Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.

Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Kwa hiyo wanaume wote tuna hizo sifa mkuu.. Huu utafiti wako uliufanya Fanya vipi ??
 
Uwakute sasa wamajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
Yaani unapoteza hamu kabisa. Unaona bora hata usimsumbue maana hata ukitaka anakojoa yeye badala ya kukuridhisha wewe pia.
 
Umetaja sababu za msingi hasa, ila moja ukaisahau
Matamanio ya kiuchumi, wakati mwingine huchepuka kwa ajili ya fweza pia.

Mwanaume akikamilika katika haya uliyoongea, anapunguza asilimia za mwanamke kuchepuka.

Tena hasa kwa ajili ya watoto. Huwa hatupendi watoto wetu wakose hata siku moja. So ukilegalega huko ndo anamegwa na boss mtoto anaenda International School, anamegwa na kibopa mtoto anapelekwa Dubai Vacation, unaambiwa ni bonus imefanya hivyo.
 
😳😳
 
😀 Achana nao

Hebu toa sababu, huu uzi nimeuweka kwa ajili yenu
1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.

2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.

3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.

4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)

6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)

7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.

8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.

9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.

10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".

11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)

11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.

12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.

13. Kuolewa na mtu ambae sio chaguo lako, ile unaolewa by the way tu. Hivyo unakuwa huna hisia nae, huyu hata angefanya nini bado tu kuna kitu kinapwaya.

14. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
 
1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.

2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.

3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.

4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)

6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)

7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.

8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.

9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.

10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi.

11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)

11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.

11. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
✍✍✍✍
 
Kwahiyo ni wanawake wote wanachepuka?
Achana na mambo ya utafiti nimeufanya vipi ni mambo yaliyo wazi.
Au unadhani mashosti hatusimuliani?
Halafu uzuri ni kwamba huko wanakochepukia ndiko siri zao zinakotoka zaidi maana michepuko haina cha kupoteza. Angalau mke anamsitiri mumewe ili aibu zao zibakie ndani.
 
Halafu uzuri ni kwamba huko wanakochepukia ndiko siri zao zinakotoka zaidi maana michepuko haina cha kupoteza. Angalau mke anamsitiri mumewe ili aibu zao zibakie ndani.
haya mambo haya
 
Yes, huko masaloon kuna mambo acha tu. Unakuta bar maid kaingia anamwaga sifa za bwana fulani alivyo mchovu kamoja hoiii ila anahonga balaa. Halafu unawaza "yule si ni mume wa fulani" unaishia tu kumsikitikia mkewe.
hahahaah
ngoja tutawasikia na wanaume kwenye uzi ujao kama haya madai ni ya kweli?
 
Nina uhakika wewe sio mme wangu sasa mbona sofa unazozitaja zote ni zangu?
mwalimu,..mwalimu... mimi wangu hakyanani akiona manjonjo ya kutaka kuomba mchezo anabadilika anachukia kabisa hata ufanyeje ... huwa nafosi tu kibabe dude likiwa lishasoma 4G na hanipi ushirikiano kabisa, najipigia kama napumb maji nikimaliza natulia, kuna siku kidogo nimuwashe makofi kabisa dushe limesimama halafu hataki kunipa papuchi

Siku akihitaji yeye utajua tu, hayo maandalizi ya kitanda yanakuwa tofauti kabisa, na anatoa ushirikiano babu kubwaaa ila bao moja tu hataki tena...hata kile cha asubuhi hataki😀, hapendi kabisa ngono kwa sasa, wakati ndio ana 30 aged tu.Hata sijui kabisa shida yake ni nini

Nimejaribu kumuuliza, jibu lake ni kunilaumu mimi kwamba napenda ngono... najua yuko humu nae bora afunguke tu nijue maana ananinyima utamu walai.

kuna mda nahisi nagongewa...
 
Back
Top Bottom