Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Nyumba nzuriIpo kibaha visiga,nyumba ya kisasa,
Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko,
Uwanja mkubwa squire meter 800
Ina fensi ya kisasa.
Umeme na maji vipo,
Umbali km moja kutoka morogoro road,
Bei milioni 35.negotiable
Kabisa mkuuNyumba nzuri
Njoo pm tuongee mkuuPunguza kidogo fanya 30m
Nitumie Namba yako inbox,uone video kwa usahihi zaidiPicha piga picha vizuri muonekano WA nyumba
Hati za mauziano zipo mkuu,document zote zipoIna hati au
Nafkir anaongelea Hati miliki kutoka wizaraniHati za mauziano zipo mkuu,document zote zipo
Ya wizara bado haujatoka,Ila siku hizi wamerahisishaa upatikanaji wakeNafkir anaongelea Hati miliki kutoka wizarani
Imenivutia,nzuri sana na bei ni affordableIpo kibaha visiga,nyumba ya kisasa,
Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko,
Uwanja mkubwa squire meter 800
Ina fensi ya kisasa.
Umeme na maji vipo,
Umbali km moja kutoka morogoro road,
Bei milioni 35.negotiable
Ndio Nani uyousije ukawa wew ndiye MZEE KESHO YETU
Kabisa mkuuImenivutia,nzuri sana na bei ni affordable
... muache kukimbilia ist sasa mnunue kwanza mahali bora pa kuishi.Imenivutia,nzuri sana na bei ni affordable
Sure... muache kukimbilia ist sasa mnunue kwanza mahali bora pa kuishi.