carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
he he heeeeeeeeeeeeeeeeh!jamani jamani!
HAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he he heeeeeeeeeeeeeeeeh!jamani jamani!
HAYA
ha ha ha ha!
ni kawaida kwa abiria kuchunga mizigo yao....!ILA WEWE UMETIA FORA!ni zaidi ya kuchunga
ha ha ha ha!
SENKSI MRS NGULI
ha ha ha ha ha!
ha ha ha ha!
ni kawaida kwa abiria kuchunga mizigo yao....!ILA WEWE UMETIA FORA!ni zaidi ya kuchunga
ha ha ha ha!
SENKSI MRS NGULI
ha ha ha ha ha!
SENKSI noted!Ahaaa! Kwahiyo you dont care siyo? Ruksa mzee kukamatia nyumba ndogo siyo? Unakula senksi kwa hapa. THANKS!
mpwa bwana,lol!umekuwa siriaz utadhani lijendi mppwa?ha ha ha ha
si mchungi Nguli wangu hata chembe!!!! He is a VERY faithful husband anyejua achopaswa kufanya!!!
nasikitika anvojaribu kuwaelewesha lakini hamtaki tena makusudically
nyepesi nilizonazo nguli anatafuta plot KITUNDA kwa ajili ya bht!Hahaha! ZD kaenda saluni kujiweka sawa tayari kuwa MATRON! Hahaha! Sikujua bht ana ulinzi mkali namna hii, vipi limbwata ushaanza kumpa?
Si nishasema sitishiki/sitishwi na nyumba ndogo. Its a relief hubby hajaanza michezo hiyo, najitahidi kuplay role yangu kuepusha yeye kusema mimi ndo chanzo cha yeye kwenda huko. Lakini akiamua kwenda pia thats his problem, what can i do?Ahaaa! Kwahiyo you dont care siyo? Ruksa mzee kukamatia nyumba ndogo siyo? Unakula senksi kwa hapa. THANKS!
nyepesi nilizonazo nguli anatafuta plot KITUNDA kwa ajili ya bht!
NA UJENZI UTAANZA MARA MOJA!(i am project engineer just incase mkitaka details)[/QUOTE]
noted, i mean the red part
ha ha ha ha!Hii ni serious issue na mimi kama mwanandoa mwaminifu nilieingia kwenye ndoa kwa akili zangu timamu, lazima nitoe msimamo wangu wa dhati kwa kile nacho kiaamini kuwa kweli.
Ndoa za siku hizi zinagarimu muda na fedha nyingi lakini zinadumu kwa miezi ile ya viako watu walivyokaa vya harusi i.e kama watu walikaa miezi 3 wakikusanya fedha na wanandoa wakishaoana nao inakuwa the same.
Amani ya ndoa inapokosekana shauri ya tamaa ndogo ndogo ni sawa na nchi kuingia kwenye civil war ambayo usiluishwaji wake unakuwa mgumu, wanaondoa wanakuwa na PHYSCHO problems pamoja na magonjwa yatokanayo na hayo kama ulcers na shinikizo la damu.
Ningependa kuhitimisha kwa kusema kuepuka mambo ya nyumba ndogo tumshirikishe Mungu katika maamuzi ya kutafuta MKE MWEMA NA SIO MCHUMBA mzuri. Na ukimpata LISTEN N UNDERSTAND.(95% ya wanandoa lack this important weapon)
Thanks.
go and file againPoint well taken, noted and filed for future reference.
you have said it!SENKSI AND SENKSISi nishasema sitishiki/sitishwi na nyumba ndogo. Its a relief hubby hajaanza michezo hiyo, najitahidi kuplay role yangu kuepusha yeye kusema mimi ndo chanzo cha yeye kwenda huko. Lakini akiamua kwenda pia thats his problem, what can i do?
Hahaha! MPwa amekumbwa na dhoruba! Nyumba ndogo hazina chansi kwenye ubongo wake. LOL!
you have said it!SENKSI AND SENKSI
at last umetoa msimamo wako.....THEY ARE HERE TO STAY!
na hauko sure kama jamaa anabamiza nje!....lol!THEY ARE HERE TO STAY
ha ha ha ha!
nguli nitakupigia simu nikishafika bia ya tisa😀
lol!mpwa naona ulijendi huooooooooooooo unakuandama
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
Nguli can be declarared a winner kwenye vita hii!! there is always an exception to the general rule(that exception is.......Nguli) God bless you always!
Sasa lijendi ni hivi!Sawa nitakuwa Legend hapa kwenye jukwaa la mapenzi na jokes lakini sio kweye politricks