OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #21
Huwezi kujua, pennine kushangaa kwako huko ni bora kuliko wangefanya maamuzi ambayo ungeyashangiliaQuality ya thinking process ya hao "mathinker" walioko nyuma ya rais ni ya hovyo mno aisee
Yaani maamuzi yanafanyika mpaka mwananchi wa kawaida unashangaa kabisa,whats this nonsense?
Kule kulikuwa na tozo huku kuna Sabayamzee huko mbali sana, hapa jana tu sakata la mbowe kuwa mahakamani alafu huku sakata la manara na simba sc/ mwamedi.
nchi ngumu sana hii[emoji1][emoji1]
ni hatari tupu, kuna michezo inachezeshwa km hauna macho makali ndio basi tena.Kule kulikuwa na tozo huku kuna Sabaya
Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.
mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)
Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)
Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??
Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,
Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??
Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?
Yaani mwanaume umekaa humu JF eti unatoa huruma kwa maamuzi ya kipumbavu ya wanadamu wapumbavu kama yeye eti "hujui maamuzi bora yanakufanya hushangilii" and blah blah
Mkuu,hakuna mtoto hapa,maamuzi ya kipumbavu wananchi tumeyachukia,halafu una back pedal eti wanawapima eti maamuzi yao mabovu ni sahihi walikua wanawasanifu...nigga,please!
Tuwe serious nchi hii,maana mapumbavu yanafanya stupidity halafu unakuja humu kusifia stupidity yao!
Mim nadhani ni mabogus siio Ma GT hatuwezi kua maskini hivi wao kazi yao eti ni kuzuia maandamano ambayo hata mimi ukinipa makuruta haandamani mtuHuenda tuna watu SMART nchi hii ndio maana hamna fujo wala maandamano miaka yote
Hii inaweza kuwa ushahidi kuwa kuna ma great thinker ambao huja na plans za kutuliza mambo mabaya
Dahhii kitu wasanii utumika sana kwenye kick kuzima mambo.
Unaweza kuta mondi kapata mtoto mpya
Sorry kiongozi. kwa kuwa madam ilikuwa inahusu mambo ya great thinking, basi nami nikachangia kwa kuegemea huko. Hata hakuna haja ya kupanic kiongozi, badala yake jaribu kuziendea comments kiu-great thinker tu unaweza kupata jamboYaani mwanaume umekaa humu JF eti unatoa huruma kwa maamuzi ya kipumbavu ya wanadamu wapumbavu kama yeye eti "hujui maamuzi bora yanakufanya hushangilii" and blah blah
Mkuu,hakuna mtoto hapa,maamuzi ya kipumbavu wananchi tumeyachukia,halafu una back pedal eti wanawapima eti maamuzi yao mabovu ni sahihi walikua wanawasanifu...nigga,please!
Tuwe serious nchi hii,maana mapumbavu yanafanya stupidity halafu unakuja humu kusifia stupidity yao!
Rais ni mtu lakini Urais ni taasisi hivyo majukumu ya Rais yanatoka kwenye urais yaani taasisi. Je, unazani ataweza kumonitor kila kitu mtu mmoja? Jibu ni Hapana.Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.
mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)
Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)
Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??
Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,
Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??
Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?
Ni mchakatoIssue ya katiba mpya mnaona ilivyozimika gafala
Hivi kweli unawaita smart?Wakuu habari,