Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyingine kubwa ni KI SA SI.
Amini usiamini. Mwanaume ukijifanya wewe kidume hivyo hutosheki na mmoja mkeo akigundua jiandae kulipwa KI SA SI.
HAPA HAACHIWI MUNGU
 
Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.

Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"[emoji23][emoji23][emoji23]
Atleast wewe unafichua siri zenu, huyu anaweza kuwa lecture katika somo la how to understand a woman
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Usijumuishe dada wengine wake zetu huwa wanaomba rikizo kabisa kwa sababu bila sababu za msingi Kila siku jogoo lzm awike wiko kuuu hahahah
 
Mi manzi angu akiniona..akishaona nimemkonyeza anajua ishara hyo Dudu inafwata..na kila siku namkonyeza kuna siku akajidai tumbo la hedhi linauma sana..nlivojua ananiigiizia aisee nlitandika mashine balaa na akajipa likizo ya 2weeks eti akaenda kunishtaki kwa dada yake anieke kikao kwann namchapa dushe sana napumzika akiwa bleed tu tena siku 4 najua mzunguko wake nkaona uduanzi huu...

Sister akanivutia waya nakuja kuna mambo ya kuongea alivofika sijapoteza muda nkamkonyeza! akaanza oohh hapana unatuchanganya! Mimi na mdogo wangu, Akatafuta excuse akakimbia yan hapana kuremba wacha nikojoe upepo ila kwa pussy amna uvivu kabsa
 
Kuna dada anaolewa mwaka huu mwezi wa tisa
Nafahamiana nae kwa muda mrefu kidogo
Kuna siku alinitafta(maana hata namba yake sikua nayo).Alicho nieleza nilibaki mdomo wazi.
ila kwa sasa nipo nafanya juu chini ili nimkwepe
 
Mwanamke anaye chepuka hana akili.. Huku wanako chepuka wanaona kama wanapendwa kumbe wanaume wakataka huduma hata mwanamke uwe mbaya kiasi gani atakuita baby na kukupa misifa kibao.. akisha kojoa ndio utajua kama wewe ni mpumbavu..


Kuchepuka ni roho ya shetani ambayo imeondoa ujasiri kabisa wa watu.


Mwananke una watoto unachepuka?
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Kabla ya kuoana hua tunatomboana rarely, labda hata imezid Sana mara moja kwa wiki na wengine hata mara moja kwa mwezi.

Sasa baada ya kuoana ni mwendo wa kulala nayo na kuamka nayo. Hapo ndo kukinai kunapoanzia hapo
 
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.

Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?

Wanaume, Leo vungeni tusikilizie tunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]

Wadada uwanja wenu huu.

Fungukeni
Kwanza: umaskini/ Kipato duni
Mwanamke akipata pahala pesa ipo aisee hakuachi

Pili : Idhaifu wa wanaume ndani ya tendo
Unakuta mwanaume hana performance nzuri kiasi kwamba kufika Kilimanjaro ni hadi apande treni
Wakati akitoka pale kuna mtu ana usafiri binafsi na unamfikisha Kileleni Kilimanjaro
 
Kuhusu kitandani ninuongo, sababu kubwa ni tamaa ya fedha..

Mwanamke na fedha walisha funga ndoa toka adam na hawa..

Kwanza: umaskini/ Kipato duni
Mwanamke akipata pahala pesa ipo aisee hakuachi

Pili : Idhaifu wa wanaume ndani ya tendo
Unakuta mwanaume hana performance nzuri kiasi kwamba kufika Kilimanjaro ni hadi apande treni
Wakati akitoka pale kuna mtu ana usafiri binafsi na unamfikisha Kileleni Kilimanjaro
 
Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Mh!
 
Wakwe wengi ni wale wale, mtoto wao hawezi mkandamiza hata kama kafanya makosa, huko wakiwa wenyewe unazani wataongea nini! Ni wazazi wachache ambao husimamia ukweli , bora upambane mwenyewe

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Unakuta mkwe mwenyewe kazeeka Lin bado malayaaaa... Unavomwambia mwanao Malaya anaona Kama unamchongelea na yeye kwa mke wake,unamshtaki nwanae kuzaa njr huku na yeye kazazaa km mbwa anaona km unamdhihaki yeye,
 
Inaumiza kweli, halafu ongea utaambiwa unagubu hauriziki kila kitu nakupa utazani ulifuata nyama na samaki kwenu havikuwepo, waache tutaenda nao sawa tu
Kwahio mnamaindi msipopigwa ukuni?😂😂😂
 
Mtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?
Mbwa maana na mbwa hapa au jirani utoke njee uite majirani??
Nahamu wengine wako kazini wengine watakushangaa unabwana .

Lazima uwe na mtu wa ziada ambaye ikute mke wake naye anambania hujui mke wake anampa mume wako lazima uwe na mtu wa pembeni .

Tena mimi rafiki yake wa pekee wa mume wangu ndio shida hizo tunapunguziana na tunaheshimu ndoa zetu basi.

Sina mwingine na sitakuwa siwezi kuhudumia watatu.

Huyu rafiki yake ni anahela sana tajiri mdosi wa haja .
Uhusiano ulianza hivi ilikuwa morning simu iliita ya mme wangu kuangalia ni mke mwenza yaani mke wa rafiki wa mume wangu kidogo mesage inasema "imekuwaje jana uliniacha sijaridhika na huyo mkeo ananini mpaka unakurupuka unakuja moja kwa moja kwake?"

Nikashikwa na hasira nikamjibu "nisamehe babe"
Akareply kama unataka nikusamehe njoo mahali nilipo.
Nikamwambia mme wangu ametoka bafuni "mpenzi mama benson amesema uende leo anakikao nawewe akashtuka akavaa akaondoka hata chai hajanywa.

Wee hajarudi hiyo siku nami nikaona bora nianze njama ,shemeji aliniambia nikakata kuamini na sasa naamini .
Basi nikaona nimpigie kesho yake simu ,shemeji alipokuja mme wangu asubuhi home katoka kwa wifi.
nikamwambia shemeji nakualika na mkeo kwa chakula cha ijioni hapo ndio nilionyesha nia nampa nafasi yeye kwa kila kitu kuanzia chakula na mchotea chakula na kumpa attention yote kasoro kumwonyesha mahaba tu.

Tena washukuru wote hao malaya kuwa nimekuwa ningewaonyesha vituko kabisa na vibwanga.

Usiombe uolewe na malaya au mwanaume wa kizazi hiki ni jipu la kulitibua .

So siku inayofuata text za hapa na pale nikaona wa supermarket ni jipu jingine ni aibu tu kutembea na huyo hana hela .

Mpaka sasa haja zangu zote zinatimizwa kuanzia mapenzi, hela , attention na kampani.
Nyie tu ndio mpunguziwe shida zenu sisi tuwe vichaa sindio kwa kuturingia na miwa zenu weee acha hizoo.
Tutatoa sana na mkitutaka pia kama wanaume tutawapa kama kawaida .
Sasa si mbadilishane tu ijulikane moja, looks like you guys were incompatible!

Ni kipengele sana ukiwa na patner ambaye ana low sexdrive ikiwa wewe unakuwa na very high drive. Ama wewe uwe romantic ikiwa patner wako si romantic inaboa sana.

But ukiangalia je, wewe sio chanzo kweli cha yeye kukuchukulia poa. Maana wanawake zetu tunaanzaga nanyi kwa upendo ila mkishafika mjengoni ni kelele na ulalamishi usio na mwisho. Kila kitu unalalamika mara unasusa hovyo ilimradi drama tu.Sasa kidume hata hamu na wewe anakosa maana kisirani kiko at Maximum vol.
 
1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.

2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.

3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.

4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)

6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)

7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.

8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.

9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.

10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".

11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)

11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.

12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.

13. Kuolewa na mtu ambae sio chaguo lako, ile unaolewa by the way tu. Hivyo unakuwa huna hisia nae, huyu hata angefanya nini bado tu kuna kitu kinapwaya.

14. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
Genius
 
Kwahio mnamaindi msipopigwa ukuni?[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza ukali wa maneno basi, nyie si ndiyo kila siku mnalalamika hampewi mpaka mnafakamia vitu vya hovyo hovyo hata ambavyo hamwendani navyo!?[emoji23]
 
Back
Top Bottom