Nyumba anayodai Polepole imevunjwa siyo makazi yake ya kibunge, analaghai Umma akishirikiana na aliowakuza awamu iliyopita

Uko na globally connected knowledge and brain full of inclusiveness in thinking, uko vizuri sana Mwamba validity na relevance ya maudhui umeipiga mwingi.
 
Very smart, umeandika kweli unaona kuna ubongo hapa wa binadamu unao reason sawa sawa, angalau nusu ya watz wangekuwa na brain ya namna hii hili taifa lingekuwa mbali sana na labda hili taifa lisingekuwa hivi. Big up, umeandika nimekuelewa with logic.
 
Mimi sio muumini wa namna hii ya siasa,mlipuuzia uvamizi wa Mbowe hivihivi mkasema kalewa Konyagi,tuwe tunathamini maisha ya watu.
 
hyo shule yake mbona hajafundisha kipindi akiwa ni katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM.
Ndo maana tunamuona huyo ni mpiga kelele tu.
Mchumia tumbo lake.
Kwanini hyo shule ianze awamu hii?
Sijui unaelewaaa?
Tukijikita kwenye manufaa ya maudhui pasipo why now na why him? Look at relevance ya maudhui Au jumuisha vyote mpeni haki ya ujumbe wake na wajibu wenu wa kulinda haki yake ya maoni kisha pia toeni hoja za kumkosoa kwa rejea za nyakati za Magufuli na muulizeni maswali yoyote mnayotaka.

Guys Kwani hakuna mambo Samia anafanya tofauti na Magufuli? Mbona watanzania hamsikiki mkimnanga kama snitch Au msaliti Au kigeugeu kwa nini elimu ya Polepole inaumiza, Uongozi kuna kitu huitwa integrity we don't criticise bosses anyhow ukiwa subordinate. Believe kama ilivo kwa Samia kuna vitu Polepole hakuvikubali nyakati za Magufuli, ila kimiiko na kimaadili hakupaswa kusema. Hasa ukiwa na boss mpenda sifa na kugezwa.
 
Hata ya 5 .ndo usiseme plaiz zimetembea sana.
Viongozi wa upinzani kukaa rumande ilikuwa kawaida.
Ukipishana tu na mamlaka wewe NI adui.
Alafu Leo mtu anakuja kutufundisha "shule ya UONGOZI"
wakati yeye mwenyewe alikuwa kiongozi na akachemka.
Polepole alikuwa mwenezi wa chama. SAMIA alikuwa nani wakati hayo yanatokea?
 
Hyo shule ya UONGOZI Kuna wenzie waliifanya kipindi yeye ni mmoja wa viongozi wa CCM.
UNAKUMBUKA YALIYOWAPATA?
Ila yeye alikenua meno maana hayakumuhusu.
Awamu ya 5 ulikuwa mlamba miguu ukapata cheo,leo awamu ya 6 umefungua shule ya UONGOZI Nani atamuamini?
Shida alishakosea tayari.yeye alikuwa NI mmoja wao.
 
Polepole alikuwa mwenezi wa chama. SAMIA alikuwa nani wakati hayo yanatokea?
Na ndo maana Samia anaona aibu hata kusema yeye ni rais wa awamu ya 5.yaliyotokea NI makubwa ndo maana anajitenga nayo.
"MUWE MNASOMA NYAKATI"
Samia anaelewa ile serikali ilikuwa mbovu.
Na huyu pole pole alikuwa mmoja wapo.na hakuwahi kuikosoa Wala kufungua hyo shule ya UONGOZI.
 
Lakini pia kaongea Dar mara kesho yake anadai alikuwa Manyara na anarudi Dodoma ndo anakuta pamevunjwa je Hana majirani? Hawa watu wanapeana michongo ya kututawala Kwa kupanua magoli , tushtuke uhuni huu.[emoji23]
CCM ni takataka kabisa
 
Tuna shukuru dikteta mkuu alikufa
 

Unajua maana ya UNAFIKI? nani manafiki kati ya Polepole na SAMIA
 
Daah! Huwezi kuwa na sura ya vile kama polepole halafu ukose makando kando
 
Kwa hiyo wewe unapingana na polisi?. Unafanya siasa za kihuni sana.

 
Hii ndio JF sasa ninayoijua mimi.
 
Reactions: RMC
Umewajibu vizuri sana hao wanafiki. Kwa sabsbu walimchukia JPM basi yeyote aliyekuwa anaonekana kuwa mfuasi mwaminifu wa JPM basi naye ni adui yao.

Polepole ana haki zote kama walizo nazo wao.

Eti mtu anadai Poleoole anaweza kushtakiwa kwa kumnunua mahakamani Mashinji kwa milioni 30! Aende basi akafungue hiyo kesi wanafikiri mahakama inaendeshwa kwa mihemuko.
 
Umemaliza kila kitu.

Kumbe Dodoma Kuna nyumba special za wabunge na hawatakiwi kupanga sehemu nyingine? ndo nasikia.
 
Ni kwamba aliwatuma wale wavunjaji feki ili aonewe huruma, akajifanya hayupo ili ionekane kuna shida imetokea, yeye akiwa hayupo. Asitafute huruma huyo mchuuzi, mtesaji, mtekaji na muuaji.
 
Can you provide vivid and non-repudiation evidences to subsistence your claims against polepole?
Are you a newcomer in Tanzania? Were you following Polepole beliefs and philosophy during constitutional assembly in 2014/15?

Didn't you witness his wrong deeds during Magufuli era in 2015-20 when he officiated as CCM head of propaganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…