Utoto na ulimbukeni unaiusumbua.Lakini kikubwa unamiliki brand kubwa sana Duniani
Una nyumba pale chanika chumba kimoja
Una passo yako ya kujivinjari town
Una mke mke mmoja
Una kula sio kubahatisha
Huvuti sigara
Wala kunywa pombe
Endelea kutiririka hapo uone
Ha haa haa haaaaaaaaaaa.iphone ni kitu cha kuwa nacho?
sophy27 unafaa kuwa mke wa mtu sasa una mawazo mazuri sana, kila siku naona unazidi kuwa mature enough.Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani
Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
Unajua wengine sisi tumezaliwa familia za pangu pakavu tumekua tunaona na tunajifunza kunawatu Wana gari na hizo iphone tu lakin hata akiumwa ghafla
Acha wenge bwana mkubwa pambana kama gari, nyumba utazipata tu tunza hicho kidogo unachopata polepole ndio mwendo!Gari huna
Nyumba huna
Mke huna
Iphone huna
Tatizo la wabongo yeye akijenga anataka wote wajemge.Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani
Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
Ndo hapo kilamtu anatak alichonacho na yeye awe nacho akiona unazaidi ndo tunaanza kuloganaTatizo la wabongo yeye akijenga anataka wote wajemge.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wanakuwa kama wanamuziki na wasanii wetu wa bongo movie wanaishi apartment Mbezi Beach na ndinga za kutembelea akiumwa amelazwa hospitali yuko hoi, Steve Nyerere anapitisha bakuli la michangoUnajua wengine sisi tumezaliwa familia za pangu pakavu tumekua tunaona na tunajifunza kunawatu Wana gari na hizo iphone tu lakin hata akiumwa ghaflaha ana asert inayomuwezesha kusurvive hata mwaka tu Zaid ya mshahara na kunawengine wanatumia Infinix lkn Wana vitu vya maana ambavyo hata huo mshahara au kibarua kisimame miaka 3 anaishi vizuri tu
Kabisa muhimu hewa wote tunatumia oxygen 😀Kikubwa uhai tu
💯🤝Kikubwa uhai tu
Kabisa kunawatu wanapitia magumu sana mwingine anapambana sana lkn hapat anachotaka ansishia kupata pesa ya kulisha familia tu Sasa iyo I phone sijui gari akaibe au afanyaje mtoa mada naona Bado akili haijawaza kuhusu wengineWanakuwa kama wanamuziki na wasanii wetu wa bongo movie wanaishi apartment Mbezi Beach na ndinga za kutembelea akiumwa amelazwa hospitali yuko hoi, Steve Nyerere anapitisha bakuli la michango
Tumetofautiana sana kwenye nini kiwe kipaumbele katika maisha yetu. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuamua nini kiwe kipaumbele chake.
Ila hapo ndo panamdefine mtu ikiwa ana akili ya maisha au hana
Tena utachoka wew wao wataendelea kutoa na wakiistaafu wanaajiriwa designers wapya😀Ukisema uende sawa na kila toleo la kitu kipya utakuwa mtumwa kuna watu wameajiriwa kwenye makampuni makubwa kama designers hao wanakesha hawalali kudesign vitu vipya vinavyovutia zaidi huwezi kushindana nao. Wanataka hela zetu