Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Hivi unajua kwamba kuna wanawake ambao wanapewa kila kitu pamoja na hizo affection ila still yanachepuka.
Sijakataa
Sema kesi za hivo ni chache mno ukilinganisha na nilizozungumzia
Wanaume wana tendency ya kujisahau zaidi
Unakuta akiwa na mchepuko atamfanyia kila kitu ila wife anambaka tu
 
Kuhusu kitandani ninuongo, sababu kubwa ni tamaa ya fedha..

Mwanamke na fedha walisha funga ndoa toka adam na hawa..
Hahaha eti walishafunga ndoa
Shetani ndiye alikuwa walii kipindi hicho au?
 
Chanzo ni wanaume........


Mkeo akigindua unacheat mara ya kwanza...ya pili....ya tatu utapigiwa tu!!!

Unamtreat vipi?

Unamtimizia mahitaji yake?

Unamliwaza?

Wewe ni mume au baba kwake????

Mengine ni tamaa kama inayomsukuma mwanaume tu....
 
Ila papuchi ya nje huwa inakua amaizing sana yan wakt unaenda kula mzigo wkt unashuka kwenye gar dushe linatangulia aisee
 
Unazuuuunguka sema tu PESA.... Nishapiga manzi wa mtu kisa kijola siju kijora cha msomali.
 
Kwamba wenye pesa hawapigiwi? Hongera sana kwa kupiga manzi wa mtu
Ukiwa na pesa hiana maana kuwa hautaki pesa... Pesa ni number na namba haina ukomo... Ukiwa na laki unaamini kwenye laki ingine ili iwe laki mbili
 
first time nachepuka
nilimfunania mwanaume akanigeuzia kibao
ukatokea mnuno zaidi ya mwezi nikajishusha niweke mambo sawa mtu bado anavimba
no sex no talking
nikaona isiwe tabu nikavuta kazee kangu kananibebisha ile mpaka nachanganykiwa
basi tukachepuka na akawa anailisha mpaka familia ya mtu aliyenuna
 
Kwahiyo wote nyie wanne mnajuana kuwa mnakulana? Au sio?
 
wewe utakuwa mke wangu.
kwa mwandiko huu na maneno haya lazma utakuwa wewe...
 
wewe utakuwa mke wangu.
kwa mwandiko huu na maneno haya lazma utakuwa wewe...
usipende kujinunisha mtu anapoitafuta suluhu ungana nae
siye wote ni bin adam tuna mioyo ya nyama yenye kuvumilia na kuchoka kuvumilia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…