Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

Mnakumbuka makonda alivyozuiliwa kuingia jukwaa kuu kipindi cha uzindizi wa kampemi, and from there hakuwahi kukumbukwa,

Hii inaweza kuwa yeye alikuwa shabiki tu anafanya mambo kwa kuangalia upepo

Na hii ni inaweza kuashiria kuwa hakuwa sehemu ya ma mastermind na wala hakujua kama kuna magreat thinker ambao hutawaona pipote pale hadharani
 
Quality ya thinking process ya hao "mathinker" walioko nyuma ya rais ni ya hovyo mno aisee

Yaani maamuzi yanafanyika mpaka mwananchi wa kawaida unashangaa kabisa,whats this nonsense?
Huwezi kujua, pennine kushangaa kwako huko ni bora kuliko wangefanya maamuzi ambayo ungeyashangilia
 
Mtoa uzi umejitahidi kutupa uzi mzuri,ila hukulitendea haki neno "great thinkers" mimi naona ungewaita hao watu "watoa maamuzi" ,mimi ninaushahidi hao watu maamuzi yao huwa siyo ya kuumiza kichwa mpaka uwaite "great thinkers" ,mfano ni pale wanapoamua mtu fulani atekwe au apotezwe hivi suala hilo linahitaji kuwa great thinker kweli
 
hata zile pushup za meko pale jukwaani wakati akitaka kura zetu ulikuwa ni mpango kabambe ili aje apige pushups mioyoni na mifukoni mwetu..
 
Kuna wakati Bwana MUSIBA naye alikuwa great thinker.
 
Wakuu habari,

Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,

Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,

Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.

mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)

Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)

Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??

Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,

Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??

Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?

You should define maana ya great thinkers? Nothing in CCM represent a thinker, leave alone great thinker, sijui simtank thinker, Hakuna! Kuna PhD za unafiki!
 
Hakuna great thinker anayejielewa atafanya kazi na serikali ya Tanzania. Sifa kubwa ya great thinker ni kuukumbatia ukweli hata kama atabaki peke yake kimtazamo. Haya labda tu yapo kwa wazungu tena wachache hapa kwetu kuna wachumia tumbo, wambea na wanafiki.
 
Yaani mwanaume umekaa humu JF eti unatoa huruma kwa maamuzi ya kipumbavu ya wanadamu wapumbavu kama yeye eti "hujui maamuzi bora yanakufanya hushangilii" and blah blah

Mkuu,hakuna mtoto hapa,maamuzi ya kipumbavu wananchi tumeyachukia,halafu una back pedal eti wanawapima eti maamuzi yao mabovu ni sahihi walikua wanawasanifu...nigga,please!

Tuwe serious nchi hii,maana mapumbavu yanafanya stupidity halafu unakuja humu kusifia stupidity yao!

Huenda tuna watu SMART nchi hii ndio maana hamna fujo wala maandamano miaka yote

Hii inaweza kuwa ushahidi kuwa kuna ma great thinker ambao huja na plans za kutuliza mambo mabaya
Mim nadhani ni mabogus siio Ma GT hatuwezi kua maskini hivi wao kazi yao eti ni kuzuia maandamano ambayo hata mimi ukinipa makuruta haandamani mtu
 
Dahh...ile 1.5 tr kila nikiikumbuka inaniuma kama ndo ilichukuliwa jana [emoji24][emoji24][emoji24],jamaa alikuwa anakoga pesa sio kuiba[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Yaani mwanaume umekaa humu JF eti unatoa huruma kwa maamuzi ya kipumbavu ya wanadamu wapumbavu kama yeye eti "hujui maamuzi bora yanakufanya hushangilii" and blah blah

Mkuu,hakuna mtoto hapa,maamuzi ya kipumbavu wananchi tumeyachukia,halafu una back pedal eti wanawapima eti maamuzi yao mabovu ni sahihi walikua wanawasanifu...nigga,please!

Tuwe serious nchi hii,maana mapumbavu yanafanya stupidity halafu unakuja humu kusifia stupidity yao!
Sorry kiongozi. kwa kuwa madam ilikuwa inahusu mambo ya great thinking, basi nami nikachangia kwa kuegemea huko. Hata hakuna haja ya kupanic kiongozi, badala yake jaribu kuziendea comments kiu-great thinker tu unaweza kupata jambo
 
Wakuu habari,

Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,

Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,

Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.

mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)

Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)

Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??

Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,

Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??

Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?
Rais ni mtu lakini Urais ni taasisi hivyo majukumu ya Rais yanatoka kwenye urais yaani taasisi. Je, unazani ataweza kumonitor kila kitu mtu mmoja? Jibu ni Hapana.
Bila shaka umepata majibu.
Nyongeza: sema kwa sasa mama watu smart alio nao ni akina Pascal Mayalla
 
Wakuu habari,

Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,

Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,

Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.

mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)

Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)

Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??

Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,

Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??

Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?
Hivi kweli unawaita smart?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom