Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

ha ha ha ha!
ni kawaida kwa abiria kuchunga mizigo yao....!ILA WEWE UMETIA FORA!ni zaidi ya kuchunga
ha ha ha ha!
SENKSI MRS NGULI
ha ha ha ha ha!

si mchungi Nguli wangu hata chembe!!!! He is a VERY faithful husband anyejua achopaswa kufanya!!!

nasikitika anvojaribu kuwaelewesha lakini hamtaki tena makusudically
 
ha ha ha ha!
ni kawaida kwa abiria kuchunga mizigo yao....!ILA WEWE UMETIA FORA!ni zaidi ya kuchunga
ha ha ha ha!
SENKSI MRS NGULI
ha ha ha ha ha!

Hahaha! ZD kaenda saluni kujiweka sawa tayari kuwa MATRON! Hahaha! Sikujua bht ana ulinzi mkali namna hii, vipi limbwata ushaanza kumpa?
 
Ahaaa! Kwahiyo you dont care siyo? Ruksa mzee kukamatia nyumba ndogo siyo? Unakula senksi kwa hapa. THANKS!
SENKSI noted!
nyumba ndogo ni HEADACHE kwa wanawake wengi sana!hilo ni kubwa sana nililojifunza kupitia hii thread!......ITABIDI WAZOEE
 
mpwa bwana,lol!umekuwa siriaz utadhani lijendi mppwa?ha ha ha ha

Hii ni serious issue na mimi kama mwanandoa mwaminifu nilieingia kwenye ndoa kwa akili zangu timamu, lazima nitoe msimamo wangu wa dhati kwa kile nacho kiaamini kuwa kweli.

Ndoa za siku hizi zinagarimu muda na fedha nyingi lakini zinadumu kwa miezi ile ya viako watu walivyokaa vya harusi i.e kama watu walikaa miezi 3 wakikusanya fedha na wanandoa wakishaoana nao inakuwa the same.

Amani ya ndoa inapokosekana shauri ya tamaa ndogo ndogo ni sawa na nchi kuingia kwenye civil war ambayo usiluishwaji wake unakuwa mgumu, wanaondoa wanakuwa na PHYSCHO problems pamoja na magonjwa yatokanayo na hayo kama ulcers na shinikizo la damu.

Ningependa kuhitimisha kwa kusema kuepuka mambo ya nyumba ndogo tumshirikishe Mungu katika maamuzi ya kutafuta MKE MWEMA NA SIO MCHUMBA mzuri. Na ukimpata LISTEN N UNDERSTAND.(95% ya wanandoa lack this important weapon)

Thanks.
 
si mchungi Nguli wangu hata chembe!!!! He is a VERY faithful husband anyejua achopaswa kufanya!!!

nasikitika anvojaribu kuwaelewesha lakini hamtaki tena makusudically

Point well taken, noted and filed for office reference.
 
Hahaha! ZD kaenda saluni kujiweka sawa tayari kuwa MATRON! Hahaha! Sikujua bht ana ulinzi mkali namna hii, vipi limbwata ushaanza kumpa?
nyepesi nilizonazo nguli anatafuta plot KITUNDA kwa ajili ya bht!
NA UJENZI UTAANZA MARA MOJA!(i am project engineer just incase mkitaka details)
 
Ahaaa! Kwahiyo you dont care siyo? Ruksa mzee kukamatia nyumba ndogo siyo? Unakula senksi kwa hapa. THANKS!
Si nishasema sitishiki/sitishwi na nyumba ndogo. Its a relief hubby hajaanza michezo hiyo, najitahidi kuplay role yangu kuepusha yeye kusema mimi ndo chanzo cha yeye kwenda huko. Lakini akiamua kwenda pia thats his problem, what can i do?
 
nyepesi nilizonazo nguli anatafuta plot KITUNDA kwa ajili ya bht!
NA UJENZI UTAANZA MARA MOJA!(i am project engineer just incase mkitaka details)[/QUOTE]

noted, i mean the red part
 
ha ha ha ha!
nguli nitakupigia simu nikishafika bia ya tisa😀
lol!mpwa naona ulijendi huooooooooooooo unakuandama
 
Si nishasema sitishiki/sitishwi na nyumba ndogo. Its a relief hubby hajaanza michezo hiyo, najitahidi kuplay role yangu kuepusha yeye kusema mimi ndo chanzo cha yeye kwenda huko. Lakini akiamua kwenda pia thats his problem, what can i do?
you have said it!SENKSI AND SENKSI
at last umetoa msimamo wako.....THEY ARE HERE TO STAY!
na hauko sure kama jamaa anabamiza nje!....lol!THEY ARE HERE TO STAY
 
Hahaha! MPwa amekumbwa na dhoruba! Nyumba ndogo hazina chansi kwenye ubongo wake. LOL!

Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!
 
you have said it!SENKSI AND SENKSI
at last umetoa msimamo wako.....THEY ARE HERE TO STAY!
na hauko sure kama jamaa anabamiza nje!....lol!THEY ARE HERE TO STAY

Ndicho nachompendea carmel. anakubali indirectly. Hahahaha SENKSI Carmel. Nna banta zako tano na nusu.!
 
ha ha ha ha!
nguli nitakupigia simu nikishafika bia ya tisa😀
lol!mpwa naona ulijendi huooooooooooooo unakuandama

Sawa nitakuwa Legend hapa kwenye jukwaa la mapenzi na jokes lakini sio kweye politricks
 
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!

Point well taken, noted and filed for further carifications.
 
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!

Nguli hajashinda!yupo siriaaz na hii ishu kwasababu hataki kuifikiria kabisa kwa kichwani yake!lakini hiyo HAIKWEPEKI MAZEE!
HERE TO STAY
 
FL, Siri tuliyonayo kwa small house ni ya kufa mtu. Hatusemi hata tukilishwa kaa la moto hahahahahhh (joke). Jamni sio wote mimi binafsi sina na wala sitegemei kuwa nayo. tatizo la nyumba ndogo nalijua
 
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!

Thanks for ur support, watu hawanielewi ila iko siku watanielewa.
 
Sawa nitakuwa Legend hapa kwenye jukwaa la mapenzi na jokes lakini sio kweye politricks
Sasa lijendi ni hivi!
nyumba ndogo ZINADUMISHA NDOA!IF YOU MUST KNOW THE TRUTH!...
(by the way umepata kiwanja cha bht huko KITUNDA😀)

nilishauri tuanze ujenzi kabla mvua hazijachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…