😀 Achana nao
Hebu toa sababu, huu uzi nimeuweka kwa ajili yenu
1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.
2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.
3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.
4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)
6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)
7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.
8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.
9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.
10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".
11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)
11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.
12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.
13. Kuolewa na mtu ambae sio chaguo lako, ile unaolewa by the way tu. Hivyo unakuwa huna hisia nae, huyu hata angefanya nini bado tu kuna kitu kinapwaya.
14. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.