NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

Status
Not open for further replies.
Maisha ya mtwara raha sana,nyumba vyumba vitatu milioni kumi na nne!! Duuh!.
Ina hati?
Mi sio mnunuzi na sijawahi Fika mtwara naulizia kwa niaba ya watu
Hati haina ila eneo limepimwa hvyo kama mnunuzi anahitaj hati , uwezo wa kuipata ni simple either anunue ikiwa bila hati then hati afuatilie mwenyew au amruhusu mwenye nyumba kuingia gharama za hati Kisha yeye aje Tena a process kubadiri umiliki uje kwake ambapo naona Bora anunue ikiwa hvi then hati atengeneze yeye
 
Eneo linapimwaje halafu halina hat mzee
 
Eneo linapimwaje halafu halina hat mzee
Mbona hati na eneo kupimwa ni vitu viwili tofaut Mzee tafakar vzr , selikar inapima maeneo hati ni mwenye eneo baada ya kununua ndio kufuatilia ofis za ardhi. Iko hv selikar inaweza pima viwanja vyote vya eneo fulan na kuonyesha miradi yote inayopaswa kuwepo kwenye eneo Hilo then ukinunua Hilo eneo ndio unafuatilia hati. Kumbuka muuza kiwanja sio ofisi za ardhi ni mmiliki na ndio maana Kuna maeneo Bado hayajapimwa vijijn hko.
 
Sasa nikuulize kitu Itakuaje kama serikali ikapima kama ulivyosema halafu muhusika akauza maeneo yaliyopimwa halafu baadae akaenda ardhi kufuatilia hati ya hayo maeneo yake he anaweza kupewa hati?
 
Sasa nikuulize kitu Itakuaje kama serikali ikapima kama ulivyosema halafu muhusika akauza maeneo yaliyopimwa halafu baadae akaenda ardhi kufuatilia hati ya hayo maeneo yake he anaweza kupewa hati?
Ngoja nitumie njia hii Ili uweze kunielewa Kwa urahis, si ushawah sikia viwanja vinauzwa pengine , bagamoyo , au vikindu na wanasema vimepimwa ,

ww unavyojua unapokwenda kukinunua kinakuwa na hati tayar au ww ukishanunua ndio unafuatilia utengenezaji wa hati ?

Tena Kwa kuongezea vile viwanja vya kulipa Kwa awamu vinavyouzwa na serikal , inshort havina hati hati ni baada ya ww kumaliza kulipa deni lote ndio unatengeneza

na ndio maana Kuna watu weng wanaingia kwenye mgogoro wa ardhi unakuta huyu ana hati huyu Hana lakini ardhi ni hiyohyo
Mara nying Haya hutokea pale ambapo mtu kalipia kiwanja hajamaliza kulipa na muda aliopewa ukapita ,

Huwa vinarudishwa na kuuzwa Kwa wengne hata kama ulitanguliza kias akinunua mwngn na kutengeneza had hati siku ukienda ukisema chako na kuonyesha Hadi ticket za malipo za awali haisaidii

Au labda kuniambia wakiwa wanatangaza viwanja vinauzwa bagamoyo na vimepimwa watu waje kununua kama unadai kila kilichopimwa kina hati hvyo Huwa vinasoka hati Kwa Jina la nani?

Note: sio kila kiwanja kilichopimwa kina hati ila kila kiwanja kilichopimwa kipo kwenye hatua za mwisho katika mchakato wa kupata umiliki halisi( hati)
 
Hujanielewa nasema hivi yaani mfano serikali ikapima kama hivyo halafu ukapita mda muhusika akaenda kudai hati na huenda baadhi ya sehemu aliziuza akaamua kufanya makusudi Kwa sababu ya tamaa je atakabidhiwa hati au inakuaje hapo
 
Sasa nikuulize kitu Itakuaje kama serikali ikapima kama ulivyosema halafu muhusika akauza maeneo yaliyopimwa halafu baadae akaenda ardhi kufuatilia hati ya hayo maeneo yake he anaweza kupewa hati?
Unapozungumzia muhusika unamaanisha nani ? Muuzaji au muuziwaji kumbuka ukishamuuzia mtu Huwa Kuna mashahidi wa maeneo husika ,kuanzia selikar za mitaa n.k

Kimsingi utapeli upo ila sio kirahis kma unavyozungumzia labda kma muuziwa alipotea Kwa miaka mingi Kisha muuzaji ndio aamue kufanya ujangili huo ila kama muuziwa Huwa anakwenda site kwake hata kutembelea tu hata kma hajatengeneza hati

ni ngumu Kwa muuzaji kwenda ardhi kutengeneza hati.
 
Kwanini iwe ngumu wakati taarifa zipo Kule si anaenda tu anapewa hati anaweka ndani halafu miaka ya mbeleni anafanya makusudi tu anawatapeli sababu hao jamaa wa kupima hawatokuja tena taarifa si zimeshaenda ardhi
 
Hapo ndiyo MTWARA TOWN?
 
Hujanielewa nasema hivi yaani mfano serikali ikapima kama hivyo halafu ukapita mda muhusika akaenda kudai hati na huenda baadhi ya sehemu aliziuza akaamua kufanya makusudi Kwa sababu ya tamaa je atakabidhiwa hati au inakuaje hapo
Hahahahaha nmekuelewa naomba nisijb swali lako straight. Nakupa tu mwanga wa jibu migogoro mingi ya ardhi chanzo chake ni hicho kama una D mbili ushaelewa.
 
Hahahahaha nmekuelewa naomba nisijb swali lako straight. Nakupa tu mwanga wa jibu migogoro mingi ya ardhi chanzo chake ni hicho kama una D mbili ushaelewa.
Maana taarifa zote zipo ardhi halafu wewe unasema nngumu Mimi naona serikali haitumii akili kwenye mambo kama hayo yaani wanazalisha tatizo halafu wanataka walitatue mtu mweusi akili zero
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…