katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wanayataka wenyewe kwa sababu mume anahudumia nje humu ndani anakutumia tu kama housegirl , umfulie , umpikie nakuweka nyumba yake sawa.Pole sana, Uwiii miwa yenyewe imepecha ina wadudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa jamani nacheka kama mazuri, wanawake wanavumilia mengi sana, na shida huwa ni kuanza, siku akianza basi tena, wanaume huwa wanayataka wenyewe!
Usishangae mmeyataka wenyeweAiseee
Duu jamani haya mambo, kuna ndugu yangu kaishia kuambukizwa HIV halafu kinamgeuka na kwenda mtaani kudanga huko, huyo dada mpaka anajuta nilikuwa nawakataa wanaume namsubilia yeye ona alichonifanyia, hivi hata huko aliko kweli apate baraka za mwenyezi Mungu kweli? Matokeo yake kabaki kama watu wa Dodoma baridi muda wote, utazani Watchmen kuvaa makoti eti naye kawa bodabodaNdio mnachepuka na chepuka ila mimi sio mjinga naangalia mtu wa kuchepuka naye .
Shie nyie tu ndio mmpewe mkitaka kwani nyie nani hasa?
Siwanadamu tu ,?
Halafu isitoshe mnasaidiwa sana kwa maana mna wasaidia sana.
Kuna siku mpaka nikashindwa kuamka kisa hiyo shida na akaondoka kwenda kazini.
Mpaka nikaona nioge maji ya baridi halafu baadae nikaona nikakumbushie kwa boyfirend wangu wa zamani .
Akashangaa mbona wewe haukogi hivyo unajiheshimu ukiwaga na mtu kulikoni.
Nikasema mme wangu anamadai yupo busy ndio akanipa akili anazofanya yeye.
Nazinamsaidia mapenzi humfanya chizi mtu eti
Bora uchepuke tu ndio dawa.
Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauriziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tuWanayataka wenyewe kwa sababu mume anahudumia nje humu ndani anakutumia tu kama housegirl , umfulie , umpikie nakuweka nyumba yake sawa.
wewe mwanamke weweDah wanawake wana mambo mi niliona mama wa 52 years ana cheat nilibaki hoi. Huyu kama alikuwa anasifiwa sana na huyu mwanaume wote ni colleagues ofisini. Mama wa watu alikuwa na bantu figure basi zile sifa za kusifiwa umependeza. Mara u look beatiful kumbe mmewe alimsifia 20 years ago. Mama akazama kwenye penzi mchepuko mpk ukamnunulia gari looh mme kuja kugundua mbona alikufa na pressure. Baba wa watu alikuwa hana habari na mke akijua yuko kwenye menopause kumbe mama bado chini kuna waka moto . Alivyogundua hakuishi muda mrefu alikufa. Yule mama yuko mpk leo anazeeka na uzuri wake na anafaidi wajukuu zake looh.
Inaboa eti wanaume wanachosha .Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauliziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tu
Kwa raha zake, unajua itakuwa mama alikuwa akimwambia Baba anakuja juu mama anashindwa kupiga kelele na huo utu uzima kavumilia kachoka sasa yeye kafia nini itakuwa alikuwa anahangaika na vibinti vidogo kasahau kwa mkewe apumzike tu kwa amani.Dah wanawake wana mambo mi niliona mama wa 52 years ana cheat nilibaki hoi. Huyu kama alikuwa anasifiwa sana na huyu mwanaume wote ni colleagues ofisini. Mama wa watu alikuwa na bantu figure basi zile sifa za kusifiwa umependeza. Mara u look beatiful kumbe mmewe alimsifia 20 years ago. Mama akazama kwenye penzi mchepuko mpk ukamnunulia gari looh mme kuja kugundua mbona alikufa na pressure. Baba wa watu alikuwa hana habari na mke akijua yuko kwenye menopause kumbe mama bado chini kuna waka moto . Alivyogundua hakuishi muda mrefu alikufa. Yule mama yuko mpk leo anazeeka na uzuri wake na anafaidi wajukuu zake looh.
Haaa haaa kama na kuona unavyojikausha kama haujui chochote kile, mwanamke kumgundua mpaka FBI wahusike, hapo ukiwa naye usimwambie madhaifu ya huku umakukuruka tu kwa akili basi, unajua nikiwa binti mdogo dada mmoja alikuta ugomvi wa mke&mme, mke analalamika huyo dada akamwambia tafuta kajibiwa hawezi maana yeye kaolewa bikira hivyo hawezi, sahizi marehemu walikufa na HIV Baba alikuwa na visichana kibaoInaboa eti wanaume wanachosha .
Unajua bora uolewe na mwanaume muongeaji .
Wangu ni mkimya ni vitendo tu .
Hata ukipiga kelele anakaa kimya au anaondoka.
Ila hii ndio dawa yake tunazungukana tutakutana kwa mmjomba .
Nimechoka yaani unahamu sana kwa moyo wote halafu anakukaushia .
Na nihaki yake kutoa huduma hiyo nimeona niseende mbali niko karibu.
Kuhusu HIV kuna dada jirani alipewa na mume wake basi anaishi kwa matumaini naye anajuta angedanga tu karingia watu eri kisa kaolewa .
Tembea kqa stepu usimkanyage mumeo kichwani akajua .
Mapenzi ya sikufanye uwe unaogopa kushirikisha wanaume wengine .
Sema awe mmoja tu tena anayejitambua kuanzia afya .
Juzi nimempeleka wifi yangu ,mme wangu na honey wangu hospitali kwa check up yaani hapa shemeji yangu alicheka sana hakuamini kuwa nimefanya hivyo tupo sawa .
Naomba iwe hivyooo kila wakati.
afu nyie wanaume mwatuchukuliaje?siye easy kabisa kututeka ila current men hamko romantic hamjui ku-care,mko mabahili,sex la kuungaunga..majim mnapiga sijui mwatafta masixpak yenu ila mko low charged kwa bed..nyooo!!!
Waambie wanatuchukulia kama malofa yaani siye hatuwezi lolote kumbe wao ndio wanajichoresha tu.afu nyie wanaume mwatuchukuliaje?siye easy kabisa kututeka ila current men hamko romantic hamjui ku-care,mko mabahili,sex la kuungaunga..majim mnapiga sijui mwatafta masixpak yenu ila mko low charged kwa bed..nyooo!!!
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.
Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?
Wanaume, Leo vungeni tusikilizietunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]
Wadada uwanja wenu huu.
Fungukeni