Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Lakini kikubwa unamiliki brand kubwa sana Duniani
Una nyumba pale chanika chumba kimoja
Una passo yako ya kujivinjari town
Una mke mke mmoja
Una kula sio kubahatisha

Huvuti sigara
Wala kunywa pombe

Endelea kutiririka hapo uone
Utoto na ulimbukeni unaiusumbua.

Watu waliovuka hayo uliyoyataja wako kimya.
Ukikua utaacha
 
Hongera Sana Mkuu.

-Kama mwenye kumiliki hivyo ni tajiri basi Opposite yake ni Fukara.
 
Binafsi naamini kuchukua pesa na kwenda kujenga nyumba ya kuishi ukiwa chini ya 45 ni kujitafutia umasikini tu.

ila ndio hivyo kila mtu ana kipimo chake cha mafanikio ya kimaisha, wapo ambao wakishajenga nyumba tu wana relax wanaona wameshamaliza mapambano, wapo ambao wakinunua gari baasi washamaliza mchezo.

Na tupo sisi ambao ambao kumiliki vitu hakutufanyi tuone tushamaliza mapambano.

Ni kujichagulia tu udate na vitu au ufurahie maisha.
 
Huna ata baskeli ya kusingiziwa 🤣🤣🤣
Tukuite jina gani?
 
Mleta Uzi jishikilie Sana!nakukusisitia JISHIKILIE
 
Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani

Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
sophy27 unafaa kuwa mke wa mtu sasa una mawazo mazuri sana, kila siku naona unazidi kuwa mature enough.

Wewe na Kelsea mnaongea vizuri sana siku hizi mbaki hivyohivyo mtakuwa wake na washauri wazuri kwa waume zenu
 
sophy27 unafaa kuwa mke wa mtu sasa una mawazo mazuri sana kila siku naona unazidi kuwa mature enough.

Wewe na Kelsea mnaongea vizuri sana siku hizi mbaki hivyohivyo mtakuwa wake na washauri wazuri kwa waume zenu
Unajua wengine sisi tumezaliwa familia za pangu pakavu tumekua tunaona na tunajifunza kunawatu Wana gari na hizo iphone tu lakin hata akiumwa ghafla
Hana asert inayomuwezesha kusurvive hata mwaka tu Zaid ya mshahara na kunawengine wanatumia Infinix lkn Wana vitu vya maana ambavyo hata huo mshahara au kibarua kisimame miaka 3 anaishi vizuri tu
 
Mimi vyote sina utanifanya nini? Unaweza ukawa navyo ukakosa hekina na akili
 
Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani

Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
Tatizo la wabongo yeye akijenga anataka wote wajemge.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Unajua wengine sisi tumezaliwa familia za pangu pakavu tumekua tunaona na tunajifunza kunawatu Wana gari na hizo iphone tu lakin hata akiumwa ghaflaha ana asert inayomuwezesha kusurvive hata mwaka tu Zaid ya mshahara na kunawengine wanatumia Infinix lkn Wana vitu vya maana ambavyo hata huo mshahara au kibarua kisimame miaka 3 anaishi vizuri tu
Wanakuwa kama wanamuziki na wasanii wetu wa bongo movie wanaishi apartment Mbezi Beach na ndinga za kutembelea akiumwa amelazwa hospitali yuko hoi, Steve Nyerere anapitisha bakuli la michango

Tumetofautiana sana kwenye nini kiwe kipaumbele katika maisha yetu. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuamua nini kiwe kipaumbele chake.

Ila hapo ndo panamdefine mtu ikiwa ana akili ya maisha au hana
 
Kikubwa uhai tu
💯🤝

Nabii Sulemani alikuwa tajiri sana ile kidon kabisa. Ila mwisho wa siku akaona utajiri wake wote ni ubatili kama kufuatilia upepo tu.

Unajua leo utajenga nyumba utaipenda sana utaitunza baadaye utaizoea, utaona mtindo wake umepitwa na wakati the same kwa vitu vyote material things iwe ni simu, gari, nguo chochote kile

Ndio maana kwa Wakristo wanasema Bwana Yesu aliwafundisha wajifunze kuridhika na vitu walivyo navyo

Ukisema uende sawa na kila toleo la kitu kipya utakuwa mtumwa kuna watu wameajiriwa kwenye makampuni makubwa kama designers hao wanakesha hawalali kudesign vitu vipya vinavyovutia zaidi huwezi kushindana nao. Wanataka hela zetu
 
Wanakuwa kama wanamuziki na wasanii wetu wa bongo movie wanaishi apartment Mbezi Beach na ndinga za kutembelea akiumwa amelazwa hospitali yuko hoi, Steve Nyerere anapitisha bakuli la michango

Tumetofautiana sana kwenye nini kiwe kipaumbele katika maisha yetu. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuamua nini kiwe kipaumbele chake.

Ila hapo ndo panamdefine mtu ikiwa ana akili ya maisha au hana
Kabisa kunawatu wanapitia magumu sana mwingine anapambana sana lkn hapat anachotaka ansishia kupata pesa ya kulisha familia tu Sasa iyo I phone sijui gari akaibe au afanyaje mtoa mada naona Bado akili haijawaza kuhusu wengine
 
Ukisema uende sawa na kila toleo la kitu kipya utakuwa mtumwa kuna watu wameajiriwa kwenye makampuni makubwa kama designers hao wanakesha hawalali kudesign vitu vipya vinavyovutia zaidi huwezi kushindana nao. Wanataka hela zetu
Tena utachoka wew wao wataendelea kutoa na wakiistaafu wanaajiriwa designers wapya😀
 
Back
Top Bottom