Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
.............well!
it sounds like YES to my mind!NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY!karibu kila mwanaume mwenye ndoa yake lazima awe na ''kazi-ya-nje''.

hata kama ni vipi,au hana ATAHAHA KUITAFUTA!WENGINE NINAWAFAHAMU WANAHAHA KUZITAFUTA!hahahahaha.hapa sijui kama kuna kidume hatagonga senksi!

kuna kisura mmoja baada ya kumpa penzi mumewe asubuhi ya last weekend alimtext ''DIA NAOMBA LEO USIENDE KWA MWANAMKE MWINGINE,KUMBUKA NIMEKUPA PENZI ALFAJIRI''!kwa sisi wataalamu wa hisabati tunathubutu kusema kwamba hata wake zetu wamekubali mapigo kwamba NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY!

tujadili...........
 
Hahaha! Mpwa leo umeibuka na mziki mzito! Huko KIGOMA najua dada kashapata msaidizi. Kwangu mimi 95% ya marafiki zangu wana nyumba ndogo. Ndio maana leo nakuunga mkono 100%. NYUMBA NDOGO will always STAY. After all, ni kichocheo cha kuleta ufanisi nyumbani. Hahaha! Nigongee senksi mpwa!
 
hahahahahaha!SENKSI*100000!
BORA leo umekuwa mkweli!
ngulli namsubiri aungane na hii kauli.....hahahaha
 
Akibisha leo patafuka moshi. You knoo woram seeeing? Hahaha!
 
Hahahaha dah nyumba ndogo hizi jana nilishuhudia nyumba ndogo zinamgombea Mr. wa watu dah si mchezo.
 
hahahahahah!nipe msimamo wako mpwa!
are they HERE TO STAY?
SENKSI
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
 
hii post ya leo NI DEDIKESHENI KWA NGULI!i hope ataungana nayo hii hahahah!

Hehehehe! Mpwa nguli hii thread anaiona lakini anaikimbia. Ngoja nim-PM. Hahahaha! Leo nacheka tu mpaka kieleweke. Hahaha!
 
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!

tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.

FL1...noted with thanks!
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft

Hahaha! Hiyo bold nimekugongea senksi! Nadhani na mchumba atakuwa ameiona hiyo. Nikipata nyumba ndogo hatakaa ajue! Hahaha!
 
katika vitu ambavyo siviwazagi kimojawapo ndio hiki,kum control mtu mzima ni jambo gumu kwa upande wangu, hata kama anayo nyumba ndogo lakini heshima ishike mkondo wake, yaani afanye lolote awezalo nicjue milele.
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
tumekuelewa festiledi!tutakuwa makini sana!nipe msimamo wako?are they here to stay?
 
Hahaha! Mpwa leo umeibuka na mziki mzito! Huko KIGOMA najua dada kashapata msaidizi. Kwangu mimi 95% ya marafiki zangu wana nyumba ndogo. Ndio maana leo nakuunga mkono 100%. NYUMBA NDOGO will always STAY. After all, ni kichocheo cha kuleta ufanisi nyumbani. Hahaha! Nigongee senksi mpwa!

Masikio yangu na macho yangu mwenzenu! unasemaje? siamini amini kama ndo wewe?
 
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!

tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.

FL1...noted with thanks!

yeuwiii mr, khaa! akiwa na ubavu huo yaani nitaamini kweli mr kidume, eeehh Mungu wangu.....halafu ategemee kuniita mkewe tena?
 
katika vitu ambavyo siviwazagi kimojawapo ndio hiki,kum control mtu mzima ni jambo gumu kwa upande wangu, hata kama anayo nyumba ndogo lakini heshima ishike mkondo wake, yaani afanye lolote awezalo nicjue milele.
noted!i am getting something in my mind!
x-pin naomba upitie haya majibu na uyanoti vyema!NITAKUELEZA KWA NINI!

nyamayao nipe msimamo wako...!are they necessary evils?
 
Akibisha leo patafuka moshi. You knoo woram seeeing? Hahaha!

Masikio yangu na macho yangu mwenzenu! unasemaje? siamini amini kama ndo wewe?

huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?

all in all if i ever get to know that jamaa ana kakibanda......patachimbika
 
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!

tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.

FL1...noted with thanks!

Shem ur the good husband! yani mapweinti yako hatari!
 
Back
Top Bottom