Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Sasa si mbadilishane tu ijulikane moja, looks like you guys were incompatible!

Ni kipengele sana ukiwa na patner ambaye ana low sexdrive ikiwa wewe unakuwa na very high drive. Ama wewe uwe romantic ikiwa patner wako si romantic inaboa sana.

But ukiangalia je, wewe sio chanzo kweli cha yeye kukuchukulia poa. Maana wanawake zetu tunaanzaga nanyi kwa upendo ila mkishafika mjengoni ni kelele na ulalamishi usio na mwisho. Kila kitu unalalamika mara unasusa hovyo ilimradi drama tu.Sasa kidume hata hamu na wewe anakosa maana kisirani kiko at Maximum vol.
Mwanamke akisusa mwanaume kuwa ngangari sasa nyie mke akisusa na mwanaume naye anavuta mdomo Kama wa Bibi yake mvuta ugoro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengi wakioa wakaja kuzoea wake zao affection zao kwa wake huwa zinapungua!Affection ikipungua unamwona mwenzio wa kawaida sana so unakuta mwanamke anakosa vile vilivyomfanya kufall in love na mwanaume in the 1st place mwisho anaishia kuvitafuta nje huko!
 
Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)

Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)

Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)

Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Kama bado unatumia Jf naomba nikutumie pesa ya wine
 
Mtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?
Mbwa maana na mbwa hapa au jirani utoke njee uite majirani??
Nahamu wengine wako kazini wengine watakushangaa unabwana .

Lazima uwe na mtu wa ziada ambaye ikute mke wake naye anambania hujui mke wake anampa mume wako lazima uwe na mtu wa pembeni .

Tena mimi rafiki yake wa pekee wa mume wangu ndio shida hizo tunapunguziana na tunaheshimu ndoa zetu basi.

Sina mwingine na sitakuwa siwezi kuhudumia watatu.

Huyu rafiki yake ni anahela sana tajiri mdosi wa haja .
Uhusiano ulianza hivi ilikuwa morning simu iliita ya mme wangu kuangalia ni mke mwenza yaani mke wa rafiki wa mume wangu kidogo mesage inasema "imekuwaje jana uliniacha sijaridhika na huyo mkeo ananini mpaka unakurupuka unakuja moja kwa moja kwake?"

Nikashikwa na hasira nikamjibu "nisamehe babe"
Akareply kama unataka nikusamehe njoo mahali nilipo.
Nikamwambia mme wangu ametoka bafuni "mpenzi mama benson amesema uende leo anakikao nawewe akashtuka akavaa akaondoka hata chai hajanywa.

Wee hajarudi hiyo siku nami nikaona bora nianze njama ,shemeji aliniambia nikakata kuamini na sasa naamini .
Basi nikaona nimpigie kesho yake simu ,shemeji alipokuja mme wangu asubuhi home katoka kwa wifi.
nikamwambia shemeji nakualika na mkeo kwa chakula cha ijioni hapo ndio nilionyesha nia nampa nafasi yeye kwa kila kitu kuanzia chakula na mchotea chakula na kumpa attention yote kasoro kumwonyesha mahaba tu.

Tena washukuru wote hao malaya kuwa nimekuwa ningewaonyesha vituko kabisa na vibwanga.

Usiombe uolewe na malaya au mwanaume wa kizazi hiki ni jipu la kulitibua .

So siku inayofuata text za hapa na pale nikaona wa supermarket ni jipu jingine ni aibu tu kutembea na huyo hana hela .

Mpaka sasa haja zangu zote zinatimizwa kuanzia mapenzi, hela , attention na kampani.
Nyie tu ndio mpunguziwe shida zenu sisi tuwe vichaa sindio kwa kuturingia na miwa zenu weee acha hizoo.
Tutatoa sana na mkitutaka pia kama wanaume tutawapa kama kawaida .
Kunamoja nimetoka kunyegeka naye hapa nimepiga kama vitatu mchana kutwa tulikuwa pamoja na asubuhi nilimpatia MIE wangu kimoja. Nimemuuliza ni kwa nini amechepuka amedai kuwa kuna siku amegombezwa na Mme wake simu Ilikuwa inapigwa akaulizwa kuwa ni nani akajibu kuwa sijui. Mme akamgombeza kisenge almanusura ampige sema ni vitisho tu huwa hampigi.
Akanijibu kuwa amechepuka mana alikuwa anatuhumiwa na kugombezwa bure. Hii yaweza kuwa ni kweli pia na ndo mana binafsi huwa simtuhumu wife mana atafanya kweli na simu yake siigusagi. MIE nimechepuka ni tamaa tu ila hakuna nachokosa. Sema nimekuta ana k mazuri sana amaizing sijawahi kukaonaga hata kwa nyapu za wazungu nilizokuwa nakula nikiwa rashia aka rasia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukileta mada nyingine unite.
Nije niwachane ukweli. Hannah hamumunyi maneno.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji6]
 
Wanaume wengi wakioa wakaja kuzoea wake zao affection zao kwa wake huwa zinapungua!Affection ikipungua unamwona mwenzio wa kawaida sana so unakuta mwanamke anakosa vile vilivyomfanya kufall in love na mwanaume in the 1st place mwisho anaishia kuvitafuta nje huko!
Wao wanajuaga kwamba kunyenyekewa ni lazima , ila mke ni kawaida kumtumikia yeye

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
afu nyie wanaume mwatuchukuliaje?siye easy kabisa kututeka ila current men hamko romantic hamjui ku-care,mko mabahili,sex la kuungaunga..majim mnapiga sijui mwatafta masixpak yenu ila mko low charged kwa bed..nyooo!!!
Umejaribu na huku kwetu usukumani!?hii tuhuma nzito eti low charge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.

Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"😂😂😂
Hahahahaaaaa
 
Samahan jaman naomba niwajibie wasichana na kama mkikubaliana na hoja zangu mwaga like

Kwanza mke kutopata upendo wa mwanzo ule wa kujuliwa hali kuletewa zawadi kutolewa out mke anachukuliwakama beki tatu tu . Nje mke anakutana na kijamaa kilichokua kinasubir nafas kama super sub ya dakika ya 80 huku matokeo yakiwa 1-0 nyuma kinampenda mazima

Pili kitandan hapa mwanzo mtu alikua anapiga tatu nne tena unagoogle had mitindo ya kumkunjs kunja ili afurai ns ulikua unajiandaa vyema na juisi ya tende ili upige show ila now utasex sababu uns nyege na utapiga kimoja tu utalala hii ndio selfish sasa twangaaa mwanawane mpaka mke alie na kukimbia kitanda alale chini

Hizo ndio sababu kubwa michepuko inawatombeeeeaea wake zenu mwanamke hata kama tajir ukimpa buku tu kwa hisia au ukimnunulia pipi au vocha yajero kama njia ya kumjal atafurai mwanamke ukitaka kumteka we mjali alafu mtombee mpaka akasirikee yaan alie mpaka akutoe kifuan kilazima na usitoke uone kama atakusaliti hata kama hakupendi
Hiyo michepuko yenyewe si ina wake zao na yenyewe inagongewa sasa hapo tatizo ni nini?

Ukweli ni kwamba kuchepuka ni ujinga wa mtu tu full stop hata mlete visingizio lukuki hakuna sababu ya maana hapo.Ikiwa ni mchezo kupiga kibabe ndiyo solution 😂😂😂 unatuzuga hapo maana MWANAMKE ANAWEZA KUMPENDA MTU BILA SABABU YA MSINGI .Ninyi mnaweza kupewa kila kitu ila bado mkachepuka tu maana kwenu ni hulka.

Ukweli ni kwamba Kama mwanamke si mcha Mungu hasa kuchepuka ni given maana lazima anase kwa mitego ya vijana
 
Sasa si mbadilishane tu ijulikane moja, looks like you guys were incompatible!

Ni kipengele sana ukiwa na patner ambaye ana low sexdrive ikiwa wewe unakuwa na very high drive. Ama wewe uwe romantic ikiwa patner wako si romantic inaboa sana.

But ukiangalia je, wewe sio chanzo kweli cha yeye kukuchukulia poa. Maana wanawake zetu tunaanzaga nanyi kwa upendo ila mkishafika mjengoni ni kelele na ulalamishi usio na mwisho. Kila kitu unalalamika mara unasusa hovyo ilimradi drama tu.Sasa kidume hata hamu na wewe anakosa maana kisirani kiko at Maximum vol.
Point kabisa , hawa hawaeleweki
 
Anyway,

Naona wadada wengi humu wanasema wana cheat kwa sababu waume zao wamekua wavivu kwenye kuwahudumia!

Lakini wanawake mnajisahau sana. Msianze tu kulaumu kuwa wanaume ni vilaza, hawajui mapenzi n.k. Embu tafakari, kabla hamjaanza kuishi pamoja ni vitu gani mwanaume wako alikua anavutiwa navyo kwako? Ulikua unaongea vipi na yeye? Vitu gani alikua hapendi? Vitu gani alikua anapenda? Na je bado unavifanya?
Hivi vitu vidogo vidogo ambavyo mnapuuzia huwa vina matter sana na huenda ndio vilifanya hata akaamua kuishi na wewe.

Ili mahaba yadumu kwa muda mrefu, yanahitaji wote wawili mjijali, muweke jitihada kwenye mapenzi yenu bila kukata tamaa, tofauti na hapo kama hakuna uvumilivu, mtachokana tu, na mambo ya kuchepuka yataanza. Na hata huko kwenye michepuko kuna deadline pia, so it's just a short time relief, not a long term solution!

Ni hayo tu.

#laskaboza
Exactly tena kwa michepuko huenda ikienda sana sex ni mara tatu bora kubaki njia kuu maisha ya kuishi kama digidigi duhh siyawezi mimi
 
Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)

Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)

Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)

Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Kama kweli wewe kisu embu nyoa upara tukuone
 
Wanaume wengi mkishaoa mnachukulia wake zenu poa sana,

Humjali tena, match zenyewe kwa week mara moja mnasingizia kazi zinawapa stress, kazi yenu kujaza mafriji tu, wakishakula hizo genye nani azitoe sasa? Ndo hivyo inabidi kuchepuka.

Mbaya zaidi na nyie wanaume mnakamuliwa sana huko nje ukirudi kwako uko hoi, unagusagusa tu.
 
Sasa si mbadilishane tu ijulikane moja, looks like you guys were incompatible!

Ni kipengele sana ukiwa na patner ambaye ana low sexdrive ikiwa wewe unakuwa na very high drive. Ama wewe uwe romantic ikiwa patner wako si romantic inaboa sana.

But ukiangalia je, wewe sio chanzo kweli cha yeye kukuchukulia poa. Maana wanawake zetu tunaanzaga nanyi kwa upendo ila mkishafika mjengoni ni kelele na ulalamishi usio na mwisho. Kila kitu unalalamika mara unasusa hovyo ilimradi drama tu.Sasa kidume hata hamu na wewe anakosa maana kisirani kiko at Maximum vol.
Sikia umepewa mimba na umejifungua mapacha halafu lazima kuwepi distance fulani lazima nimuache kwanza nilee viadorable kids i love them .
Yaani they are my souls very beutiful human beings vinafikia sasa mwaka yaani navipendaga .

Ila mapenzi kama mke lazima uyadai.
Ukihitaji na akihitaji.
Nahakuna kitu kizuri kama mapenzii.
Yaani ila siri nakupa tu sijui why ukiiba ndio tamu kushinda cha home.
 
Unakuta mkwe mwenyewe kazeeka Lin bado malayaaaa... Unavomwambia mwanao Malaya anaona Kama unamchongelea na yeye kwa mke wake,unamshtaki nwanae kuzaa njr huku na yeye kazazaa km mbwa anaona km unamdhihaki yeye,
Nyie ndio wanawake zetu, kazi tunayo
 
Sikia umepewa mimba na umejifungua mapacha halafu lazima kuwepi distance fulani lazima nimuache kwanza nilee viadorable kids i love them .
Yaani they are my souls very beutiful human beings vinafikia sasa mwaka yaani navipendaga .

Ila mapenzi kama mke lazima uyadai.
Ukihitaji na akihitaji.
Nahakuna kitu kizuri kama mapenzii.
Yaani ila siri nakupa tu sijui why ukiiba ndio tamu kushinda cha home.
Cha wizi kiko exciting maana hukipati kihalali 😂😂😂!!! Lakini ukiwa na watoto ndio unatakiwa umsuse mume ama?

Mwizi kama Mwizi! katoto kazuri
 
Wanaume wengi wakioa wakaja kuzoea wake zao affection zao kwa wake huwa zinapungua!Affection ikipungua unamwona mwenzio wa kawaida sana so unakuta mwanamke anakosa vile vilivyomfanya kufall in love na mwanaume in the 1st place mwisho anaishia kuvitafuta nje huko!
Hivi unajua kwamba kuna wanawake ambao wanapewa kila kitu pamoja na hizo affection ila still yanachepuka.
 
Back
Top Bottom