Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1635936302011.png
Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa.

Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na kuhukumiwa hukumu ya kifo, kunyongwa tarehe 15 Dec 1889 huko Pangani.

_________

Bushiri Ali Harthi's House, built from Coral and clay, still strong as it is, found in Pangani, Tanga region. The house has basement, where a chattel of slaves hidden.

Bushiri fought a war with Germans (Bushiri Revolt 1888 - 1889) and desperately defeated, apprehended and sentenced to a death sentence, hanged on 15th Dec 1889 in Pangani.
 
Ukubwa wa nyumba unaonyesha kuwa huyu mtu alikuwa na ukwasi.
 
55⁸⁸ý

[QUOTE1zah="koro-boy, post: 40692437, member: 456654"]Sijui kama Mtanzania tunajivunia nini hapo. Huyo bwana alikuwa anafanya biashara ya kuwauza babu zetu.[/QUOTE]

1QÀ1h1rañmw
 
Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa.

Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na kuhukumiwa hukumu ya kifo, kunyongwa tarehe 15 Dec 1889 huko Pangani.

_________

Bushiri Ali Harthi's House, built from Coral and clay, still strong as it is, found in Pangani, Tanga region. The house has basement, where a chattel of slaves hidden.

Bushiri fought a war with Germans (Bushiri Revolt 1888 - 1889) and desperately defeated, apprehended and sentenced to a death sentence, hanged on 15th Dec 1889 in Pangani.
Je kuna ushahidi gani? Nyumba jinsi inavyoonekana ama imebadilishwa sana au si kweli. Wakati ule hawakujenga kwa namna hiyo. Nikiona paa, inawezekana kwa kutumia mabati tu. Zamani ile paa zote zilikuwa za makuti. Makuti haiwezekani kwa mtelemko kama huo.

Halafu watumwa wafiche ya nini? Utumwa ulikuwa halali hadi kuja kwa Wajerumani, hakuna haja ya kumficha mfungwa.

Hata kama wenyeji wanasimulia hadithi za aina hii, huwezi kuamini kila kitu.
 
Kumbukumbu yake ni mbaya sana alikuwa anawauza babu zetu kwa waarabu. Hatuhitaji kumkumbuka kabisa.
Sidhani ameuza. Amenunua maana alihitaji watumwa ilhali biashara yake ilikuwa hasa kuendesha shamba lake lililolimwa na watumwa. Eneo lote la mdomo wa mto Pangano lilikuwa na eneo la kulima miwa na kuzalisha sukari kwa kuuza nje ya nchi.
Waliouza watumwa walikuwa machifu wa makabila ya ndani.
Simulizi hilo eti Waarabu wabaya walikamata Waafrika maskini ni kitoto kidogo, sivyo? Maana kimsingi si kweli (au angalau nusu kweli tu)
Bila shaka Waarabu kuwa tayari kununua watumwa wengi ilihamasisha watawala wengi wa Kiafrika kuongeza idadi ya wafungwa. Ama kwa njia ya vita dhidi ya majirani ili wapate wafungwa, au kwa kutumia malaka zao za kuhukumu watu wao utumwani kwa makoso yoyote.
Ila tu utumwa katika Afrika haukuanza kwa sababu ya Waarabu kuwa wateja.
 
Back
Top Bottom