Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Ila mchepuko mtamu saaaana unampiga show na kumbidulanga unavyojisikia,sasa mama wa ndani ukimletea ubunifu utamkuta anakuuliza ndo mchepuko kakufundisha hivyo,aaaah hapo ndo mnatukata stimu
Kwahiyo sisi tunajiandaaje? Tuangalie porn ili tupate hisia? Mkija mchomeke tuu?
Wazembe sana nyie wanaume. Ndio maana mkilala tunawaona kama ng'ombe imelala kitandani. Na mwanamke usipomridhisha hata heshima inapungua.
 
hagaaaaaahaaaa njoo inbo tuyajenge wangu umenikosha
Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.

Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ushapiga show nje ya ndoa ! daaah dunia inaenda kwa kasi sana
Mimi zamani niliapa sintoshiriki tendo na mtu nikiwa kwenye ndoa ila wanaume wasasa wanakulazimisha ufanye hivyo .
Seriously .
Nandio chanzo cha maafa ndani ya familia sio kitu kingine.
 
Sasa utamweshimu ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]? Kile kinachofanya umuheshimu hakuna haaa haaa halafu utakuta anakufanyia na visa haaa haaa kuna ugomvi niliusikia eti nitaoa mke wa pili mke alicheka sana eti utampa nini [emoji24][emoji24][emoji24] aibu sana
Kwa kweli alimuuliza swali la msingi
 
Hata walivyo ambiwa hakuna future [emoji23][emoji23][emoji23] bado anakandamizwa? Hapakuwa na mwanamke wakumsaidia? Ila kuna mama mmewe alifariki japo alikuwa anaumwa ndugu wakaanza kumlalamikia mkewe, akaamua atoe siri kwa ndugu wa mme nimemnyanyasa vipi mbona sijamkimbia tuna zaidi ya miaka 2 bila bila jogoo hapandi mtungi [emoji41][emoji41][emoji41] yakawashuka
Mwanamke aliyekuwepo kila akijaribu kumte

Mwanamke aliyekuwepo kila akijaribu kumtetea wapi kundi la wanaume wako kama nane hivi halafu mwqnamke ni mmoja basi kila akijitahid hawwmpi nafasi
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.😂😂😂😂
mhn! haya!
 
Mwanamke aliyekuwepo kila akijaribu kumte
Mwanamke aliyekuwepo kila akijaribu kumtetea wapi kundi la wanaume wako kama nane hivi halafu mwqnamke ni mmoja basi kila akijitahid hawwmpi nafasi
Hawezi kumpa nafasi, Halafu huwa wanateteana hao, usije thubutu eti mashauri wanaume wawe wengi bora uwagomee waite na wanawake, kuna mchungaji mmoja aliambiwa na una mtetea kwasababu ni mwanaume mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] akatulia kidogo eti mimi ni mchungaji we mama [emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wakarudi wote kwenda na huyo bwana kwenda kutizamana tu kama kioo cha ukuta usichoweza kugeuza? Angewambua kila mmoja pale aje na mkewe.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Halafu huwa wanateteana hao, usije thubutu eti mashauri wanaume wawe wengi bora uwagomee waite na wanawake, kuna mchungaji mmoja aliambiwa na una mtetea kwasababu ni mwanaume mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] akatulia kidogo eti mimi ni mchungaji we mama [emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wakarudi wote kwenda na huyo bwana kwenda kutizamana tu kama kioo cha ukuta usichoweza kugeuza?

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ishu ilikuwa hivi kijana alipeleka kesi kwa mchungaji eti kafuma meseji za mapenzi kwa mkewe hivyo akamfanyia fujo huyo mkewe ila hajaridhika na hizo fujo anataka tu bora waachane maana mwanamke kamsaliti wakamsema mwanamke weeee baada ya kumsema wakampa chance sasa ajieleze akawaambia ndio ni kweli hizo meseji ni za bwana angu mwendesha bodaboda na nimeamua kuanzisha nae mahusiano baada ya kukaa zaidi ya mwaka bila kushiriki tendo la ndoa na mwenzangu kutokana na yeye kuwa na shida ya nguvu za kiume.jaman bado hawakumwelewa
 
Hawezi kumpa nafasi, Halafu huwa wanateteana hao, usije thubutu eti mashauri wanaume wawe wengi bora uwagomee waite na wanawake, kuna mchungaji mmoja aliambiwa na una mtetea kwasababu ni mwanaume mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] akatulia kidogo eti mimi ni mchungaji we mama [emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wakarudi wote kwenda na huyo bwana kwenda kutizamana tu kama kioo cha ukuta usichoweza kugeuza? Angewambua kila mmoja pale aje na mkewe.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Yaani wanapenda kuteteana hao sijapata kuona kuna kesi hapa ya kipuuzi imeshanishinda kutokana na huyo mchungaji kumtetea mume wangu na huku yeye ndiye mwanzilishi wa hiyo kesi lakin ishanigeukia
 
Ishu ilikuwa hivi kijana alipeleka kesi kwa mchungaji eti kafuma meseji za mapenzi kwa mkewe hivyo akamfanyia fujo huyo mkewe ila hajaridhika na hizo fujo anataka tu bora waachane maana mwanamke kamsaliti wakamsema mwanamke weeee baada ya kumsema wakampa chance sasa ajieleze akawaambia ndio ni kweli hizo meseji ni za bwana angu mwendesha bodaboda na nimeamua kuanzisha nae mahusiano baada ya kukaa zaidi ya mwaka bila kushiriki tendo la ndoa na mwenzangu kutokana na yeye kuwa na shida ya nguvu za kiume.jaman bado hawakumwelewa
Ndiyo akachepuke mpaka mtoto apate, tatizo wakiambiwa basi wajitibie wanagoma kwenda kwenye tiba ni kama yule ng'ombe analazimishwa kwenda machungani, kwahiyo aendelee kuvumilia na kukesha anatizama tamthilia tu jamani, ndoa hizi waulize sasa wao kama wanaweza kuvumilia mke anaweza kuwa nashida akakuacha ndani akaenda kuzini huko

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wanapenda kuteteana hao sijapata kuona kuna kesi hapa ya kipuuzi imeshanishinda kutokana na huyo mchungaji kumtetea mume wangu na huku yeye ndiye mwanzilishi wa hiyo kesi lakin ishanigeukia
Unaona eee ukianza kusimulia mchungaji anasimama kati, sasa siku kikao kiitwa aitwe na mama mchungaji kama sio nayeye ndumila kuwili, wanawake wanapata msaada kwenye dawati tu huko kwa serikali lakini zikianza bwana asifiwe wanateteana sana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo akachepuke mpaka mtoto apate, tatizo wakiambiwa basi wajitibie wanagoma kwenda kwenye tiba ni kama yule ng'ombe analazimishwa kwenda machungani, kwahiyo aendelee kuvumilia na kukesha anatizama tamthilia tu jamani, ndoa hizi waulize sasa wao kama wanaweza kuvumilia mke anaweza kuwa nashida akakuacha ndani akaenda kuzini huko

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Yaan acha tu
 
Unaona eee ukianza kusimulia mchungaji anasimama kati, sasa siku kikao kiitwa aitwe na mama mchungaji kama sio nayeye ndumila kuwili, wanawake wanapata msaada kwenye dawati tu huko kwa serikali lakini zikianza bwana asifiwe wanateteana sana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Hahhahahahahahahahahha umenena ukweli mtupu yaan haki utapata sekalini huko ila makanisani chenga kabisa
 
Mbona
Unaona eee ukianza kusimulia mchungaji anasimama kati, sasa siku kikao kiitwa aitwe na mama mchungaji kama sio nayeye ndumila kuwili, wanawake wanapata msaada kwenye dawati tu huko kwa serikali lakini zikianza bwana asifiwe wanateteana sana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
kama unamsema ama mchungaji wetu na mumewe yaani jamani utajuta hawa watu kesi sio kesi jaman
 
Kuchepuka nitabia ya mtu, kama vile ulafi na uchoyo vilivyo. Kwaiyo haiwezi kufichika mda mrefu wala haiwez kuzuiiwa kwa kigezo cha ndoa
 
Back
Top Bottom