christophany
Member
- Apr 6, 2024
- 27
- 73
Yani ww hujuw hata Biashara. Hata picha ya Nyumba hujaweka kwenye Tangazo lako.πππππTaarifa muhimu.
1:Kiwanja kimepimwa kina sqm 400
2: Vyumba 3.
3: sebure.
4: choo ndani.
5:stoo.
6: Chumba kimoja ni master
Note: Muuzaji yupo tayar kupokea pesa Kwa awamu , baada ya kutoa nusu ya fedha.
Ni hiyo ya mbele isiyo na bati ya msouth
No: 0750233716
β Kuna pira birian, naPila picha inakuwa kama uongo
Mbae picha nimeiweka tayarPicha ipo wapi? Nyumba ipo maeneo gani? Mbae,magomeni,kiyangu,ligula,mangamba,chuno,umoja au chikongola?
Tayar nimeiwekaWeka picha nnjomba nchumAri
Tayar picha nimeiwekaβ Kuna pira birian, na
β pila picha
Oyaπ
Tayar nimeiwekaPicha ya nyumba.
Nimeiweka picha tayarYani ww hujuw hata Biashara. Hata picha ya Nyumba hujaweka kwenye Tangazo lako.πππππ
Nimeweka picha tayar ipo maeneo ya mbaeWeka picha, pia sema Iko maeneo gani?
Nimeweka picha tayarPila picha inakuwa kama uongo
Tayar picha nimewekaPicha ya nyumba tafadhali.