Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Pole sana, Uwiii miwa yenyewe imepecha ina wadudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa jamani nacheka kama mazuri, wanawake wanavumilia mengi sana, na shida huwa ni kuanza, siku akianza basi tena, wanaume huwa wanayataka wenyewe!
Wanayataka wenyewe kwa sababu mume anahudumia nje humu ndani anakutumia tu kama housegirl , umfulie , umpikie nakuweka nyumba yake sawa.
 
Ndio mnachepuka na chepuka ila mimi sio mjinga naangalia mtu wa kuchepuka naye .
Shie nyie tu ndio mmpewe mkitaka kwani nyie nani hasa?
Siwanadamu tu ,?
Halafu isitoshe mnasaidiwa sana kwa maana mna wasaidia sana.

Kuna siku mpaka nikashindwa kuamka kisa hiyo shida na akaondoka kwenda kazini.
Mpaka nikaona nioge maji ya baridi halafu baadae nikaona nikakumbushie kwa boyfirend wangu wa zamani .
Akashangaa mbona wewe haukogi hivyo unajiheshimu ukiwaga na mtu kulikoni.

Nikasema mme wangu anamadai yupo busy ndio akanipa akili anazofanya yeye.
Nazinamsaidia mapenzi humfanya chizi mtu eti

Bora uchepuke tu ndio dawa.
Duu jamani haya mambo, kuna ndugu yangu kaishia kuambukizwa HIV halafu kinamgeuka na kwenda mtaani kudanga huko, huyo dada mpaka anajuta nilikuwa nawakataa wanaume namsubilia yeye ona alichonifanyia, hivi hata huko aliko kweli apate baraka za mwenyezi Mungu kweli? Matokeo yake kabaki kama watu wa Dodoma baridi muda wote, utazani Watchmen kuvaa makoti eti naye kawa bodaboda
 
Wanayataka wenyewe kwa sababu mume anahudumia nje humu ndani anakutumia tu kama housegirl , umfulie , umpikie nakuweka nyumba yake sawa.
Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauriziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tu
 
Dah wanawake wana mambo mi niliona mama wa 52 years ana cheat nilibaki hoi. Huyu kama alikuwa anasifiwa sana na huyu mwanaume wote ni colleagues ofisini. Mama wa watu alikuwa na bantu figure basi zile sifa za kusifiwa umependeza. Mara u look beatiful kumbe mmewe alimsifia 20 years ago. Mama akazama kwenye penzi mchepuko mpk ukamnunulia gari looh mme kuja kugundua mbona alikufa na pressure. Baba wa watu alikuwa hana habari na mke akijua yuko kwenye menopause kumbe mama bado chini kuna waka moto . Alivyogundua hakuishi muda mrefu alikufa. Yule mama yuko mpk leo anazeeka na uzuri wake na anafaidi wajukuu zake looh.
 
wewe mwanamke wewe
 
Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauliziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tu
Inaboa eti wanaume wanachosha .
Unajua bora uolewe na mwanaume muongeaji .
Wangu ni mkimya ni vitendo tu .
Hata ukipiga kelele anakaa kimya au anaondoka.
Ila hii ndio dawa yake tunazungukana tutakutana kwa mmjomba .
Nimechoka yaani unahamu sana kwa moyo wote halafu anakukaushia .

Na nihaki yake kutoa huduma hiyo nimeona niseende mbali niko karibu.

Kuhusu HIV kuna dada jirani alipewa na mume wake basi anaishi kwa matumaini naye anajuta angedanga tu karingia watu eri kisa kaolewa .

Tembea kqa stepu usimkanyage mumeo kichwani akajua .
Mapenzi ya sikufanye uwe unaogopa kushirikisha wanaume wengine .
Sema awe mmoja tu tena anayejitambua kuanzia afya .

Juzi nimempeleka wifi yangu ,mme wangu na honey wangu hospitali kwa check up yaani hapa shemeji yangu alicheka sana hakuamini kuwa nimefanya hivyo tupo sawa .

Naomba iwe hivyooo kila wakati.
 
Dah wanawake wana mambo mi niliona mama wa 52 years ana cheat nilibaki hoi. Huyu kama alikuwa anasifiwa sana na huyu mwanaume wote ni colleagues ofisini. Mama wa watu alikuwa na bantu figure basi zile sifa za kusifiwa umependeza. Mara u look beatiful kumbe mmewe alimsifia 20 years ago. Mama akazama kwenye penzi mchepuko mpk ukamnunulia gari looh mme kuja kugundua mbona alikufa na pressure. Baba wa watu alikuwa hana habari na mke akijua yuko kwenye menopause kumbe mama bado chini kuna waka moto . Alivyogundua hakuishi muda mrefu alikufa. Yule mama yuko mpk leo anazeeka na uzuri wake na anafaidi wajukuu zake looh.
Kwa raha zake, unajua itakuwa mama alikuwa akimwambia Baba anakuja juu mama anashindwa kupiga kelele na huo utu uzima kavumilia kachoka sasa yeye kafia nini itakuwa alikuwa anahangaika na vibinti vidogo kasahau kwa mkewe apumzike tu kwa amani.
 
Inaboa eti wanaume wanachosha .
Unajua bora uolewe na mwanaume muongeaji .
Wangu ni mkimya ni vitendo tu .
Hata ukipiga kelele anakaa kimya au anaondoka.
Ila hii ndio dawa yake tunazungukana tutakutana kwa mmjomba .
Nimechoka yaani unahamu sana kwa moyo wote halafu anakukaushia .

Na nihaki yake kutoa huduma hiyo nimeona niseende mbali niko karibu.

Kuhusu HIV kuna dada jirani alipewa na mume wake basi anaishi kwa matumaini naye anajuta angedanga tu karingia watu eri kisa kaolewa .

Tembea kqa stepu usimkanyage mumeo kichwani akajua .
Mapenzi ya sikufanye uwe unaogopa kushirikisha wanaume wengine .
Sema awe mmoja tu tena anayejitambua kuanzia afya .

Juzi nimempeleka wifi yangu ,mme wangu na honey wangu hospitali kwa check up yaani hapa shemeji yangu alicheka sana hakuamini kuwa nimefanya hivyo tupo sawa .

Naomba iwe hivyooo kila wakati.
Haaa haaa kama na kuona unavyojikausha kama haujui chochote kile, mwanamke kumgundua mpaka FBI wahusike, hapo ukiwa naye usimwambie madhaifu ya huku umakukuruka tu kwa akili basi, unajua nikiwa binti mdogo dada mmoja alikuta ugomvi wa mke&mme, mke analalamika huyo dada akamwambia tafuta kajibiwa hawezi maana yeye kaolewa bikira hivyo hawezi, sahizi marehemu walikufa na HIV Baba alikuwa na visichana kibao
 
afu nyie wanaume mwatuchukuliaje?siye easy kabisa kututeka ila current men hamko romantic hamjui ku-care,mko mabahili,sex la kuungaunga..majim mnapiga sijui mwatafta masixpak yenu ila mko low charged kwa bed..nyooo!!!
 
Unalinganisha na wa kwenye video ama.!!
 
afu nyie wanaume mwatuchukuliaje?siye easy kabisa kututeka ila current men hamko romantic hamjui ku-care,mko mabahili,sex la kuungaunga..majim mnapiga sijui mwatafta masixpak yenu ila mko low charged kwa bed..nyooo!!!
Waambie wanatuchukulia kama malofa yaani siye hatuwezi lolote kumbe wao ndio wanajichoresha tu.

Kutwa instagram , kutwa whtsupp ukiangalia ni wanawake tu wanachart nao.
Maisha haya ni kula na kushiba na kupiga kimya kupiga kelele unapoteza muda wako.
 
Kuna mmoja ameolewa hivi karibuni na ana mtoto wa miezi kumi. Wiki mbili zilizopita alinipigia akaanza kulalamika eti mbona simtafuti kwenye simu.
Nikamuuliza upo salama? Akasema ana shida anaomba kuonana na mimi. Uzuri anapofanyia kazi ni karibu na home nikamwambia akifunga ofisini jioni aniambie.
Jioni nikakutana naye Golden fork. Jambo la kwanza kushangaa ni sehemu aliponikuta nimekaa(sehemu ya wazi) akasema hapo hatakuwa comfortable tuende sehemu iliyojificha zaidi.
Nilipoenda sehemu anayotaka, akawa kimya, anashika hata visivyoshikika, mara afutefute meza ili mradi awe busy. Nikamuuliza ana shida gani, akaanza kunilalamikia eti nimemsusa, nikipita kwake simsalimii kama inavyotakiwa. Nilitaka kucheka ila kwa unyenyekevu kabisa nikamuuliza Familia yake inaendeleaje akasema iko poa.
Nikamwambia kama shida ni mimi kutomsalimia inavyotakiwa, nitaanza kumsalimia anavyotaka yeye. Nikataka kumuaga nikaona machozi yanamtoka,akasema ananihitaji Sana hata nikitaka ananipa pale pale. Kilichonifanya nisitimize lengo lake ni mtoto wake wa miezi 10.
Mlioko kwenye ndoa, mivutano mnayoilea ndio anguko lenu. Shauri yenu
 
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.

Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?

Wanaume, Leo vungeni tusikilizietunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]

Wadada uwanja wenu huu.

Fungukeni

Anyway,

Naona wadada wengi humu wanasema wana cheat kwa sababu waume zao wamekua wavivu kwenye kuwahudumia!

Lakini wanawake mnajisahau sana. Msianze tu kulaumu kuwa wanaume ni vilaza, hawajui mapenzi n.k. Embu tafakari, kabla hamjaanza kuishi pamoja ni vitu gani mwanaume wako alikua anavutiwa navyo kwako? Ulikua unaongea vipi na yeye? Vitu gani alikua hapendi? Vitu gani alikua anapenda? Na je bado unavifanya?
Hivi vitu vidogo vidogo ambavyo mnapuuzia huwa vina matter sana na huenda ndio vilifanya hata akaamua kuishi na wewe.

Ili mahaba yadumu kwa muda mrefu, yanahitaji wote wawili mjijali, muweke jitihada kwenye mapenzi yenu bila kukata tamaa, tofauti na hapo kama hakuna uvumilivu, mtachokana tu, na mambo ya kuchepuka yataanza. Na hata huko kwenye michepuko kuna deadline pia, so it's just a short time relief, not a long term solution!
 
Back
Top Bottom