunza ni kuwa wao wanaume wakifanya hamna shida ila shida inakuja ukifanya weweLabda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3😂😂😂😂😂.
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Wengi wapo hivyo na mwanamke akiongea anaambiwa anagubu, wewe fuatilia ambao wanalalamika wake zao wanagubu wengi ni hilo tu hawasemi ukweli wanakwepesha [emoji23][emoji23][emoji23] halafu hapo hapo unakuta anahangaika na michepuko badala ya kuimarisha kwa mkeweUmri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.
Miaka mingapi range yake mkuu?
Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)
Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)
Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)
Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Hata walivyo ambiwa hakuna future [emoji23][emoji23][emoji23] bado anakandamizwa? Hapakuwa na mwanamke wakumsaidia? Ila kuna mama mmewe alifariki japo alikuwa anaumwa ndugu wakaanza kumlalamikia mkewe, akaamua atoe siri kwa ndugu wa mme nimemnyanyasa vipi mbona sijamkimbia tuna zaidi ya miaka 2 bila bila jogoo hapandi mtungi [emoji41][emoji41][emoji41] yakawashukaKuna binti mmoja aliwahi kalishwa kikao kwa mchungaji wakimtuhumu kuwa kafanya uzinzi.Walipompa nafasi ya kujieleza akasema kuwa mumewe jogoo hawiki ana mwaka na miezi kadhaa.cha kushangaza kila aliyekuwepo pale alikuwa upande wa kijana hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa upande wa binti na huku ashatoa sababu iliyomfanya achepuke.sasa nilichojifunza ni kuwa wao wanaume wakifanya hamna shida ila shida inakuja ukifanya wewe
Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Hiyo sababu ya mwisho ndio wengi wao
mwalimu,..mwalimu... mimi wangu hakyanani akiona manjonjo ya kutaka kuomba mchezo anabadilika anachukia kabisa hata ufanyeje ... huwa nafosi tu kibabe dude likiwa lishasoma 4G na hanipi ushirikiano kabisa, najipigia kama napumb maji nikimaliza natulia, kuna siku kidogo nimuwashe makofi kabisa dushe limesimama halafu hataki kunipa papuchi
Siku akihitaji yeye utajua tu, hayo maandalizi ya kitanda yanakuwa tofauti kabisa, na anatoa ushirikiano babu kubwaaa ila bao moja tu hataki tena...hata kile cha asubuhi hataki😀, hapendi kabisa ngono kwa sasa, wakati ndio ana 30 aged tu.Hata sijui kabisa shida yake ni nini
Nimejaribu kumuuliza, jibu lake ni kunilaumu mimi kwamba napenda ngono... najua yuko humu nae bora afunguke tu nijue maana ananinyima utamu walai.
kuna mda nahisi nagongewa...
Kwahiyo sisi tunajiandaaje? Tuangalie porn ili tupate hisia? Mkija mchomeke tuu?
Wazembe sana nyie wanaume. Ndio maana mkilala tunawaona kama ng'ombe imelala kitandani. Na mwanamke usipomridhisha hata heshima inapungua.
Sasa utamweshimu ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]? Kile kinachofanya umuheshimu hakuna haaa haaa halafu utakuta anakufanyia na visa haaa haaa kuna ugomvi niliusikia eti nitaoa mke wa pili mke alicheka sana eti utampa nini [emoji24][emoji24][emoji24] aibu sanaKabisa Mwanamke asiporidhika heshima inaondoka asilimia kubwa hiyo ni asili ya Mwanamke yoyote yule
Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.
Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe mwanamke wewe.Sasa utamweshimu ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]? Kile kinachofanya umuheshimu hakuna haaa haaa halafu utakuta anakufanyia na visa haaa haaa kuna ugomvi niliusikia eti nitaoa mke wa pili mke alicheka sana eti utampa nini [emoji24][emoji24][emoji24] aibu sana
Iko namna hii,mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka tu,hata umpe majumba,magari,na umgonge bao moja dakika 70.
Kama akiamua kutulia atatulia,Kama akiamua kukiwa out hata ufanyeje ataliwa tu.
Nani alikwambia mwanamke anaridhika? Aliemuumba mwenyewe bado anamkosoa itakua sisi wanaume,wamepewa nywele wanaweka wigi,
Kucha wanaweka za bandia,
Nyusi wanaweka za bandia,wewe utaweza wapi kumfanya asichepuke.
Ndo maana myself,hua sihangaiki nao,kwa kuwa nawafahamu hawaridhiki,najua hawana utulivu.
Uwakute sasa wanajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.
2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.
3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.
4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)
6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)
7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.
8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.
9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.
10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".
11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)
11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.
12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.
13. Kuolewa na mtu ambae sio chaguo lako, ile unaolewa by the way tu. Hivyo unakuwa huna hisia nae, huyu hata angefanya nini bado tu kuna kitu kinapwaya.
13. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Sasa umeanza kucomment kwa hisia. Huu mchezo hauhitaji hasira.