Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyingine kubwa ni KI SA SI.
Amini usiamini. Mwanaume ukijifanya wewe kidume hivyo hutosheki na mmoja mkeo akigundua jiandae kulipwa KI SA SI.
HAPA HAACHIWI MUNGU
 
Atleast wewe unafichua siri zenu, huyu anaweza kuwa lecture katika somo la how to understand a woman
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Usijumuishe dada wengine wake zetu huwa wanaomba rikizo kabisa kwa sababu bila sababu za msingi Kila siku jogoo lzm awike wiko kuuu hahahah
 
Mi manzi angu akiniona..akishaona nimemkonyeza anajua ishara hyo Dudu inafwata..na kila siku namkonyeza kuna siku akajidai tumbo la hedhi linauma sana..nlivojua ananiigiizia aisee nlitandika mashine balaa na akajipa likizo ya 2weeks eti akaenda kunishtaki kwa dada yake anieke kikao kwann namchapa dushe sana napumzika akiwa bleed tu tena siku 4 najua mzunguko wake nkaona uduanzi huu...

Sister akanivutia waya nakuja kuna mambo ya kuongea alivofika sijapoteza muda nkamkonyeza! akaanza oohh hapana unatuchanganya! Mimi na mdogo wangu, Akatafuta excuse akakimbia yan hapana kuremba wacha nikojoe upepo ila kwa pussy amna uvivu kabsa
 
Kuna dada anaolewa mwaka huu mwezi wa tisa
Nafahamiana nae kwa muda mrefu kidogo
Kuna siku alinitafta(maana hata namba yake sikua nayo).Alicho nieleza nilibaki mdomo wazi.
ila kwa sasa nipo nafanya juu chini ili nimkwepe
 
Mwanamke anaye chepuka hana akili.. Huku wanako chepuka wanaona kama wanapendwa kumbe wanaume wakataka huduma hata mwanamke uwe mbaya kiasi gani atakuita baby na kukupa misifa kibao.. akisha kojoa ndio utajua kama wewe ni mpumbavu..


Kuchepuka ni roho ya shetani ambayo imeondoa ujasiri kabisa wa watu.


Mwananke una watoto unachepuka?
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Kabla ya kuoana hua tunatomboana rarely, labda hata imezid Sana mara moja kwa wiki na wengine hata mara moja kwa mwezi.

Sasa baada ya kuoana ni mwendo wa kulala nayo na kuamka nayo. Hapo ndo kukinai kunapoanzia hapo
 
Kwanza: umaskini/ Kipato duni
Mwanamke akipata pahala pesa ipo aisee hakuachi

Pili : Idhaifu wa wanaume ndani ya tendo
Unakuta mwanaume hana performance nzuri kiasi kwamba kufika Kilimanjaro ni hadi apande treni
Wakati akitoka pale kuna mtu ana usafiri binafsi na unamfikisha Kileleni Kilimanjaro
 
Kuhusu kitandani ninuongo, sababu kubwa ni tamaa ya fedha..

Mwanamke na fedha walisha funga ndoa toka adam na hawa..

 
Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Mh!
 
Wakwe wengi ni wale wale, mtoto wao hawezi mkandamiza hata kama kafanya makosa, huko wakiwa wenyewe unazani wataongea nini! Ni wazazi wachache ambao husimamia ukweli , bora upambane mwenyewe

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Unakuta mkwe mwenyewe kazeeka Lin bado malayaaaa... Unavomwambia mwanao Malaya anaona Kama unamchongelea na yeye kwa mke wake,unamshtaki nwanae kuzaa njr huku na yeye kazazaa km mbwa anaona km unamdhihaki yeye,
 
Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauriziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tu
Kwahio mnamaindi msipopigwa ukuni?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa si mbadilishane tu ijulikane moja, looks like you guys were incompatible!

Ni kipengele sana ukiwa na patner ambaye ana low sexdrive ikiwa wewe unakuwa na very high drive. Ama wewe uwe romantic ikiwa patner wako si romantic inaboa sana.

But ukiangalia je, wewe sio chanzo kweli cha yeye kukuchukulia poa. Maana wanawake zetu tunaanzaga nanyi kwa upendo ila mkishafika mjengoni ni kelele na ulalamishi usio na mwisho. Kila kitu unalalamika mara unasusa hovyo ilimradi drama tu.Sasa kidume hata hamu na wewe anakosa maana kisirani kiko at Maximum vol.
 
Genius
 
Kwahio mnamaindi msipopigwa ukuni?[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza ukali wa maneno basi, nyie si ndiyo kila siku mnalalamika hampewi mpaka mnafakamia vitu vya hovyo hovyo hata ambavyo hamwendani navyo!?[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…